GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Punguza chuki kikwete alikua raisi poa sana.
 
Punguza chuki kikwete alikua raisi poa sana.
Wasiojua nchi hii ilianza kuharibika kipindi cha Kikwete, uwepo wa kundi la mtandao (Boyz 2 Men) , ufisadi wa kutisha serikalini, kutekwa kwa Ulimboka na mwanahabari Absalom Kibanda,kuuawa kwa Mwangosi, kuawa kwa watu watatu kwa bomu kwenye mkutano wa chadema kule Arusha na mengine mengi ni matokeo ya siasa za kikwete kulea mafia ndani ya nchi hii !
 
Nimekuja kumfahamu 2014 wakati wa bunge la Katiba, Kumbe alikuweko siku nyingi tyuh ndani ya system.
Lol
SSH ndio system yenyewe na wenzie 😁😁

Enzi hizo kina Slowslow walikuwa wananuka Maziwa ya mama zao 😂😂
 

The guy was Ignorrant in many ways. Kitu alichokua anaweza ni Mali kauli na maneno ya mdomoni.

Cha ajabu wanasema ni Ex Jw
 
Ametoa amri ipi mkuu?
20/7/2025 alimwamuru katibu mkuu na msemaji wa serikali kuutangazia umma kuwa wanapewa go ahead kuandaa miss world 2027...
Pia order ya vikao vya cc ya ccm kupelekwa mbele ...nk
 
20/7/2025 alimwamuru katibu mkuu na msemaji wa serikali kuutangazia umma kuwa wanapewa go ahead kuandaa miss world 2027...
Pia order ya vikao vya cc ya ccm kupelekwa mbele ...nk
Ahaa kumbe
 
1.Amemwaga Damu za Watanzania kuliko RAIS yeyote
2.Ameuza bandari zetu kwa waarabu
3. Ana pendelea zanzibar kuliko Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…