Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

Sio kwamba ni maandalizi ili keshobwakikata kwa shule za waislam waambiwe huu nibmsumeno hatuangalii ni nani?
 
Mtajuana na baba enu si anatoa elimu bure hadi secondary na hii imekuwaje sasa
 
Deni hilo liliibuka kipindi cha kampeni pale uongozi wa shule ulipo gomea amri ya kupeleka wanafunzi wote na uongozi wa shule Sheikh Amri Abeid, kumshangilia Mzee Baba (Mitano tena)/.....

Hii ni kweli kabisa.Mitano tena.
 
Huu uonevu mkuu, tangu lini shule inayosomesha watoto bure that means ni charitable entity, swala la kodi linatoka wapi??? and why now,?
Ni muhimu kujua usajili wao kama wana charitable status or otherwise
 
Something is very wrong somewhere in Tanzania.
Charity works are prohibited.
Investments are prohibited.
Sending money there is prohibited.
Tanzania is doomed.
Nimejikuta nashangaa sana, i cant swallow this kwa kweli
 

Maelezo yako ni mengi na mazuri ILA ni one sided story, tuambie TRA waliibukaje from no where tu wachote pesa, hakukua na mgogoro unsettled?

Tunaojua masuala ya kodi na mgt tunalo swali hilo! Yani tu vuup wachukue hela? Leta contextual information , ni kweli kabisa beneficiary ni watanzania ila taarifa zako zinakosa support issue ilianzaje ikafika hapo?
 
 
TAR wa tanzania huwa wanaibukia popote wakiamua hata kama hawakudai, na hakuna utakachowafanya yaani, kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hebu anza kusapoti upinzani uone watakapoibukia na watakufilisi hata kama hudaiwi kodi
 
Walipe kodi wanafanya biashara?
 
Hiyo cross subsidisation haipo hapo....kwani SHULE INAFADHILIWA NA WAAUSTRALIA...watoto hawatakiwi kulipa SUMNI KIPANDE.......

Ada inayolipwa "kinyemela" ndiyo INAYOULIZWA...na hapa ndipo ilipo HOJA mkuu....
Wana fadhili asilimia 90. Siku hizi hamna ufadhili wa 100% , anaefadhiliwa anatakiwa kuchangia. Na lengo la wafadhili ni kuwa ufike wakati mtaweza kujiendesha bila kuwategemea.

Unaposema kuwa wewe ni non profit organidation haina maana kuwa hauingizi pesa kabisa. Muhimu ni kuwa pesa zote zinazoingia zinatukimika kwenye kutoa huduma uliyosema utatoa.

TRA walitakiwa walipopata taarifa hiyo ya kuwa kuna wanafunzi wanalipa ada ni kuangalia kama hizo ada zinazalisha faida. Kama faida ipo, ndio wangewatoza kodi kutokana na faida hiyo. Sio kusema kwa sababu mna wanafunzi wanaolipa basi mapato yenu yote tutayatoza kodi. Sio haki wala busara.

Amandla...
 
TAR wa tanzania huwa wanaibukia popote wakiamua hata kama hawakudai, na hakuna utakachowafanya yaani, kama wewe ni mfanyabiashara mkubwa hebu anza kusapoti upinzani uone watakapoibukia na watakufilisi hata kama hudaiwi kodi

I concur, ukikataa kuchangia chama... sema waweke issue clear kua ni registration yao au whats behind!
 
Walipe kodi wanafanya biashara?
Corporate tax kwa ajili ya mishahara ya wafanyakazi wao.

Wako watoto wanaosomeshwa kwa kulipiwa ilihali the school is pure free for have not ...sasa hizo pesa zinazolipwa?!!!

Tungoje tuone wakijibiwa na serikali yao adhimu inayodhamiria ukweli na haki.
 
Mwanasheria mzuri kwa mahakama zipi? Mahakama hizi zilizoambiwa ziendeshe kesi haraka ili zipate mgao?
Ukiwa na kesi, ama umkarishe chini mtuhumiwa wako myamalize, au usamehe na kukubali maumivu. Ukiwa na kesi na serikali, option ni moja tu, kukubali maumivu. Hakuna mahakama huru Tanzania ya kuamua kesi yako kwa haki.
 

Yani kelele Zako hapa hazisaidii kitu, mwenye nchi anataka kodi awe wrong or right ila ndo mwenye nchi!

Uniite Mbuzi, Bata, Kuku, wont change a thing, St Judy apatane na mdeni wake is all, Hakuna kingine!
 
Mimi kwangu naona TRA hawana makosa! Wametimiza wajibu wao.Labda niseme tu kilichokosekana ni busara ya Serikali tu! Isingekomba fedha zote wakati shule hiyo ina mchango mkubwa kwenye huduma nyeti ya Jamii kama Elimu.
Kama serikali ina uwezo wa kwenda bank na kuchukua fedha kwenye account ya mtu bila idhini, bila shitaka na mahakama kutoa kibali, hapo ni shida kubwa.
 
Ziko Shule ambazo ZIMESAJILIWA kuwa ni za MAYATIMA...

Looh ajabu kubwa zinawachanganya mpaka watoto wanaolipiwa ADA NA WAZAZI...huku Wizara ya elimu ikiendelea kuamini kuwa watoto 100% wanafadhiliwa....

THINK THRICE
Waliwahi shitakiwa? Kama la, kwa nini isiaminiwe kuwa kuna mkono wa vigogo wa dola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…