Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Wafia dini mnajifariji na uzi za kinafiki
 
Ahmedinejad aliposema ataifuta Israel kwenye uso wa Dunia alikuwa anajua anasema nini kwa sababu alikuwa amiri jeshi mkuu anaepata taarifa zote
Ila waisrael wetu wakapinga na kutukana sana
Ona sasa leo hata mateka wanawauwa wao
Hao jamaa wanaijua Israel nje ndani, Waisrael washukuru Mungu hawashirikiani mpaka na Iran. Bila hivyo leo hii tungekuwa hatujui au kukumbuka kama kuna nchi iliwahi kuitwa Israel duniani.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Marekani, ila kinachofanyika huko ulipoita mashariki ya kati ni aibu kwetu sisi wamarekani wa gongo la mboto, na ndugu zetu waisrael wa uliyankulu Tabora.
Kweli kabisa mkuu. Wayahudi wa gongo la mboto mbona wapo wapo hapa kuwatetea wayahudi wazungu ambao hawawafahamu.
 
Hoja yako ilikuwa inaenda vizuri ila imajaa uongo na stori za hisia
 
Mudi si alikuwa shoga, au umesahau
Ikiwa unamaanisha mtume Muhammad basi ukae ukijua ya kwamba,,,
Alikuwa na wake wanne,,
Watoto saba,,,
Kaongoza vita Zaidi ya moja,,
Alikuwa pia mfanyabiashara, yani kifupi alikuwa mwanaume wa shoka haswa tofauti na nyie Ambao kiongozi wenu kule Italy katoa dongo mgongwe pumbavu kabisa,,, sasa wewe sijui ushaenda kubariki kanisani ili ufilwhe vizuri,,
 
Hamas hiyo ni copy ya muiran,
Copy isiyokuwa na ndege za jeshi, vifaru, vifaa vya kuzuia makombora wala silaha za maana, inalitoa kamasi taifa teule ambalo mara kwa mara tunaambiwa lina jeshi bora, silaha za kisasa, intelejensia kali nk.

Unaambiwa hadi askari wa akiba na wale ambao tayari walishastaafu waliitwa kupambana na kikundi kinachomiliki mizinga tu ya kawaida na sio ndege zisizokuwa na rubani wala kifaru cha aina yoyote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajua dunia ya sasa kila kitu ni movie kinaigizwa, unaweza ukafikiri kitu kidogo ulichoambiwaga ulipokuwa ufahamu wako mdogo na sasa ukashangaa mbona logically hii kitu ni uwongo mkubwa
 
Na sasa wanachukua mpaka mamluki na kuidanganya Dunia eti wafanyakazi wa mashamba na wanafunzi
 
Wameitawala Dunia Kwa muda mrefu sana, hakuna marefu yasiyo na ncha..
Uongo wao unajifichua siku kabla ya siku, tutasikia na kuona mengi.
5. Walitudanganya eti Saddam Hussein ameficha siraha za nyuklia katika Jimbo la Al Mansoor huko Iraq, Baraza la usalama likiongozwa na police wa Dunia(America) wakachimbua Kila Kona na bila kukuta kitu. Wakabadiri GIA angani eti Saddam alikua mshirika wa Osama bin laden 🀣
 
Hamas wameivua Israel nguo. Mpaka sasa imeshafahamika kuwa Israel haina jeshi kubwa, lenye nguvu wala weledi wowote.

Ni taifa linaoishi kwa kutegemea propaganda na uongo wa nchi za magharibi.
Mitandao imesaidia sana watu wengi duniani
Leo kila kitu kiko wazi mambo ya kusubiri miaka 50 ndio watoe taarifa kwa umma hakuna tena
Yanaongelewa jikoni sisi tunayasikia
Myahudi anapiga hovyo na kuuwa watoto na raia na majumba
Halafu tatizo wengi wamekuwa mashoga na laana inachangia sana
 
Ni kweli kabisa. Pia walitudanganya kuwa Osama ni gaidi, kumbe ukweli wa mambo jamaa alikuwa ni ofisa wa CIA ambae walimtumia kwa lengo la kuvamia nchi za kiarabu kwa masilahi yao wenyewe. Osama alijifanya kukimbilia nchi za kiarabu na kujificha huko, Marekani nayo ikajifanya kuumfata kumbe ndo inakwenda kujichimbia ili ibaki huko kuiba mafuta nk.

Pia walitudanganya kuwa Osama huyo wamemuua lakini mpaka leo hakuna aliefanikiwa kuona mwili wake wala kaburi lake. Hii ni tofauti na maadui wa kweli wa Marekani kama vile Sadam Hussein na Ghadaf ambao wote tulioneshwa miili yao, maziko yao na makaburi yao yanafahamika yalipo.
 
Kwa sasa kwao kila kitu kipo wazi. Huku chini pako wazi na mipango yao yote pia iko wazi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
NAKAZIA.
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Marekani, ila kinachofanyika huko ulipoita mashariki ya kati ni aibu kwetu sisi wamarekani wa gongo la mboto, na ndugu zetu waisrael wa uliyankulu Tabora.
Mjukuu wa Mudi kwenye moja na mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…