Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

Wanasafisha mji kwa ajili ya maendeleo ya badae ss ole wao baada ya oparesheni tuone kigoma bado ipo vile vile kama mwanzo
 
Hii nayo Kali
 

Just because unaamini doesn't mean sio ujinga. We ukiamini mapepo na mizimu while tunajua it ain't real ..we ni mjinga tu..
 
Just because unaamini doesn't mean sio ujinga. We ukiamini mapepo na mizimu while tunajua it ain't real ..we ni mjinga tu..
Sasa kama unaishi Dunia hii tunayoishi sote, na unasema Mizimu na Mapepo ni Vitu ambavyo havipo...!

Wewe ndo utakua Mjinga wa Mwisho..!

Kutoamini jambo flani, haimaanishi kwamba halipo...! Na wala haikufanyi kuwa una akili Nyingi...!

Wapo Vilaza wengi wanaamini unavyoamini, na wengine wameenda Mbali hawaamini uwepo wa Mungu....! Ni Upunguani tu kuamini vile unavyoamini ndo kukufanya wewe kujiona una Akili.
 
Kama RC wa Kigoma ameshindwa kazi atolewe. Au inawezekana yana baraka na serikali. Nchi ya wapumbavu sana.
 
Unadhani Faki hakusaidia kwa kupunguza uchawi hasa vijiji vya Ndengele na mbamba-bay?unafahamu kuwa huku kila alipata mafanikio nje alikuwa akija likizo akiondoka anarudi na kiatu cha mbao?
Unamjua mzee Miale wa mbamba-bay sΓ sa ni marehemu alivyoua familia yake mpaka watoto wakamkimbia na wengine walirufi baada ya kufariki,Mzee Yusufu na Chimndala ?tusijifanye kuamini uchawi upo wakati sisi wenyewe ndio wachawi na hatuishi kwa waganga na kupeleka kuku weusi na weupe .
Mimi namkubali sana MSHANA JR na YERICCO NYERERE maana wapo wazi kabisa kuhusu mambo haya
 
Uchawi wa kisenge sana. Mchawi anaweza kukukwamisha kimaisha kwa wivu tu wa kipuuzi bila sababu yeyote anakufungia maisha yako yasiendelee.
 
Mi nilishasemaga, uchawi na ushirikina ni direct proportional na umaskini na ujinga. Vitu kama hizi huwezi ona mjini coz watu wanajielewa
Aliekwambia mjini uchawi hamna nani. Nenda Tabata Kisukuru kaone maeneo yale palivyodumaa halafu ufananishe na maeneo kama Tabata Segerea na Kinyerezi.
 
Waziri Mpya wa TAMISEMI atawakomesha ma RC and DC wanao ruhusu huu ujinga
Siku zote serikali inadai haiamini wala kujishughulisha na ushirikina, licha ya viongozi wengi kuaminika ni washirikina.
 
Hahahahaha. Sawa mkuu, naheshimu mawazo yako. Hao wote uliowataja nawafahamu pamoja na huyo marehemu ambaye alikuwa askofu wa kanisa jipya la mitume wakati huo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Okay uwepo wa Mungu utasema cjui jua sijui chupi imetokea wapi...so tuachane na hayo...una ushahidi gani wa mapepo kuwepo au mizimu kuwepo. Leta ushahidi unaoeleweka sio story za bibi yako Kijiji ambacho mtu mwenye elimu kaishia la Saba....
 
Aliekwambia mjini uchawi hamna nani. Nenda Tabata Kisukuru kaone maeneo yale palivyodumaa halafu ufananishe na maeneo kama Tabata Segerea na Kinyerezi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚So uchawi unachagua sehemu yenye watu maskini na wajinga au sio
 
Haya mambo yalifanyika Ulaya middle ages, zama za giza, miaka ya 500 hadi 1500 CE.
 
Tatizo la vijijini wakishamaliza kulima huwa hawana mambo mengine ya kufanya hivyo wanakuwa na muda mwingi wa kufanya mambo ya ajabu ajabu.
 
Utapeli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…