Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

Kwa hiyo na vifaru viko angani, religious bigotry ni upofu mbaya sana
Waambie washuke kwenye videge vyao waache kulialia
Kwahio hawana ndege juu kweli kukosa akili nayo kazi
Kwani vifaru pekee vinapigana au hujui kama walianza na kurusha videge kwa asilimia 💯 kabla ya kuja huko chini na bado hawajaacha kukaa juu mpaka leo
Waache waje chini hao mazayuni wale kipigo
 
Yaani muislam ambae hana akili bado humfikii kwa akili
Muislam kama huyu hapa chini siyo?
Screenshot_20231118-191316.png

Screenshot_20231124-085329.png
 
We kweli ni mpumbavu uliehitimu cheti cha kipumbavu hapa duniani.

Una ushahidi gani kuwa Israel inapingwa na waislamu tu?

Je haujui kuwa dini ya kiislamu ni ya pili kwa ukubwa huko Israel baada ya uyahudi?

Pia haujui kwamba Palestina kuna makanisa na waktristo wengi tu ambao wamejikuta ni miongoni mwa wahanga wa vita kisa tu ni wapalestina?

Je wale wamarekani wazungu wanaopinga serikali yao kuendelea kuisaidia Israel fedha na misaada ya kijeshi kwa sababu wanatumia misaada hiyo kuuwa raia wasiokuwa na hatia, watoto wa changa na wanawake nao ni waislamu?

Kwa comment yako uliyoandika tayari nimeshagundua kuwa wewe ni mkuna nazi na sio mtu mwenye kutumia akili kuwaza sawa sawa.

Ukiona mtu anaingiza udini katika mada ambayo haina sehemu iliyotaja dini, ujue huyo ni mpumbavu na amefilisika kiakili.

Japo nina imani wewe ni poyoyo ambae hauelewi hata salam moja ya kingereza lakini nakuwekea hiyo picha ili utafute mtu msomi akutafsirie kilichozungumziwa na Sen, Bernie Sanders huko Marekani.

Alafu uniambie huyo nae ushawahi kumuona katika msikiti gani.
Wewe na Allah wenu ndiyo hama akili na ndiyo maana Allah wenu na malaika zake wanaswali kwa Mtume
Surah 33:56
 

Attachments

  • Screenshot_20231225-190342.png
    Screenshot_20231225-190342.png
    119.4 KB · Views: 3
Wewe upo Israel ya bonyokwa, hivyo ni rahisi kulishwa matango pori na wayahudi wa kindamba.

Mimi mwenzako nipo katika uwanja wa mapambano nachukua picha halisi ya kile kinachoendelea vitani kati ya vijana wasiozidi elfu 20 wanatumia silaha duni, na jeshi la nchi nzima linalotumia misilaha mikubwa, midege na mivifaru yao yote walionayo kujaribu kukadhibiti haka ka kundi, lakini matokeo yake jeshi hilo linatumia misilaha hiyo ya midege na vifaru kuuwa watoto wachanga na wanawake
Ok
 
Waambie washuke kwenye videge vyao waache kulialia
Kwahio hawana ndege juu kweli kukosa akili nayo kazi
Kwani vifaru pekee vinapigana au hujui kama walianza na kurusha videge kwa asilimia 💯 kabla ya kuja huko chini na bado hawajaacha kukaa juu mpaka leo
Waache waje chini hao mazayuni wale kipigo
Waambie na hao mapagani ya kiarabu yatoke mapangoni yaonekane yamalizwe haraka, dunia imechoshwa na Islamic terrorism
 
Wewe na Allah wenu ndiyo hama akili na ndiyo maana Allah wenu na malaika zake wanaswali kwa Mtume
Surah 33:56
Ndio maana nikasema wewe ni kiongozi wa wapumbavu duniani. Kama wazungu wamefanikiwa kukutawala kiakili na ki mwili, basi usifikiri na sisi wengine tumetawaliwa hivyo. Sio lazima kila mkristo aipende Israel au muislam aipende Palestina.

Binafsi mimi naamini katika Mungu, lakini siamini katika dini yoyote, maana zote hazina msaada wowote kwangu wala kwa familia yangu. Dini zimeletwa na wakoloni haswa Afrika kwa mission maalumu, ndio maana leo hii unanishambulia na hata ungekuwa na uwezo ungeniua kwa kuamini kuwa mimi sio dini moja na wewe. Na hili ndio walilolitaka waleta dini. Kwamba tuchukiane wenyewe kwa wenyewe, tutukanane au tuuwane kwa sababu ya utofauti wa kidini huku waliozileta wengi wao wakiwa wameshaachana nazo, na wengine wanazitumia kwa manufaa yao.

Waafrika kiuchumi tulikuwa sawa na wachina. Baada ya wenzetu kuachana na upuuzi wa kidini waliokuwa wamepachikiwa na wazungu, leo hii China imepiga hatua kubwa na kuwa nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, huku sisi waafrika wakiendelea kuwa masikini kwa kukusanya kila walicho nacho na kukipeleka makanisani na misikitini ili wajanje wachache waneemeke kupitia upuuzi huo wa kidini.

Kuna watu walijikusanya wakaenda airport kutaka kupanda ndege waende Israel wakahiji bila kuwa na pasport wala ticket ya ndege au visa. Sasa hiyo ni akili ya kawaida au matope?

Ndomaana raisi wa China kawambieni ukweli waafrika.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 5
Wanatumia hela nyingi kuvilipa vyombo vya habari viandike uongo wao, lakini bahati nzuri tunaodanganywa tumeshaanza kuoona ukweli kupitia akili zetu na macho yetu wenyewe.
Shingapi wametumia? Tupe link
 
Niaje waungwana?

Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika.

1. Kwanza wazungu walitudanganya kuwa wanakuja kutukomboa kiuchumi na kiroho, kumbe nyuma ya pazia lengo lilikuwa ni kututawala, kumiliki ardhi yetu na kila kilichopo katika nchi zetu.

2. Pili walitudanganya kuwa binadamu wa kwanza au wa kale walikuwa ni manyani, lakini hapo hapo kupitia vitabu vitakatifu vya dini wakatuambia kuwa binadamu wa kwanza alikuwa ni binadam wa kawaida ambae jina lake ni Adam.

cha kushangaza katika vitabu vinavyoonesha kuwa binadamu wa kwanza walikuwa nyani, utakuta waliochorwa ni watu weusi, na vile vinavyoonesha kuwa binadam wa kwanza alikuwa Adam utakuta amechorwa mzungu, hivyo ni wazi kuwa binadam wote tulikuwa ni binadam wa kawaida kutoka kwa baba yetu Adam, hao nyani tulioambiwa ilikuwa ni uongo mahususi uliotengenezwa kwa malengo yao watawala (wazungu)

3. Tatu wanadanganya kuwa pale Mashariki ya kati nchi yenye nguvu zaidi za kijeshi ni Israel, lakini wengi tumeshuhudia kwamba Israel haina tofauti na Ukraine, kwamba kila inapotaka kupigana na adui yake, au hata kikundi cha vijana wasiozidi hata 20,000 kama vile Hamas lazima waombe msaada wa silaha kutoka Marekani, huku UK na EU nao wakiipa kwa njia ya kimya kimya ili kupambana na kakundi hako.

Bora hata Ukraine inapambana na taifa ambali ni la kwanza kwa ukubwa duniani, taifa ambalo Ukraine inaingia zaidi ya mara 10, lakini pia ni la pili kwa nguvu za kijeshi duniani, hivyo kutokana na udogo wake na pia utoauti wa nguvu za kijeshi, ina haki ya kuomba msaada kutoka katika nchi nyingine. Lakini Israel inaomba msaada wa kifedha na silaha hata pale inapopambana na kikundi cha watu wachache wasiofika hata elfu 50 ambacho sio nchi, sasa inawezaje kuwa taifa lenye nguvu kuliko nchi zote za eneo hilo?

Mbona tukifuata uhalisia wa kweli bila kutanguliza mihemko ya kipropaganda za magharibi ni kama vile Israel haiwezi kufua dafu hata mbele ya mziki wa Iran kijeshi, japo nchi hiyo ina vikwazo lukuki vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 70. Kama vikundi vidogo vidogo vinavyodhaminiwa na Iran iliyowekewa vikwazo kwa takribani miaka 70 Hezbollah, Hamas na vinaitoa kamasi Israel inayodhaminiwa kijeshi na kifedha na Marekani kwa zaidi ya miaka 80 tena bila kikwazo hata kimoja, je hiyo ndio ya kuuita yenye nguvu hapo Mashariki ya kati zaidi ya nchi zingine? Kuna kikundi kidogo tu cha vijana kadhaa kilichopewa silaha mbili tatu na Iran hapo Yemen, kimesababisha nchi kubwa duniani zaidi ya 10 kuingia baharini kwenda kupambana nacho. Hivyo kudai kuwa Israeli ni taifa lenye nguvu kwa sasa, kwakweli ni uongo wa dhahiri ambao kwa dunia ya leo watu wanaanza kuushtukia kutokana na kile kinachoendelea katika eneo hilo.

Fikiria hiyo miaka zaidi ya 70 ambayo muisrael anapewa misaada ya kijeshi na kifedha na Marekani pamoja na vibaraka wa magharibi, kama pia ingetumika kutoiwekea vikwazo Iran hali ingekuaje, bado wangeendelea kudanganya hivi hivi au wangeongea ukweli kwa sababu ingekuwa ngumu kuuficha ukweli huo?

4. Walidanganya kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia, japo Russia ni wazungu wenzao, lakini ukweli ni kwamba wazungu wa nchi za West ndio wanaoongoza kwa kuhatarisha usalama na amani katika nchi za wenzao. Wengi tuliona jinsi wafaransa walivyopachika wavaa kobaz huko Mali, Niger, na kwengineko ili aweze kutumia mwanya huo kuiba rasilimali za nchi hizo kupitia maeneo yale ambayo serikali haiwezi kuyadhibiti tena. Hata miaka kadhaa iliyopita Msumbiji iligundua kuwa katika eneo la kusini mwa nchi yake kuna utajiri mkubwa wa gesi, hivyo waliingia mkataba na kampuni fulan ya kifaransa kwa lengo la kuja kuchimba gesi hiyo kwa makubaliano maalum, bila kujua kwamba nchi hiyo ya kusini mwa Afrika inakaribisha nyoka katika ardhi yake.

Miezi michache tu baada ya wafaransa kuingia eneo la kazi na kuisoma vizuri ramani, wakaunda kikundi cha wavaa kobaz kama ilivyozoea kufanya katika nchi Mali, Niger, Gabon nk. Lengo la kuunda kikundi kile ni kutaka lile eneo lisitawalike na kampuni yao ijifanye inakimbia kutokana na sababu za kiusalama, kumbe nyuma ya pazia wawe bado wapo wanachota gesi hiyo watakavyo huku wakiwapa silaha na hela ya kula viongozi wa wavaa kobazi ambao wanajua kile kinachoendelea katika eneo hilo. Hivyo kusema kuwa Russia ni nchi hatari kwa usalama na amani ya dunia ni uongo mtupu wanaojaribu kutudanganya sisi watawaliwa ambao wanahisi hatuwezi kujua lolote.

Uongo wao ni mwingi, siwezi kuuorodhesha wote, ila wajue kwamba watawaliwa tumeshaamka, sio kila tango pori watakaloturushia sisi tutalimeza bila kulimung'unya ili kujiridhisha kuwa ni lenyewe kweli au tango la mimba.
Ulichotaka kutuambia kuwa Russia siyo wazungu au umeamua kuleta ushabiki tu wa udini inayokusumbua siku zote?
 
Ulichotaka kutuambia kuwa Russia siyo wazungu au umeamua kuleta ushabiki tu wa udini inayokusumbua siku zote?
Vijana mnakuwa mapoyoyo sababu ya ujinga wa dini. Ni wapi nimeandika neno dini? Au haujasoma mada umekimbilia kukurupuka kisa umeona tu neno Israel na wewe mhayudi wa vizaka miguuni, uko kwenu bonyokwa umekimbilia kupandwa na mihemko na kuandika usichokijua?

Nimeamini kuwa raisi wa China alikuwa sahihi juu ya watu kama nyinyi. Hata hao wayahudi wenu hawatambua uwepo wa dini zenu katika taifa lao.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
Waambie washuke kwenye videge vyao waache kulialia
Kwahio hawana ndege juu kweli kukosa akili nayo kazi
Kwani vifaru pekee vinapigana au hujui kama walianza na kurusha videge kwa asilimia 💯 kabla ya kuja huko chini na bado hawajaacha kukaa juu mpaka leo
Waache waje chini hao mazayuni wale kipigo
Ndege zisizokuwa na rubani pamoja na vifaru vyao vyote vimeshindwa kuwasaidia 😄😄😄
 
Back
Top Bottom