Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.

Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kiti cha Ruto kimechubuka rangi sio cha ikulu
 
Hivi ni Rais wa Tanzania tu ndio huwa anatembea na kitu chake maalum au marais wote??
Huwa sioni hata POTUS akiwa anatembea na kiti chake maalum!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…