Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

Kwani viti navyo vinasali?
 
Hata kikwete waliwahi kumjadili humu mwaka 2011 khs kuzunguka na kitu Chake kila aendako.

 
Unaweza ukawekewa Ulozi kwenye kiti ukapata shida kweri kweri !! Kama fear of the unknown !!
 
Sio Samia tu..hata Mimi huwa ninaenda na kiti change kanisani. Hii ni kwa sababu tuna uhaba wa viti pale kanisani kwetu. Kuna sababu ya mwrshimiwa na yeye kukalia kiti chake kanisani. Hatujui protokali iliyofuatwa. Afu habari ya kiti sio issue ya kutupotezea muda. Tuna mambo mengi ya msingi ya kuzungumzia
 
Hivi ni Rais wa Tanzania tu ndio huwa anatembea na kitu chake maalum au marais wote??
Huwa sioni hata POTUS akiwa anatembea na kiti chake maalum!
Ushirikina mzee! Msoga nae alikuwa na kiti chake kila anakoenda na kilikuwa na maandishi yetu yale
 
hizi tabia wanazo wasabato sana kutwa kutembea na maviti barabarani, kwanini msipeleke viti vya kutosha kanisani???
 
Mamnde, ni characters na sio characteristcs!, all human beings have the same characteristics, but different characters!.
P
I don't think that has anything to do with Samia's character, sababu huo utaratibu wa ulinzi wala hawajiamulii wenyewe
Labda alifika tu kanisani na kuelekezwa sehemu yake ya kukaa ikiwa hivyo
Or maybe i am wrong
 
Tuziheshimu nyumba za Ibada.
Binafsi sikumshangaa rais wa TEC wa wakati huo Mhashamu Baba Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa, alipomzuia Mzee wa Msoga kuingia na kiti chake kwenye hafla aliyoalikwa na Kanisa.

Mzee wa Msoga kuona vile, akasusa kuhudhuria lile tukio, na maisha yakaendelea. Kuna kama viashiria vya dharau hivi kwa mbali dhidi ya Kanisa na pia imani, kwa mbali.
 
Tanzania viongozi wetu wamejawa na Imani za kishirikina, Mimi sioni sababu ya kubeba viti ili hali uendako Kuna viti na salama, maana Rais kabla ya kufika eneo Hilo usalama wa Taifa huwa wamesha kagua na kujiridhisha, sasa una beba kitu chako Cha nini? Huo mchezo ulianza na JK akiwa madarakani.
 
hizi tabia wanazo wasabato sana kutwa kutembea na maviti barabarani, kwanini msipeleke viti vya kutosha kanisani???
Unajua sababu? Au unawaza kwa kutumia utumbo mpana? Wasabato ni yalr makanisa ambayo hayana viti vya kutosha au siku ambayo kuna wageni wengi sana, Wasabato hawana misa ya kwanza wala ya pili hivyo kunakuwaga na upungufu wa viti

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…