Huyu mpambe wa rais wa kwetu toka Mara anaweza kuwa msabato😆😆😆.Kwa nini hakubebewa kutoka Nairobi? anaheshimu taratibu za kanisa, angalia hata Body guard wake kavua kofia
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Corona plus Ebola = Hatari sana na hasa kama una mihela mingi uliyojilimbikizia ndani na nje lazima uogope maana mmh ! Watu waziachaga zote wanaenda kama walivyozaliwa hamna kitu !! Duh !!Mseveni kaenda Kenya na gari la choo, hataki ku-share choo na mtu!
Bahati mbaya hilo andiko la kuheshimu mamlaka halikutoa nafasi ya kutuambia mamlaka tunazopaswa kuziheshimu ni zipi, wala jinsi zilivyopatikana, andiko limetubana tuheshimu mamlaka zilizo juu yetu, full stop.
Kuanza kulijadili hilo andiko hapa kwa sasa naona ni sawa na kumkufuru Mungu, au kuwafundisha wale waliotuletea maandiko, na hicho ni kinyume cha kuwa muumini.
Raisi popote akienda lazima awe na kiti chake fahamu ivo.
Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma.
Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu hawakuhangaika eti kutafuta kiti cha Raisi kitokr Nairobi ndio akalie, Sasa sipati Picha ingekuwa ni kwa mtukufu wetu.
View attachment 2387701View attachment 2387702View attachment 2387703View attachment 2387704
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app