PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii serikali dhalimu inatakiwa kulazimishwa kutii Maamuzi ya Mahakama, kwa kutumia kila mbinu tisisubiri 'utashi' wa walio madarakani kutekeleza mabadiliko ya vifungu vya sheria na katiba kama maamuzi ya Mahakamu Kuu ilivyopendekeza.

Naamini kuwa mhimili wa Mahakama pekee yake katika mazingira ya Tanzania haiwezi kuhakikisha maamuzi ya Mahakama yanazingatiwa. Hivyo umma mpana wa waTanzania pia uweke mbinyo utekelezaji kwa No Reforms No Election.
 
Kutoka maktaba:

13 JUNE 2023


kesi ya Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi DED kusimamia chaguzi za Urais, Ubunge na Udiwani
13 JUNE 2023

Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi​

Hukumu iliyotolewa katika uamuzi Leo ni kuhusu kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidaiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo mpeleka maombi anadai kuwa ni vigumu uchaguzi kuwa wa huru na wa haki, lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

UPDATES:
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeagiza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya marekebisho ya sheria ya Taifa ya uchaguzi inayotoa uhalali kwa Wakurugenzi (DED) kusimamia uchaguzi.

Uamuzi huo umetolewa kufuatia kutupilia mbali kwa mara nyingine ushahidi wa upande wa Serikali kwenye ile kesi ya kupinga hiyo.

Kufuatia maelekezo hayo mahakama hiyo imeielekeza Serikali ndani miezi 12 kupeleka ripoti ya utekelezaji wa uamuzi huo.

Ikumbukwe Kesi hiyo ambayo uamuzi wake umetolewa leo June 13, 2023, ilifunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi,

Ambapo mlalamikaji alidai kuwa Wakurugenzi (DED) hao ni 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo kupelekea uchaguzi kushindwa kuwa wa huru na wa haki. Lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

Inaweza kukumbukwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 baadhi ya wadau hususani wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania na Wanaharakati walikosoa vipengere hivyo vinavyotoa mamlaka kwa Wakurugenzi DED kusimamia uchaguzi, wakitaja Wakurugenzi hao waliokuwa na dhamana kuwa ni makada wa Chama tawala hivyo ilikuwa ni vigumu kwao kusimamia misingi na taratibu za uchaguzi licha ya baadhi ya wengine kuwa na mtazamo tofauti.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo mara baada ya uamuzi,Wakili wa upande wa mleta maombi, Jebra Kambole amesema kuwa walichukua uamuzi wa kufungua shauri hilo wakiamini wanaweza kupata haki licha ya kushindwa kwenye mahakama ya rufaa.

“Baada ya kushindwa hiyo kesi mahakama ya Rufaa tuliamini kuna haki zetu hazijawa sawa kwahiyo tukapeleka kesi kwenye mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, kwamba vile vifungu vinavyotoa mamlaka kwa wakurugenzi (DED) vinakiuka mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu”amesema Wakili Jebra Kambore

Ameongeza kuwa “Mahakama imekubaliana na sisi kuwa sheria haijaweka vigezo vya Wakurugenzi hao kusimamia uchaguzi, mahakama imeona kuwa kutokana na kutokuwepo kwa vigezo ni kwamba mtu yoyote anaweza kusimamia uchaguzi. Mahakama imesema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi"

Ikumbukwe Kesi hiyo ambayo uamuzi wake umetolewa leo June 13, 2023, ilifunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

Ambapo mlalakaji alidai kuwa Wakurugenzi hao ni 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo kumpelekea uchaguzi kushindwa kuwa wa huru na wa haki. Lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

Inaweza kukumbukwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 baadhi ya wadau hususani wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania na Wanaharakati walikosoa vipengere hivyo vinavyotoa mamlaka kwa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, wakitaja Wakurugenzi hao waliokuwa na dhamana kuwa ni makada wa Chama tawala hivyo ilikuwa ni vigumu kwao kusimamia misingi na taratibu za uchaguzi licha ya baadhi ya wengine kuwa na mtazamo tofauti.

images%20(8).jpg



Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imepiga marufuku Wakurugenzi kusimamia chaguzi, yaagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi na kupeleka ripoti ya utekelezaji wa marekebisho hayo ndani ya miezi 12.

Mahakama ya Afrika.jpg

Kesi hii ilifunguliwa na mwanasheria Bob Wangwe kupinga wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mtaa kusimamia uchaguzi. Itakumbwa kuwa hii ni mara ya pili kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kupigwa marufuku kusimamia uchaguzi mbali na uamuzi wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania iliyoamua kuwa waendelee kusimamia chaguzi kwa sababu wanakula viapo vya kukana uanachama wao wa vyama vya siasa kabla ya kusimamia chaguzi.

Chanzo: Jambo TV

Sasa serikali isisubiri kusukumwa kukazia hukumu hii kabla ya 2025


13 June 2023
Arusha, Tanzania

Application 011/2020 - Bob Chacha Wangwe and Legal and Human Rights Centre vs United Republic of Tanzania​

II. SUBJECT OF THE APPLICATION
A. Facts of the Matter
3. The Applicants challenge the provisions of the National Elections Act and they
claim that the Respondent State, by enacting and implementing the impugned
provisions, violated numerous rights including the right to equality before the law ; the citizen’s right to participate freely in the government of his country,
either directly or through freely chosen representative, the right to vote and be
elected at genuine periodic election and the right to equal access to public.

B. Alleged violations
4. The Applicants allege that the Respondent State has violated fundamental rights
guaranteed in article(s) 1, 13 (1), 21 (1) and (3); 25 (2) & 26; 21 (1) & 21 (2). 74(14) of the Charter, the Universal Declaration of Human Rights, 1948 (hereinafterreferred to as “the UDHR), International Covenant on Civil and Political Rights, 1966 (hereinafter referred to as “the ICCPR) and the Constitution of the United
Republic of Tanzania, respectively.

JUDGEMENT:

The Applicants alleged that the Respondent State had violated their right to participate in the government of their country contrary to Article 13(1) of the Charter and also their right to equality before the law and to equal protection of the law contrary to Article 3 of the Charter.

The Applicants submitted that section 6(1) of the NEA violated the Charter because the Director of Elections is appointed by the President who is the Chairperson of the ruling party and also among the contestants in elections. This manner of appointing the Director of Elections, the Applicants contended, raised questions of impartiality and independence of the
Electoral Commission.

The Applicants also submitted that section 6(1) “lacks the criteria for
the appointment of the Director of Elections and thus, makes it wide, broad and vague, and
subject to abuse
”.

The Court noted that at the core of the Applicants’ grievances, in respect of the appointment of the Director of Elections, was the question of the independence and impartiality of the office.

In line with its jurisprudence, the Court pointed out that States have latitude in terms of configuring their electoral management bodies while bearing in mind the overriding responsibility of establishing an institution that is independent and impartial.

Having considered the Parties’ arguments, and given the various methods for constituting electoral management bodies in use in Africa, the Court held that there is no violation of Article
13(1) of the Charter by the mere reason that the Director of Elections is appointed by the
President. It also held that Article 13(1) of the Charter is not violated simply on the basis that the President makes the appointment of the Director of Elections following recommendation (s) by the Electoral Commission.

In respect of the Applicants’ allegation that section 6(1) of the NEA “lacks the criteria for the appointment of the Director of Elections and thus, makes it wide, broad and vague, and subject
to abuse”, the Court observed that, indeed, section 6(1) did not set out any qualifications that
an appointee for the position must possess in order to qualify for appointment.


The Court thus found it anomalous that the Respondent State’s laws contain no provisions
stipulating the qualifications that one must possess to be appointed a Director of Elections.

The Court held, therefore, that in relation to the head of the Electoral Commission’s secretariat, it behoved the Respondent State to appoint individuals of the highest calibre who can independently, impartially and transparently coordinate the management of the electoral process. However, without a clearly laid out qualifications scheme, the considerations that the
appointing authority may take into mind when appointing a Director of Elections were unclear.

The Court found that this exposed the process not only to uncertainty but also the possible consideration of irrelevant factors.

Given the violations of the Charter that the Court had established, it also found a violation of Article 1 of the Charter.

On reparations, the Court reiterated its established jurisprudence that for reparations to be granted, the Respondent State should, first, be internationally responsible for the wrongful act.

Second, causation should be established between the wrongful act and the alleged prejudice. Furthermore, and where it is granted, reparation should cover the full prejudice suffered.
Finally, the Applicant bears the onus to justify the claims made.

The Court having found that sections 6(1), 7(2) and 7(3) of the NEA, in part, violate Article 13(1) of the Charter, ordered the Respondent State to take all necessary constitutional and
legislative measures, within a reasonable time and without any undue delay, to ensure that these provisions are amended and aligned with the provisions of the Charter so as to eliminate
the violations of Article 13(1) of the Charter asestablished.

The Court also noted that the violations that it had established raised critical matters of public concern and specifically in relation to the management of electoral processes within the Respondent State. In the circumstances, the Court deemed it proper to make an order suo motu for publication of this Judgment.

The Court, therefore, ordered the Respondent State to publish this Judgment within a period of three (3) months from the date of notification, on the
websites of the Judiciary and the Ministry for Constitutional and Legal Affairs, and to ensure that the text of the Judgment remains accessible for at least one (1) year after the date of
publication.

On implementation of decisions, the Court reiterated that this is required as a matter of judicial
practice. The Court, therefore, ordered the Respondent State to submit to it within twelve (12)
months from the date of notification of this Judgment, a report on the status of implementation
of the decision set forth herein and thereafter, every six (6) months until the Court considered
that there has been full implementation thereof.
Each Party was ordered to bear its own costs.
Justice Rafaâ BEN ACHOUR issued a Dissenting Opinion.
Further Information
Further information about this case, including the full text of the decision of the African Court,
may be found on the website at: African Court Cases | Details of a case
For any other queries, please contact the Registry by email [email protected]

READ MORE :

Source : African Court Cases | Details of a case

The Respondent State argues that
“The right to participate in the conduct of business is not absolute, insofar
as it may be legitimately restricted by law”. Relying on Article 27(2) of the
Charter and the decision of the Court in Tanganyika Law Society and
Legal and Human Rights Centre, Reverend Christopher Mtikila v.
Tanzania, the Respondent State argues that “the restrictions on persons
eligible for appointment to the position of Director of Elections are
reasonable and justifiable. The appointment of a civil servant to the
position of Director of Elections is in the public interest, as it is easy to
verify his or her ethical, professional and academic background, since the
public service is governed by a well-established legal framework”.
5. The Respondent State’s reasoning found favour with the majority of the Court,
which found that
“Section 6(1) of the NEA is not in violation of the Charter insofar as it
restricts the appointment of the Director of Elections only to candidates
from the public service”.
2
6. It is this finding, and the reasoning behind it, that I disagree with. Indeed, I believe
that reserving the position of Director of Elections only to public servants openly
violates the principle of equality of all before the law.
3
It is exclusive and
discriminatory and cannot be justified on any objective basis.
2§ 93 of the Judgement.
3Principle proclaimed by Article 7 of the Universal Declaration of Human Rights of 10 December
1948: “All are equal before the law and are entitled without any discrimination to equal protection of the
law. All are entitled to equal protection against any discrimination in violation of this Declaration and
against any incitement to such discrimination”, and reiterated in Article 26 of the International Covenant.

The Court composed of: Blaise TCHIKAYA, Vice-President; Ben KIOKO, Rafaâ BEN
ACHOUR, Suzanne MENGUE, Tujilane R. CHIZUMILA, Chafika BENSAOULA, Stella
I. ANUKAM, Dumisa B. NTSEBEZA, Modibo SACKO, Dennis D ADJEI – Judges; and
Robert ENO, Registrar.
In accordance with Article 22 of the Protocol to the African Charter on Human and
Peoples’ Rights on the Establishment of an African Court on Human and Peoples’ Rights (hereinafter referred to as “the Protocol”) and Rule 9(2) of the Rules of Court (hereinafter referred to as “the Rules”),1 Justice Imani D. ABOUD, President of the Court and a national of Tanzania, did not hear the Application.

In the Matter of:
Bob Chacha WANGWE and Legal and Human Rights Centre

Represented by:

i. Advocate Jebra KAMBOLE, Law Guards Advocates;

ii. Advocate Fulgence MASSAWE, Legal and Human Rights Centre; and

iii. Advocate Amani JOACHIM, Legal and Human Rights Centre.

Versus

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Represented by:

i. Dr Boniface Nalija LUHENDE, Solicitor General, Office of the Solicitor General;

ii. Ms Sarah Duncan MWAIPOPO, Deputy Solicitor General, Office of the
Solicitor General;

iii. Mr Vincent E. A. TANGOH, Director, Civil Litigation, Office of the Solicitor
General;

iv. Ms Alesia A MBUYA, Assistant Director, Constitutional, Human Rights and
Election Petitions, Principal State Attorney, Office of the Solicitor General;

v. Daniel NYAKIHA, State Attorney, Office of the Solicitor General;

vi. Vivian METHOD, State Attorney, Office of the Solicitor General;

vii. Ms Caroline Kitana CHIPETA, Acting Director, Legal Affairs, Ministry of
Foreign Affairs and East African Cooperation; and

viii. Ms Blandina KASAGAMA, Legal Officer, Ministry of Foreign Affairs and East
African Cooperation.
 
👆
Serikali imeendelea kupuuza na kuburuza miguu kukataa kukazia hukumu za Mahakama ya Afrika iliyotolewa June 2023 yaani miaka miwili iliyopita

Sasa serikali imesubiri kusukumwa kukazia hukumu hii hadi leo 2025, na kudai kuwa hakuna muda wa kufanya marekebisho kabla ya Oktoba 2025
 
Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025.


Jaji Warioba

- 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta Matatizo mengi kwenye uchaguzi wetu

- Mimi na Mzee Butiku tumeona bado kuna muda wa kufanya mazungumzo na tukafanya Uchaguzi wa Amani, Matatizo tuliyoyaona kwenye Uchaguzi wa 2019,2020 na 2024 yanaweza kurekebika. Kanuni zinaweza kubadilishwa kwa sababu hakuhitajiki bunge kufanya marekebisho ya Kanuni za Uchaguzi

- Wakati wetu ukiona una kesi yenye Public Interest unatafuta mahala pakubwa ili watu washiriki, Tarehe 24 walijua ile kesi ina Public Interest na wangeweza kutafuta mahala pa kuhakikisha watu wanashiriki, Kazi ya Polisi ilikuwa ni Kushirikianashirikiana na Wananchi waliokuja kusikiliza Mwenendo wa Kesi ili kuwapanga na wakiwa wengi watafute Namna ya kuwalinda

- Mahakama nayo Imeingiliwa, Nimemwona Mwanasheria Mkuu akiongea Bungeni Pia Waziri wa Mambo ya Ndani anatoa ufafanuzi wa Uendeshaji wa Kesi kwa Mtandao, Utaratibu ni kwamba kesi ikishafika Mahakamani ni Jukumu la Mahakama kuiendesha ukianza kuiongelea ile kesi inaweza toa Pressure kwa mahakama kufanya maamuzi

Jambo jema Kwa Taifa
 
Hivi kwa nini hoja nyingi za TLS zinaafikiana na madai ya chadema..?.

Hivi mtu mmoja akishika kisu akasema hiki ni kisu, halafu akatokea mwendawazimu mmoja akasema kile kisu ni kitabu, halafu watu wengine wote wakisema kile ni kisu; kama una akili timamu, utashangaa kwa nini hawa watu wengi wanasema kile kisu ni kisu, sawa na alivyosema yule wa mwanzo?
 
TLS ni yetu sote, ila sikumbuki km imewahi kutokea hawa jamaa kupingana na chadema! ina maana chadema wao siku zote wapo sawa tu hawajawahi kukosea?.


Hukuyaona yale matokeo ya watafiti wa TWAWEZA?

CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wenye akili, wakati CCM inaungwa mkono zaidi na wajinga na wenye maslahi binafsi.

Hivyo si ajabu wenye akili kuwa na hoja zinazoungwa mkono na kila aliye wa haki.
 
03 May 2025
Deus Kibamba leo akitoa mada ktk Kongamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=wJnuEeqxaWI

Kamishana wa Tume INEC atenguliwe mara moja na mamlaka ya uteuzi kwa kuwa ni kada mzito wa chama cha kijani, hili halihitaji mabadiliko ya katiba ..

Makamishna mwingine wa INEC na wakurugenzi kwa mujibu wa katiba kifungu cha 74 watenguliwe na kuondolewa ili mtu mwingine mwenye sifa achukue nafasi hizo, hilo halihitaji mabadiliko ya katiba , ila inashangaza ...asema Deus Kibamba

Polisi kusambaratisha mikutano ni haramu, hili halihitaji mabadiliko ya katiba kukataza polisi kuingilia mchakato mzima wa chaguzi kutokana na maelekezo ya wale walioshika mpini wa kisu .... asema Deus Kibamba mwalimu wa diplomasia chuoni.

Mazungumzo yasiwe ya kujifungia ndani, bila kuhusisha wadau wote asema Deus Kibamba mwangalizi wa chaguzi za ndani na nje ya nchi ambapo anashangaa INEC hutuma watu wao lakini hawajifunzi yale wanayoyaona Botswana, Mauritius n.k

Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Leo Mei 03, 2025 ndiyo wameandaa Kongamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 linalofanyika makao makuu ya chama hicho Wakili House jijini Dar es Salaam.
 
Hivi mtu mmoja akishika kisu akasema hiki ni kisu, halafu akatokea mwendawazimu mmoja akasema kile kisu ni kitabu, halafu watu wengine wote wakisema kile ni kisu; kama una akili timamu, utashangaa kwa nini hawa watu wengi wanasema kile kisu ni kisu, sawa na alivyosema yule wa mwanzo?
Acha kujibu kwa mifano km yesu, kuanzia lini chadema wamekua wengi kuliko ccm nchi hii?
 
Hivi kwa nini hoja nyingi za TLS zinaafikiana na madai ya chadema..?.
Hivi ni kweli hujui, au swali lako ni ulalamishi tu kwa kuwa tayari unao upande unaoushabikia?

Ngoja hata hivyo nijaribu kusaidia kama ni kweli hujui:

Kwanza ni lazima ujue hizo "hoja" zinazozungumziwa ni zipi, na kwa nini TLS na CHADEMA (na wananchi wengi siyo CHADEMA pekee) wanakuwa upande huo mmoja, dhidi ya upande wa pili (unajuwa ni upande upi huo?) serikali, na baadhi ya wananchi, huenda nawe ukawa huko)
Kwa hiyo ziainishe hizo hoja kwanza, na kama ni kweli huelewi kwa nini makundi hayo yapo hivyo; basi unahitaji kuelimishwa kwa sehemu kubwa sana.
Itakuwa ni kwamba hata HAKI zako kama mwananchi huzijui! Wewe utakuwa ni mtu ambaye yupo yupo tu, akienda msalani na kurudi, kulala, kula na hakuna la zaidi kwenye maisha yake.
 
Hukuyaona yale matokeo ya watafiti wa TWAWEZA?

CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wenye akili, wakati CCM inaungwa mkono zaidi na wajinga na wenye maslahi binafsi.

Hivyo si ajabu wenye akili kuwa na hoja zinazoungwa mkono na kila aliye wa haki.
Si ajabu wengi ktk uko wenu ukakuta wanaichagua CCM,kwa hiyo itakua ukoo mzima mwenye akili ni wewe tu kwa kuwa unaipinga ccm?.
 
03 May 2025
Deus Kibamba leo akitoa mada ktk Kongamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=wJnuEeqxaWI

Kamishana wa Tume INEC atenguliwe mara moja na mamlaka ya uteuzi kwa kuwa ni kada mzito wa chama cha kijani, hili halihitaji mabadiliko ya katiba ..

Makamishna mwingine wa INEC na wakurugenzi kwa mujibu wa katiba kifungu cha 74 watenguliwe na kuondolewa ili mtu mwingine mwenye sifa achukue nafasi hizo, hilo halihitaji mabadiliko ya katiba , ila inashangaza ...asema Deus Kibamba

Polisi kusambaratisha mikutano ni haramu, hili halihitaji mabadiliko ya katiba kukataza polisi kuingilia mchakato mzima wa chaguzi kutokana na maelekezo ya wale walioshika mpini wa kisu .... asema Deus Kibamba mwalimu wa diplomasia chuoni.

Mazungumzo yasiwe ya kujifungia ndani, bila kuhusisha wadau wote asema Deus Kibamba mwangalizi wa chaguzi za ndani na nje ya nchi ambapo anashangaa INEC hutuma watu wao lakini hawajifunzi yale wanayoyaona Botswana, Mauritius n.k

Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Leo Mei 03, 2025 ndiyo wameandaa Kongamano la Kitaifa la Wadau Kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 linalofanyika makao makuu ya chama hicho Wakili House jijini Dar es Salaam.

Swali muhimu. Kati ya sasa hadi Oktoba ni njia zipi zinazofaa kuwafikishia wananchi taarifa muhimu kama hizi ili wazielewe vyema na waamue wenyewe ni nini watataka kufanya kama marekebisho muhimu hayatafanyika.
 
huyu msomi namwelewaga sana. Mlianza kusema kuwa kalambishwa asali nikasikitika sana
Asali ya namna hiyo isingekuwa ya kawaida hata kidogo. Nami nilianza kuwa na shaka, kama ile iliyonipata wakati wa Mbowe.
Lakini tusisahu tu, kuwa kuna mbinu mbalimbali za kushughulika na watu ambao wanajifanya hawasikii tena la mtu yeyote.
Ni kama kushughulika na mtoto asiyependa kula chakula muhimu. Kuna njia nyingi za kumfanya ale, si lazima iwe ni kukaripia au viboko tu kila wakati.
 
Back
Top Bottom