hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.
Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.
View attachment 2387701View attachment 2387702View attachment 2387703View attachment 2387704
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Huu Uhuru wenu wa kuongea kila mnachojisikia mnautumia vibaya
Yule ni rais wa inchi, ni raia namba moja, kuna mambo mengine rais anafanyiwa ambayo ukiambiwa utashangaa zaidi
Ethics za ulinzi hakuna mambo ya hapa kanisani wala hapa msikitini kwanza ujue Hilo
Umewahi kujiuliza why mashekhe wengi na mapadri wengi ni mapolice au watu wa usalama ?
What if kiti cha rais kina massage machine ambayo akikaa inafanya awe comfortable unataka na Hilo litangazwe?
Acheni ushamba