Kinachomsumbua Dkt. Slaa ni udini na chuki binafsi kwa Rais Samia

Slaa ni Mtu makini sana,akisema jambo jitahidi kuamini. Weweu unaweza kuthibitisha Udini wake?
Hana umakini wa aina yoyote ile.ni hiyo huyo dkt Slaa aliongeaga uongo kuwa kuna gari linaingiza maboksi ya kura feki ikaja kugundulika kuwa ni uzushi na uongo mkubwa sana.
 
Hana umakini wa aina yoyote ile.ni hiyo huyo dkt Slaa aliongeaga uongo kuwa kuna gari linaingiza maboksi ya kura feki ikaja kugundulika kuwa ni uzushi na uongo mkubwa sana.
Sasa kinachokufanya umuite Padri wetu Mdini ni nini?
 
Sasa kinachokufanya umuite Padri wetu Mdini ni nini?
Ni kwa sababu amekuwa na chuki kubwa sana utawala unapokuwa unaongozwa na Rais muislam. Halafu usiseme padri.kwa sasa siyo padri na alishakiuka na kukanyaga viapo na miiko yote ya upadri.
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240609_002453_Instagram.jpg
    1 MB · Views: 1
Ajibiwe kwa hoja, kama hajibiwi kwa hoja lawama zote dhidi yake ni kazi bure
 
Mshaurini dkt Slaa aache Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Embu nikuulize swali hilo. Je umewahi kumsikia Dkt Slaa akikosoa chochote kile katika utawala uliopita?
Wapi alipohubiri dini au kukashifu dini ya samia?
 
Ni wapi Slaa amezungumzia dini
Je tukisema nawe una chuki na Slaa utasemaje
 
nonsense
 
Mara mia kuliko kuwa mwanaume wa sampuli yako


Tulikuwa nao wengi sana humu JF na walikata tamaa labda kama umejiunga Juzi au jana
Dogo atachelewa sana kupata uteuzi sababu yeye anaandika pumba tupuu.

Ajabu mabosi zake wanaona anavyo dharirisha chama
 
@Lucas Mwashambwa sijui siasa umeanza kufuatilia lini?! Kama ulikuwa timamu miaka ya 2000 wakati wa utawala wa mkapa, Dr. Slaa akiwa mbunge wa Karatu alikosoa sana serikali ya Mkapa(Mkristo) na Sumaye(Mkristo). Yeye na Prf. Lipumba walikuwa ni vinara waliopinga sera za ubinafsishaji kiholela wa mashirika ya umma, na mikataba mibovu ya uchimbaji madini.

Pia walipinga suala la Kodi ya kichwa na baiskeli, mambo yaliyokuja kuondolewa baadae na serikali ya Mkapa.
 
Mshaurini dkt Slaa aache Udini na chuki binafsi kwa Mheshimiwa Rais. Embu nikuulize swali hilo. Je umewahi kumsikia Dkt Slaa akikosoa chochote kile katika utawala uliopita?

Because alikuwa mmoja wa utawala huo, hata ww ukiwa nje ya ccm utakuwa kama slaa tu
 
Kweli atachelewa kupata kaunda suti na cruiser nyeupe kutishia watu
Nani ampe uteuzi mtu asiejua kujibu facts.Nilimtafuta kwa thread flan hivi kama anaweza aweke facts niweke.
Akakimbiza mkia wake.

Dr.Slaa ameshavuka level za udini huyu mtu.
Alikua tested akapata ubarozi akasaliti mapambano ila kwa udini namtetea kabisaa.
 
Huyu bwana mdogo ni wa 2000 haelewi hata nchi imetoka wapi kisiasa.
 
Acha uchawa wa kijinga wewe wenzako wanateuliwa hata wakiwa wameshakua marehemu wewe unaandika maandishi yasiyo na mshiko ndio maana uteuzi utaendelea kukupita
 
ndugu ni wapi alipomshambulia mama kipenzi cha watanzania?
 
Sasa ulitaka Dk.Slaa awe chawa wa Mama?
Kama wakati wa JK (ambaye ni Muislam) Dk.Slaa hakuwa na chuki naye za Udini,inakuwaje awe na Chuki za Udini kwa Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…