Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

Fikiria chama kinaona muuaji na mporaji ndiye anayefaa kuwa kiongozi wao!! Bila shaka wamevutiwa na uovu, ndiyo manataka mwovu awaongoze katika kutenda na kuishi na uovu.

CCM ni alama ya uovu, laana na ushetani, ndiyo maana wapo radhi na wanafurahia wanapokuwa na kiongozi mwovu zaidi anayeweza kuujenga na kuupalilia uovu.
Ila wabongo bhana wajinga na wapumbavu sana! Kama ni muuaji na mwenye mamlaka yote Rais mwenyewe kamuona nafaa kuwa Mwenezi wewe ni nani useme ni muuaji na hafai kuwa Mwenezi!
Watu wengi humu mna roho mbaya na ukabila unawasumbua sana! Makonda hakuwa na cheo ndani ya miaka mitatu mbona hamkwenda mahakamani kumshitaki?
Nchi ya watu wenye majungu na wanafiki! Mwacheki Mkaonda afanye kazi zake nyinyi kazi imewashinda mnaanza kumsikiliza huyo mzee mwenye tuhuma kidao za hovyo!
 
mleta mada nadhani , ingekaa vzr Kama ungeweka , na nukuu ya comrade hapo chini .
 
mzee usitake kuwapa kazi watu ambao walikuwa hawana kazi, wakapata kazi ya kufanya kazi. hawashidwi kufukua yanayokuhusu .
 
Ndugu wanajf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.

Leo nachukua fursa hii kupongeza kauli ya Mzee Kinana, ila pia naomba kutana naye.

Ni kweli mimi sio MwanaCCM, ila pale amefanya vizuri lazima kupongezwa, mzee ametoa kauli ambayo hakumtaja yeyote ila ujumbe wake upo wazi na mafunzo makubwa ndani yake.

Nakushukuru sana Mzee kinana ila kura yangu CCM sitowapa.

Thanks
Hii ndio Tanzania, fisadi anabeza kisha chawa anakuja kumpongeza.

Damn!
 
Back
Top Bottom