Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Kwa nini hakubebewa kutoka Nairobi? anaheshimu taratibu za kanisa, angalia hata Body guard wake kavua kofia

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Huyu mpambe wa rais wa kwetu toka Mara anaweza kuwa msabato😆😆😆.

Kuna watoto wasabato huwa wanavaa kama scout wanaingia kanisani na kofia zao.
 
Mseveni kaenda Kenya na gari la choo, hataki ku-share choo na mtu!
Corona plus Ebola = Hatari sana na hasa kama una mihela mingi uliyojilimbikizia ndani na nje lazima uogope maana mmh ! Watu waziachaga zote wanaenda kama walivyozaliwa hamna kitu !! Duh !!
 
Nchi hii haiongozwi kwa maandiko bali Katiba
Bahati mbaya hilo andiko la kuheshimu mamlaka halikutoa nafasi ya kutuambia mamlaka tunazopaswa kuziheshimu ni zipi, wala jinsi zilivyopatikana, andiko limetubana tuheshimu mamlaka zilizo juu yetu, full stop.

Kuanza kulijadili hilo andiko hapa kwa sasa naona ni sawa na kumkufuru Mungu, au kuwafundisha wale waliotuletea maandiko, na hicho ni kinyume cha kuwa muumini.
 
Raisi popote akienda lazima awe na kiti chake fahamu ivo.
20221025_061538.jpg
 
Kifungo ni miaka saba na faini ya Toyota IST unregistered.
 
Acha kiherehere,
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.

Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.

View attachment 2387701View attachment 2387702View attachment 2387703View attachment 2387704

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app

Acha kiherehere wewe, kwa mfano wako ulitaka tuige Mh. Rais wetu akalie hata kiti kilicho chanika au kuchakaa? Kwanini nyie watu mnaiga iga tu hata, Mh. Rais wetu akikalia kiti kizuri zaidi shida ni nini? Nyoko wee
 
Back
Top Bottom