Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwa sababu chadema wapo upande wa haki.Hivi kwa nini hoja nyingi za TLS zinaafikiana na madai ya chadema..?.
Hakuna tofauti na Special Branch ya Mkoloni iliyokuwa inalinda maslahi ya Wazungu wachache.Hapo TISS wako kutafuta wakosoaji(nani atakosoa serikali) na si kusikiliza na kufanyia kazi maoni yatayosaidia nchi na watu wake kuhusu chaguzi zetu.
😊 Upande wa Mungu upande wa haki.Hivi kwa nini hoja nyingi za TLS zinaafikiana na madai ya chadema..?.
Hoja za Chadema ni standards na best practice kwa kila mstaarabu na anayetumia akili. kwa hiyo mtu yeyote mwerevu atapita humu humoHivi kwa nini hoja nyingi za TLS zinaafikiana na madai ya chadema..?.
huyu msomi namwelewaga sana. Mlianza kusema kuwa kalambishwa asali nikasikitika sanaMwabukusi anavoongea kama anataka kupigana
TLS ni yetu sote, ila sikumbuki km imewahi kutokea hawa jamaa kupingana na chadema! ina maana chadema wao siku zote wapo sawa tu hawajawahi kukosea?.Hoja za Chadema ni standards na best practice kwa kila mstaarabu na anayetumia akili. kwa hiyo mtu yeyote mwerevu atapita humu humo
Kukabiliana na serikali ya Samia moja kwa moja dhidi ya ukiukwaji wa Katiba na uvunjifu wa sheria!Nazani tumeongeza sana tunamebakia na jambo moja nalo ni