Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #121
Sio kila mwanaume ambae bado hajafanikiwa ni mvivu. Kuna wachapakazi ambao bado hawajapata tu breakthrough, maana kutoboa katika hizi nchi zetu ambazo mifumo ipo shaghalabaghala ni suala ambalo lipo randomly, sio systematically. Ni sawa tu na kutafuta sindano gizani.Wanaume uvivu na Ukata wamekuwa wakali Sana.
Ukitaka mapenzi Mke wako asishinde kwenye jua na maporini hata kuoga kwake mtihani. Mimi ngoja Nile maisha na wake zangu Tu nitakula hiki hiki ila siruhusu wake zangu kushinda wanapuyanga kuuza mitumbaπ€£π€£
Bro mbona reasoning yako ni tofauti na waoππNa kusaidiwa isiegemee sana upande mmoja
Kila mmoja ajitoe kwenye mawili matatu(hii ni kwa jinsia ke inayokariri kwamba ni lazima yeye apokee kila siku)
Wanakwambia wao wameumbwa kuhudumiwa hata kama wana kipato kikubwa kuzidi wanaume.Yap, kundi la wanaume wasiokua na hela ni lazima liongeze. Hatuwezi kuwajumuisha wanawake kwenye uchumi wakati fursa ni almost zilezile halafu tuatarajie namba ya wanaume ibaki constant. Lazima kuna idadi ya wanaume itaenguliwa ili kupisha wanawake. Tunapoelekea itawalazimu wanawake nao ku-normalize suala la kusettle na mwanaume ambae wamemzidi kipato au hana kipato kabisa, kwa sasa ni ngumu sana wao kukubali hilo suala lakini idadi ya wanaume wasioweza kuhudumia mwanamke inavyoongezeka na wanaaake nao watakuja kuelewa.
Hawaombi kwa baba au kaka zao kwa sababu hizo pesa hazitumiki katika mambo ya maana. Kununua nywele na brutal sio necessity hivyo mahitaji ya hovyo hovyo ya kutuliza tamaa zake anapeleka kwa mwanaume asiye baba, mjomba au kaka yake.Unachosema ni sahihi kwa kiasi kikubwa ila pia kuna wanawake wengi sana hasa mabinti wa mjini ombaomba sio hata kwa mahitaji maalumu bali ni kwa ajili ya vitu visivyo vya lazima kama vile kununua mawigi, Rasta na expensive hairstyles, iPhones, mikoba ghali, kunywa bruto n.k
Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
SahihiHawaombi kwa baba au kaka zao kwa sababu hizo pesa hazitumiki katika mambo ya maana. Kununua nywele na brutal sio necessity hivyo mahitaji ya hovyo hovyo ya kutuliza tamaa zake anapeleka kwa mwanaume asiye baba, mjomba au kaka yake.
Bro I have worked with corporate women national and international. For those who I used to chat social life stories, almost all of them ( wazungu na wafrika) wanasema kama akipata Mwanaume anayeweza kumtunza Yuko tayari kuacha kazi afanye wajibu wa Nyumbani kama Mwanamke. Hii sikwambii utani nimefanyaje observation mara kadhaa.Pia sio kila mwanaume anaeruhusu mkewe afanye kazi ni mjinga. Uenda ameamua kusupport career dreams za mwanamke au anamwandalia mazingira ya kuweza ku-handle familia kama yeye hatakwepo mfano akifa, akiumwa kwa muda mrefu n.k
ππππMpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....
Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????
Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Bro ukisema 'wao' unamaanisha kina nani braza πBro mbona reasoning yako ni tofauti na waoππ
Mabro wa huku mtaani blaza πBro ukisema 'wao' unamaanisha kina nani braza π
Mabro wa huku mtaani blaza π
It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Ni jinai mwanaume kuishi bika kufanya kazi huku ukitegemea kuhudumiwa na mwanamke.Vipi kuhusu Marioo?
Ni kweli suala la kumuhudumia mpenzi wako nafikiri ilo lipo tu automatically kwenye akili ya mwanaume. Tatizo wanawake wa kisasa hawajui tofauti ya needs na wantsTatizo la wanawake wengi hawajui mahitaji yao ya msingi,wamegeuza zile luxury na kuwa mahitaji yao ya msingi, mara wigi ya laki 3,mara azuzuke na brands mpya za simu, mara azuzuke na brands za nguo na viatu, kila sherehe nguo mpya na kitu kipya, bado hapo ana vikoba, michezo majina mawili plus mikopo na unakuta hana issue ya maana ya kumuingizia kipato au unakuta anaissue ila kipato chaki hakitoshelezi hayo matamanio yake.
Ila hawa tatu kichwa, ambao hawazuzuki na matoleo mapya ya fashion na viatu,hawa hawa wanaume tulio wengi tunawamudu, hao wengine watu wamewageuza vyombo vya starehe.
Wapo Wanaume wanao kuwa kwenye mahusiano na Wanawake wenye Pesa wakati wao hawana wao ni kulelewa tu hii nayo ni gharama kubwa sana.Ni jinai mwanaume kuishi bika kufanya kazi huku ukitegemea kuhudumiwa na mwanamke.
Mwanamke na mwanaume wote wawe na kitu cha maana kinachoendelea kwenye maisha yao. Kama ikitokea mmoja anahitaji msaada au elevation basi wa kwanza kabisa kubebeshwa wajibu huo wawe ndugu zake.
Kuwa na partner aliekuzidi uwezo sio tatizo, na mwenye uwezo mkubwa obvious atatoa zaidi. Ingawa kutokana na hypergamy nature ya wanawake mara nyingi ni mwanaume ndie anakuaga na uwezo mkubwa zaidi.Wapo Wanaume wanao kuwa kwenye mahusiano na Wanawake wenye Pesa wakati wao hawana wao ni kulelewa tu hii nayo ni gharama kubwa sana.
Nimekumiss pia bro sana walaqhiβ..!
unaendeleaje eti?
Bro nimekumis wewe na bro ako Mackie π
Hahahaa! Nyie wadogo zangu ndo kusema mmepinda namna hii? π€£π€£π€£Oooooooh Broh!!!
Missing you big time....
Unaendeleaje?
ππHahahaa! Nyie wadogo zangu ndo kusema mmepinda namna hii? π€£π€£π€£
Hapa bado hajatokea Bro enu mkubwa Evelyn Salt. ππ
Nimekuja hapa kuitikia wito wa bro tu.ππ
Bro Shaddie, huwezi amini nilikuwa nimekumiss, nikasema nikikuona pahala nitakusabahi..!
usimsahau na bro binti kiziwi πΉππΎ