denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hope you happy now!, kama vile nilikuja JF kuwafurahisha nyie!.Kumbee. Basi hana maana. Walewale brainwash.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hope you happy now!, kama vile nilikuja JF kuwafurahisha nyie!.Kumbee. Basi hana maana. Walewale brainwash.
Msikitini anaendanacho?Huu Uhuru wenu wa kuongea kila mnachojisikia mnautumia vibaya
Yule ni rais wa inchi, ni raia namba moja, kuna mambo mengine rais anafanyiwa ambayo ukiambiwa utashangaa zaidi
Ethics za ulinzi hakuna mambo ya hapa kanisani wala hapa msikitini kwanza ujue Hilo
Umewahi kujiuliza why mashekhe wengi na mapadri wengi ni mapolice au watu wa usalama ?
What if kiti cha rais kina massage machine ambayo akikaa inafanya awe comfortable unataka na Hilo litangazwe?
Acheni ushamba
Hahahaha! Umetoa kali mkuu.Hayo ni mambo ya usalama acheni ujuaji sana
Mashekhe wengi si wanajifanya mbwa ni najisi? Mbona wakienda airport za nchi nyingine mizigo Yao inanuswa na mbwa
Wewe kama kiongozi unapopewa heshima iliyovuka mipaka lazima uikatae na ukiikataa utaheshimika na kupendwa zaidi.Raisi ni mtu mwenye heshima kubwa huwezi m treat kama mtu wa kawaida
Huwa una mihemko sana, nimeshakuzoea, una ujuaji mwingi lakini kimsingi sioni chochote unachojua, uko petty sana.
Suala la mimi kusifiwa kama linakuuma sana pole, usiniletee wivu wa kike, ila usitegemee mimi kufanana nawe kimsimamo na mtazamo hata siku moja.
Mimi sio jiwe kama wewe, najua kutazama ukweli ulipo na kuukubali bila kujali nimeambiwa na nani, vivyo hivyo nami kusema nachoamini bila kujali nitamkera nani, sikuja huku kukufurahisha wewe na wenzako.
Mimi sio wa kutengeneza makundi ya kishabiki wa kitoto yaninyime uhuru wa kufikiria, am a free minded person.
Msikitini anaendanacho?
Kama unaona kanisa katoliki walichofanya kinakuchefua Hama kanisa au kaanzishe la kwakoUnauliza maswali kama una mtindio wa ubongo! Kwani huyo Rais ni Padre au Askofu wa Kanisa Katoliki mpaka na yeye awe na kiti chake maalum wakati wa ibada! Wewe ukienda Kanisani kwako huwa unakaa na Mchungaji wako kule mbele?
Huyu Rais akienda msikitini huwa anakaa na Imam kule mbele, kwa sababu ya Urais wake? Au anakaa upande wa wanaume kwa sababu yeye ni Rais wa nchi na Amiri jeshi mkuu, anaye watawala watu wa jinsia zote?
Kila sehemu ina utaratibu wake! Hivyo na Rais naye alitakiwa kufuata utaratibu. Unapokuwa ndani ya nyumba ya ibada, cheo na mamlaka yako hubakia nje! Na hivyo mwenye mamlaka ndani ya nyimba ya ibada ni Padre/Askofu wa Kanisa.
Bora umejitambua una wivu wa kike, na unavyopenda kujichekesha kwa nguvu tena, ndio balaa zaidi, naanza kukutilia mashaka!.Ahaaa ahaaa, nimecheka kwa nguvu vibaya sana. Usingepanick ningeshangaa sana. Ila na mimi inabidi niache kukuonea wivu wa kike kwa jinsi ulivyosifiwa.
Pumbavu!Busara! maana yake, kutenda kistarabu.
Litendwe mahali pake, mipango usiharibu.
Kuna pale utamke, pengine ubaki bubu.
Sasa watanzania tunaelekea ujingani kwa kasi isiyomithilika.tumezaa kizazi kisicho na vipaumbele wala malengo.
Tuko kwenye wakati ambapo kila mmoja anadhani anaweza aidha kuwa kiongozi au mwanasiasa bila hata uelewa au elimu ya siasa yenyewe.
Tumegeuza simu janja kuwa madarasa ya kueneza kila tunachoamka nacho kichwani bila tafakuri ya upana na umuhimu wake kwa jamii au madhara yake kwa jamii.
Tuna kizazi cha ubinafsi na unyang'au wa hali ya juu kupitia mgongo wa siasa,wakati kinachoendelea sio siasa bali uhasama baina ya pande mbili zinazogombea ulaji.
Huku wananchi tukionekana kama mazombi tusiojitambua mbele ya wao wajiitao wasomi lakini wasio na uwezo wa kupenya ajira za kimataifa,sambamba na wasomi wenzao huko Duniani.
Badala yake wanarudi kutafuta short cut kupitia siasa uchwara za kibunge.
Inapofikia wanaojiita wanaharakati kushindwa kujenga hoja nzito zenye mashiko na maslahi mapana kwa wananchi.
Na hivyo kuibana serikali na watendaji wake kuwajibika ipasavyo.kuendana na katiba ya JMT,pamoja na viapo vyao.
Badala yake ...
Tunarudi kujadili hoja ya kiti cha Rais kanisani......
Huku sio tu kuporomoka kisiasa,bali ni kubomoka kisiasa.
Wewe Erythrocyte ukiwa chawa ndani ya jengo linalobomoka kwa kasi.
Bora umejitambua una wivu wa kike, na unavyopenda kujichekesha kwa nguvu tena, ndio balaa zaidi, naanza kukutilia mashaka!.
Dah.!
Kwa muktada huo ni kwamba huwezi kumtenganisha kile akisemacho na mawazo ya wafuasi majority wa chadema.Sio msemaji wa CDM bali ni active member ndani ya jamii forums, na anatoa maoni yake kwa kufuata sheria zote za jamii forums bila kumtukana mtu. Hizi hisia zako ndio zinazopelekea hitimisho bovu.
Kwa muktada huo ni kwamba huwezi kumtenganisha kile akisemacho na mawazo ya wafuasi majority wa chadema.
Muulize mama yako kama huu ni ujingaHuu ni ujinga umecomment unazijua itifaki za usalama kweli wewe
Bwashee hata wewe hukujizaa, mpe heshima anayostahili huyo mwanamke aliyekuzaa. Kutukaniana mamas siyo jambo la heshima hata kidogo.Muulize mama yako kama huu ni ujinga
Umenena la akili sanaBadala ya kujadili jinsi watanzania wanavyoumizwa na utawala wa Samia kupitia matozo mnajadili kiti cha Rais kanisani?
Hivi mmeishiwa na akili kabisa hadi mnajadili viti vya Rais kanisani au msikitini?
Hivi mmesahau kuwa hizo ni itifaki na mambo ya kiusalama?
Hivi tunaacha kujadili jinsi utawala wa huyu mama unavyoacha wananchi wateswe na mifumuko ya bei na matozo ya kijinga kijinga mnapoteza muda kujadili kiti cha rais kanisani?
Unahitaji kuwa akili haipo kabisa yaani umefilisika kabisa ubongo wako umebakia na juisi tu ndo ujadili kiti cha Rais kanisani
Tunapoteza muda kujadili upumbavu na ujinga usio na mantiki huku tukiacha mambo ya msingi
Bongo lala parachichi dogo shs 1000/= njombe oyeee!!Umenena la akili sana
Hali mbaya inaacha kujadiliwa, watu wanajadili outing ya mtu.
Kweli bongo nyoso
Na hizo bei zinapanda kwa sababu ulaya ina import chakula kutoka Afrika na sisi tunakula nyasi in substitute..Bongo lala parachichi dogo shs 1000/= njombe oyeee!!