Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Huu ni ujinga umecomment unazijua itifaki za usalama kweli wewe
Humu JF tukianza kuwahesabu wajinga, wewe kimsboy unaongoza kwa mbali wala hukuna anayekukaribia. Ujinga wako ni wa kurithi na kama ungekaa kimya ungefanikiwa sana katika kuficha ujinga wako...ni ushauri tu!
 
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.

Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.

View attachment 2387701View attachment 2387702View attachment 2387703View attachment 2387704

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwa ujinga huu serikali ina uwezo wa kutugeuza itakavyo.
Yaani weshatuachia agenda ya kujadili. Hakuna tena kujadili inflation.
Likitoka hili la kiti watatuchomekea jingine na hakutokosekana wajinga wa kulibebea bango kama wewe
 
Huu ujinga hauwezi kuisha.
Kiti ,kiti, kiti Raisi.

Kwani alikibeba yeye ,au alitoa maagizo kibebwe ?

Kama ni mwiko au kinakiuka maadili yakanisa, kwanini wenye Kanisa waliruhusu kuingiza kitu ambacho nikinyume na kanuni zao?

Hii kukaa kwenye mambo ya kijinga na kuyapa airtime ya kuzidi ndiyo yanaperekea matapeli ,kutuona shamba la bibi Yao .hata walio pigwa na Kylinda machungu mmehamishia kwenye kiti.

Ifike mda turuhusu bongo kuwaza mambo ya msingi.
 
Binafsi sikumshangaa rais wa TEC wa wakati huo Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, alipomzuia Mzee wa Msoga kuingia na kiti chake kwenye hafla aliyoalikwa na Kanisa.

Mzee wa Msoga kuona vile, akasusa kuhudhuria lile tukio, na maisha yakaendelea. Kuna kama viashiria vya dharau hivi kwa mbali dhidi ya Kanisa na pia imani, kwa mbali.
Kwanini uwaze kua ni dharau?
 
Nyumba za ibada hazitakiwi kutengeneza makundi
Mengine hayaepukiki, hivi nahayatengenezwi kwa utashi wawatu

unafahamu Kuna misikiti yenye viti?

Utamatudi kanuni na Sheria za msikitini ni kuvua viatu na kukaa chini.
Kwasababu zakiafia Kuna watu hawakai chini naviti vyao vinakaa misikitini.
 
MNATAKA MUMWEKEE SINDANO AKIKALIA KSUMU KIPENYE HAMUMPATI KULE RWANDA NYUMBA ZENU ZA IBADA ZILIGEUZWA TANURU WATU NDO KUNI.HAPA NI TZ KANISA ROME HUKO.
 
Hawawezi kumpangia hivyo !! Kwani kiti cha Rais hakiruhusiwi kuingizwa kanisani ? Nadhani kimeingizwa kwa ruksa ya hapo kanisani na wamekubali kwa sababu hawakuona ubaya wowote ! That's My take lakini sina hakika !
Au kilikuwa na baraghashia mkuu na makubazi mana wamemind.
 
Hujui Biblia inatanka wazi astahiliye heshima anastahili heshima kubwa

Heshima inaanzia kuanzia mapokezi atakapokaa ,atakachokula ,atapolala nk

Raisi ni mtu mwenye heshima kubwa huwezi m treat kama mtu wa kawaida

Mlitaka kumfanyaje mbona mnakomaa? AFTER All yeye na Makamu sio waumini wa hapo kanisani kwenu Bukoba walikuja kama wageni wa heshima wana makanisa yao Parokia au misikiti wanakosali Hawako kigango chenu au jumuiya ya kwenu!! Wamesafiri kuja kama wageni wa heshima tu huwezi kuwaweka kundi moja na wanywa Rubisi wa Kagera
Akili zetu za kitanzania zina upuuzi wa kila aina, ni kuwavumilia tu.
 
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.

Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.

View attachment 2387701View attachment 2387702View attachment 2387703View attachment 2387704

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Akienda msikitini mkeka utatoka Unguja au nako atakalia kiti!
Tumetoka kwenye ubaguzi wa basi la wazungu sasa tuko kwenye ubaguzi wa wenyewe kwa wenyewe.
 
GENTAMYCINE nikiwa kama Mkristo tena wa Dhehebu Mama na Kubwa duniani la Katoliki sijaona Kosa lolote kwa Rais Samia kuingia Jana Kanisani na Kitu.
Nami nikiwa Kama wewe kiimani nimeona SSH amekosea itifaki ya kanisa. Kiti Cha rais ni alama ya mamlaka na wote tunaoenda kanisani tunaamini tupo chini ya Mamlaka Moja na ndio maana vitu vyote vinavyoashiria mamlaka Kama Wanaume kuvaa kofia haviruhusiwi.
 
Ingekuwa nje ya nchi lingekuwa jambo la kueleweka ila sio ndani ya nchi.
Wamarekani wanatembea mpaka na shuka za vitanda!! Tulishuhudia alipokuja Obama !! The Beast ndio haisahauliwi kabisaaa!! Gari la mkulu wa dunia !!
 
Hili sio taifa la kidini, hatuhitaji kuongozwa na vitabu vya dini katika masuala ya kitaifa.
Bahati mbaya hilo andiko la kuheshimu mamlaka halikutoa nafasi ya kutuambia mamlaka tunazopaswa kuziheshimu ni zipi, wala jinsi zilivyopatikana, andiko limetubana tuheshimu mamlaka zilizo juu yetu, full stop.

Kuanza kulijadili hilo andiko hapa kwa sasa naona ni sawa na kumkufuru Mungu, au kuwafundisha wale waliotuletea maandiko, na hicho ni kinyume cha kuwa muumini.
 
Hata kikwete waliwahi kumjadili humu mwaka 2011 khs kuzunguka na kitu Chake kila aendako.

Mseveni kaenda Kenya na gari la choo, hataki ku-share choo na mtu!
 
Back
Top Bottom