Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Over-rated sana israhellNdege zisizokuwa na rubani pamoja na vifaru vyao vyote vimeshindwa kuwasaidia [emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Over-rated sana israhellNdege zisizokuwa na rubani pamoja na vifaru vyao vyote vimeshindwa kuwasaidia [emoji1][emoji1][emoji1]
Huyu pimbi sijui mjaluo wa nairobbery au anatuzugia tu yupo tandahima lazima anikome mwaka huu pumbavu zake[emoji3][emoji3][emoji3]
Mtanganyika huyoHuyu pimbi sijui mjaluo wa nairobbery au anatuzugia tu yupo tandahima lazima anikome mwaka huu pumbavu zake
NAKAZIAMtanganyika huyo
Haya ndio yale kutwa kuimba na kucheza makanisani ukipita utafikiri majini au wachawi wanawangaMtanganyika huyo
Heheeeeee 🤣😀🤣Haya ndio yale kutwa kuimba na kucheza makanisani ukipita utafikiri majini au wachawi wanawanga
Haha na hapo bado muDaa Hamas wamejua kuishangaza dunia. Mpaka Netanyahu anashindia na kulalia shati hilo hilo moja.
Haha na hapo bado Mungu hajaamua kuwaangamiza na misukosuko kama matetemeko ya ardhiDaa Hamas wamejua kuishangaza dunia. Mpaka Netanyahu anashindia na kulalia shati hilo hilo moja.
Hii kiboko.Yaani muislam ambae hana akili bado humfikii kwa akili
Ushamaliza kaz yako ya kuvitawaza vibibi vya kiyahudi ili ubarikiwe?Mjukuu wa Mudi kwenye moja na mbili.
Hapa ntachangia moja tu ama mbili au mojaOkay...ngoja nikujibu kisomi.
1. Wazungu walifuta mila za kuua mapacha, kula mbilikimo kusini mwa Tz, kafara za watu kimila na imani nyingi potofu tulizokua nazo wa Africa.
2. Ukristo ulifika Afrika kabla ya kufika kwa wazungu, Na Ethopia ndio ilikua na biblia ya zamani kabla hata ya ulaya , biblia ya mwaka 1600's.
Kumbuka pia Israel ilitakiwa iwe Africa na sio mashariki ya kati!
Wazungu walitumia dini ya haki kutapeli waafrika .
3. Israeli in jeshi kubwa na la kisasa africa na mashariki ya kati, na wenyewe walisema vita inaweza kuchukua miez 6 had mwaka kwa sababu hawana akili ndogo wadondoshe makomboza ya Jerico 3 gaza ili kuua hamas na wapalestina wote...ambayo ingekua kaz ya saa 1 tu na hakuna mwanajeshi wa israel angeingia kwenye vita vya mjini ambavyo inabidi uuwe gaidi aloyevaa kiraia bila kuua raia, sijui unajua ugumu wake?? Huwez ukajua, ila hata wapelestina wanaokufa ni hitilafu za kivita 2.
4. Hakuna mzungu aliyesema kwa uhakika kwamba 2likua nyani. Inaitwa Theory, unajua maana ya theory ww? Leo ukisema bunadam 2mejengwa na tofali na ukatoa viashiria na vikashawishi wataalamu wataiongeza nayo iwe Theory...theory inabaki theory hadi ipingwe kwa evidence na mtu mwingine na hyo evidence ikubaliwe na wataalam.
Wazungu kuna wanaoamin nyani, wengine Mungu aliumba, wengine wanapinga zote kama wewe, na hamna anayekulazimisha uamin hv au vile
Uliza maswali ukiwa unajua nn unasema
Bila shaka haya uliyoandika hapa umeyatoa katika vitabu vya wazungu ambavyo vimeandika hivi kwa lengo la kukupotosha wewe mwenyewe, na wengine wanaoamini kilichoandikwa.Okay...ngoja nikujibu kisomi.
1. Wazungu walifuta mila za kuua mapacha, kula mbilikimo kusini mwa Tz, kafara za watu kimila na imani nyingi potofu tulizokua nazo wa Africa.
Una uhakika gani kuwa Ukristo ulifika Afrika kabla ya kufika kwa wazungu Ulaya? Ulikuwepo?2. Ukristo ulifika Afrika kabla ya kufika kwa wazungu, Na Ethopia ndio ilikua na biblia ya zamani kabla hata ya ulaya , biblia ya mwaka 1600's.
Ewaa hapa nashukuru kwa kuweka wazi kuwa Israel ilitakiwa iwe Afrika, ila wazungu wakaifosi iwe mashariki ya kati ambapo nchi hiyo haikutakiwa kuwa. Kwa maana hiyo wazungu wametudanganya kwa kutulazimisha tuamini kuwa hiyo nchi ya kipalestina ni ya waisrael tena weupe (wazungu) na wakati israel halisi ilitakiwa iwe Afrika kwa waafrika kama mimi na wewe.Kumbuka pia Israel ilitakiwa iwe Africa na sio mashariki ya kati!
Wazungu walitumia dini ya haki kutapeli waafrika .
1. Israel ni nchi, wakati Gaza ni kamji ambako kanaingia kwa Israel zaidi ya mara kumi.3. Israeli in jeshi kubwa na la kisasa africa na mashariki ya kati, na wenyewe walisema vita inaweza kuchukua miez 6 had mwaka kwa sababu hawana akili ndogo wadondoshe makomboza ya Jerico 3 gaza ili kuua hamas na wapalestina wote...ambayo ingekua kaz ya saa 1 tu na hakuna mwanajeshi wa israel angeingia kwenye vita vya mjini ambavyo inabidi uuwe gaidi aloyevaa kiraia bila kuua raia, sijui unajua ugumu wake?? Huwez ukajua, ila hata wapelestina wanaokufa ni hitilafu za kivita 2.
4. Hii kwa namna fulan umeandika kinachoeleweka. Na kwa vile mimi sio mnafiki basi kwenye namba 4 sina cha kuongeza.4. Hakuna mzungu aliyesema kwa uhakika kwamba 2likua nyani. Inaitwa Theory, unajua maana ya theory ww? Leo ukisema bunadam 2mejengwa na tofali na ukatoa viashiria na vikashawishi wataalamu wataiongeza nayo iwe Theory...theory inabaki theory hadi ipingwe kwa evidence na mtu mwingine na hyo evidence ikubaliwe na wataalam.
Wazungu kuna wanaoamin nyani, wengine Mungu aliumba, wengine wanapinga zote kama wewe, na hamna anayekulazimisha uamin hv au vile
Uliza maswali ukiwa unajua nn unasema
IQ kubwa ya kushindwa kutofautisha wakubwa na watoto.Hapa ntachangia moja tu ama mbili au moja
Israhell hawajasema vita itachukua miezi sita wamesema vita itachukua mwaka huu wa 2024 wote aliosema haya daniel hagari
Na haya hawakusema kabla walisema baada ya kuingiza ghaza na wakapigana miezi mitatu kasoro kidogo wakaona wanavyo kufa ndio wakasema hayo
Israhell angeweza kutumia tu hayo jericko ila mwanzo aliamini angeweza kuingia ghaza na kuokoa mateka wake ambao wameshikwa na hamas ila baadae akaona nijambo ambalo haliwezekani akajifanya kufuta kama hawawataki tena mateka wao
Sawa tuseme huko kwengine kooote upo sawa ingawaje hupo sawa
Ila Intelijensia ya israhell ambayo tunalishwa matango pori kua ndio watu wenye eti IQ kubwa kabisa dunia ndio imeshindwa kuwaokoa magaidi wao wanashikiliwa hapo ghaza sasa IQ kubwa yao imeenda wapi
[emoji1787][emoji1787]Kwa jinsi walivyotuaminisha nilkuwa najua ukipigana na jeshi la israel huwezi kurusha hata jiwe.
Mlevi fulani yupo huko juu.Nani tena huyo mkuu 😄😄😄
Israhell nchi ya hovyo sana halaf wanatumia nguvu kuubwa sana kuhalalisha failure yaoIQ kubwa ya kushindwa kutofautisha wakubwa na watoto.
Yani wanarusha makombora ya kuuwa watoto wachanga alafu wanasema kuwa wanawalenga Hamas?
Inamaana intelejensia yao imeshindwa kutofautisha kati ya watoto wachanga na Hamas?
Hata kwa macho hawaoni kuwa huyu ni mtoto mchanga na huyu ni Hamas?
Kama wameshindwa kutofautisha kati ya Hamas na watoto wachanga katika vita ya mjini ambayo wanaonana macho kwa macho, je wakipewa mission ya kuja kupambana na M23 katikati ya misitu mikubwa ya Congo (gorilla war) wataweza kweli?
Ni aibu sana.