Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Dini zote hukumu ya mchawi ni kifo.
Thus ulaya waliwaua wachawi wote bila huruma ndipo wakapata maendeleo.
Wachawi wanadumaza fikra za maendeleo wakitukuza ufukara
Hebu nioneshe Aya ya Qur'an inayosema mchawi auawe
 
Vijana ambao ndio walitakiwa wawe nguvu kazi na wafanya mabadiliko chanya nyumbani kwao Kigoma wapo Dar wanapiga uchawa

😄 Chawa levo

😄Chawa mwijaku

😄Chawa Mr. Pimbi

😄 Chawa manarro haji
 
Hao jamaa kila sehemu wana jina tofauti kuna sehemu wanaitwa Lambalamba kuna sehemu wanaitwa...
 
Nyie mnaopinga hiyo Operation mnajua mateso wanaopitia watu huko inakofanyika hiyo Operation?

AFRIKA HAIENDELEI SABABU MACHAWI YANANENEPEANA TU KILA SIKU CHA KUSHANGAZA KUNA WATU WANAWATETEA HUMU!
 
Waha kwa kina Zitto.
 
Nyie mnaopinga hiyo Operation mnajua mateso wanaopitia watu huko inakofanyika hiyo Operation?

AFRIKA HAIENDELEI SABABU MACHAWI YANANENEPEANA TU KILA SIKU CHA KUSHANGAZA KUNA WATU WANAWATETEA HUMU!
Yaani uchawi ni africa tu au ni dhana ya nyie wachawi na washirikina
 
Viongozi wote wa kigoma hawalioni hili ?

Tusema viongozi wa CC wamelipitisha, mtu unalazishwa kutoa afu5 na fimbo juu . Asee [emoji119]
Hao viongozi ni sehemu ya raia wa Tanzania, na raia wa Watanzania wengi wetu tulishawahi kusikia neno uchawi, hivyo hao viongozi wanawaunga mkono hao kamchape wakiamini uchawi ni kikwazo cha maendeleo Kigoma.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku mdau mmoja alileta nyuzi hujo Ujerumani ilifanya operesheni ya kuwaua wachawi wote kwa sababu ni kikwazo cha maendeleo.

Sasa wewe unapendekeza njia zipi zitumike kuwamaliza wachawi huko Kigoma?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Wewe fata Mambo yako....!

Waha leo Dar es salaam, ni Wafanyabiashara Wakubwa, Matajiri, lakini hawajengi kwao, watu wanaogopa hata kwenda kusalimia kwao Kigoma....!

Uchawi upo na Mchawi sio Mtu mzuri, kama huamini kuwa Uchawi upo wewe endelea na mambo yako, aijuae Siri ya Mtungi ni Kata...!

Unafiki wa Watanzania, kujifanya kuusikia kuhusu Uchawi Jamii forums...!

Vitabu vya Dini vinatambua Uchawi upo.... Hutaki unaacha....!
 
Yaani uchawi ni africa tu au ni dhana ya nyie wachawi na washirikina
Dhana? Una umri gani? Na umefanikiwa kufika vijiji gani katika nchi hii? Kama jambo hulijui na huna uhakika nalo ni bora kukaa kimya kuliko kuongea ukaongea nonsense.

Unafahamu Operation inaitwa WITCH HUNT CAMPAIGN? Hao ni Wazungu sio Waha.

Sasa wewe kaa hapo kwa sababu huelew madhara ya uchawi, endelea pengine hata hapo ulipo hauko sawa tunajuaje?
 
Mi nilishasemaga, uchawi na ushirikina ni direct proportional na umaskini na ujinga. Vitu kama hizi huwezi ona mjini coz watu wanajielewa
 
💔So kitabu Cha dini kikisema magonjwa yote ni mapepo nenda kaombewe we unaacha kwenda hospital...dunia imeendelea saa hivi unabidi uache Mila za kitoto na za kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…