Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Ni nani alikuwepo wakati wanaokoa watu wao Entebe?
Kama yupo atuwekee ushahidi jinsi walivyookoa watu wao, na sio kutuwekea movie iliyoigizwa na wazungu wenzao.
 
Ni nani alikuwepo wakati wanaokoa watu wao Entebe?
Kama yupo atuwekee ushahidi jinsi walivyookoa watu wao, na sio kutuwekea movie iliyoigizwa na wazungu wenzao.
Watakuja tu kutupa documentary hawana mpya

Wazungu walitufanya kua mazombi muda mwingi sana kwakweli

Ila uzuri ujinga wao umejulikanika kweupee eeee
 
YAn hata operation Entebe, kama wale mateka wangekua bongo under JWTZ, israel asingeokoa hata mmoja na tungewalamba vyuma mpaka wasijue pa kutokea πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ni vile tu jeshi la Idd Amin lilikua la kijinga jinga
 
IDF piga hadi ile midoli yao takbirr ziendelee kupotea hapo GAZA ikiwezekana hata huko ulaya muwatimue.
 
Kwa hiyo mudy alikuwa mfanyabiashara?huyu mo wa bongo kamzidi huyo mbakaji
 
Vifuasi vya magaidi vina hasira hivyo,ile oktoba 7 vilitarajia makubwa sana sheitwani bhana!
 
Au wewe ndio unajifariji. Kama ingekuwa ina huruma kama unavyofikiri, basi isingeuwa maelfu ya watoto wadogo wasiokuwa na hatia, pamoja na wanawake including raia ambao hawana hata visu vya kupambana na vifaru vya Israel.
Hao watoto wanatumiwa kama ngao na wahuni wa Makamasi!! Wanarusha makombora wanakimbilia kujificha kwa watoto na raia kwa ujumla, damu yao ipo juu ya magaidi, mlitaka IDF wasijibu!! Infact silaha zote za magaidi zipo maeneo ya raia!
 
Jidanganye kamanda mwenzio katangulizwa Kwa bikira 72
 
Ila waarabu siyo waongo wala si wabaguzi!! Mzungu na mwarabu wote ni wakoloni waliotutawala mbaya zaidi Mwarabu alihasi (castrate) watumwa wa kiafrika na mateso yasiyo na mfano na hadi leo mahouse maid wa kiafrika wanateswa na kuuwawa uarabuni, ila cha ajabu waarabu na vibaraka wao wanataka waafrika wawachukie adui zao wazungu na wayahudi, Mkoloni ni mkoloni tu waafrika tusidanganyike na vibaraka wa waarabu.
 
Vifuasi vya magaidi vina hasira hivyo,ile oktoba 7 vilitarajia makubwa sana sheitwani bhana!
 
Watakuja tu kutupa documentary hawana mpya

Wazungu walitufanya kua mazombi muda mwingi sana kwakweli

Ila uzuri ujinga wao umejulikanika kweupee eeee
Na bado tutayajua mengi tu kuhusu uongo wao.
 
YAn hata operation Entebe, kama wale mateka wangekua bongo under JWTZ, israel asingeokoa hata mmoja na tungewalamba vyuma mpaka wasijue pa kutokea πŸ˜‚πŸ˜‚.
Ni vile tu jeshi la Idd Amin lilikua la kijinga jinga
Ni kweli kwa hapa bongo wasingeokoa mateka hata mmoja. Labda kama wangetupa hela ili tujifanye tumeshindwa, kwa lengo la kutimiza uongo wao wa kuonekana kuwa wana jeshi bora πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Umeandika ujinga mwingi ambao hauna kichwa wala miguu. Kwa mbali unaonekana kama ni mtu unaejielewa, lakini baadae unarudi tena katika ujinga ule ule uliotengenezewa na waliokutawala.

Hii ni sawa na mtu unaeja-m-ba mwenyewe, alafu unajifanya haujui harufu inatoka wapi.

Mada imezungumzia mambo manne yanayohusu uongo wa wazungu, lakini mabrain wash mmejikita katika jambo moja tu la Israel kwa lengo la kila mmoja aonekane yeye ndio myahudi wa kweli, hata kama anaishi bonyokwa na midabwada yake, vizaka utafikiri kakatwa na nyembe miguuni huku hata hao wayahudi wenyewe anaopanua mdomo wake kuwatetea huku jasho la meno likimtoa wakiwa hawamjui yeye wala imani yake.

Waethiopia waliodanganywa kuwa na wao ni sehemu ya wayahudi kilichowakuta wewe mwenyewe kama ni mfuatiliaji wa mambo yanayotokea duniani utakuwa unakijua, mpaka wengine Kagame aliamua kuwahifadhi katika nchi yake.

Kinachoshangaza mtu ukiandika mada ambayo haioneshi kuwaunga mkono waisrael, basi hata wewe kama sio mfuasi wa dini zilizoletwa na meli, utalazimishwa kuitwa muislam au muarab na wachovu waliofilisika kiakili, ambao wao ukiwa kinyume na wale waliowaletea dini zao za kutunga wataanza kukupa majina na imani za dini ambazo hata mleta mada mwenyewe hazifahamu.

Mwl Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu mpumbavu utamjua upumbavu wake kupitia kauli zake. Yani mtu unaweza mfano kujadili ulilokutana nalo kwa mtu fulani bila kuhusisha imani yake, ila ghafla utashangaa anakuja mpumbavu aliefilisika kiakili na kulihusisha jambo hilo na dini yako au ya yule unaemjadili.

Ndiomaana hata raisi wa China aliwahi kutushangaa sana waafrika kwa kujifanya sisi ndio wenye kuzifahamu dini na kuumizwa zaidi na imani za dini hizo kuliko hata walioleta dini hizo.

Waafrika haswa watanzania mnatakiwa muamke na mbadilike. Achaneni na mawazo ya kipumbavu kwamba mtu akizungumzia Israel au Saudi Arabia anakuwa ameizungumzia dini ya mtu. Mbona juzi raisi Biden watu walianza kumkimbia kanisani alipokuwa anatoa hotuba yake! Wengi ambao wanaonekana wamekataa kuwa brain washed wa wazungu kanisani mle walionekana kukerwa na unyama unaofanywa na Israel huko Gaza, na hivyo kumtaka aamrishe vita visitishwe mara moja, maana inaonekana jeshi lenye silaha zinazosemekana ni za kisasa, intelejensia kubwa, na jeshi lenye weledi linashambulia waandishi habari, wanawake, watoto tena wengi wao ni wachanga wasiokuwa na uwezo hata wa kushika jiwe, kama hiyo haitoshi wanafikia hadi hatua ya kuuwa waandishi ambao ni raia wao wenyewe kisa wanaandika ukweli wa kile kinachotokea kwenye ground na kuuonesha umma kuwa kile tulichokuwa tunadanganywa na wazungu, waisrael na vibaraka wao ni uongo mtupu.

Hata sen. Benie Sander wa Marekani ni mzungu pyuu na haujui hata uislam kama mimi lakini kaamua kuwa sehem ya wapigania haki bila kujali dini ya wale anaowapigania. Pia anapingana na uongo wa wazungu wenzake kui over-rated Israel kwa zaidi ya miaka 70, lakini bado ni midebwedo yani hata kupigana na vijana wasiozidi elfu 20 ambao hawana ndege hata moja ya kijeshi, wanaomba tena msaada wa kijeshi wa Marekani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
Du wazee wa kazi wameshambulia upya Israel πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…