Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

Ujumbe wako umenitoa machozi ila Bado nataka wa kike,, hata ningepata dume moja majike 4 fresh tu
Ukweli Ndio Huo Mtoto Wa Kiume Kurudirudi Nyumbani Hicho Kitu Huwa Hamna.

Mtazungumza Na Shida Zote Atakutatulia Kama Ulivyomueleza Tena Anaweza Zidisha.

Mara Nyingi Wamama Huona Kama Ni Kumsumbua Mwanae Na Sometimes Huficha Baadhi Ya Mambo Anayoyahitaji.

Ila Jambo Rahisi Kwa Mtoto Wa Kiume/Kike Ni Kumhudumia Mama Yake Kwa Namna Yeyote Ile Kasoro Tu Kuwepo Mazingira Hayo Yaani Ile Yeye Ndio Kuwa Karibu Zaidi Hapana Si Hivyo.

Mtoto Wa Kike Tunawapa Pongezi Kwa Kuwa Karibu Zaidi Ya Wazazi Wao I mean Kwenye Upande Wa Namna Hii, Huwa Ni Ngumu Sana Kwao Kumaliza Mwaka Bila Kurudi Nyumbani Kusalimia Wazazi.

Au Hicho Ndicho Kipimo Cha Upendo Kutoka Kwa Mtoto?
 
Iko hivi wanaume mnatumia muda wenu mwingi kukimbizana na kuwekeza katika mbususu, tofauti na sie mijegejo haitupeleki puta kihivyoo, ndo maana muda mwingi tunawafikiria wazazi wetu kwa ukaribu wa kuwatembelea na hata maisha yao kiuchumi, ulizia kwa wazee watakwambia uhalisia,,
 
Mtoto wa kiume anaweza kujenga ukweni wakati baba yake anaishi kwenye nyumba ya udongo. Si kama hatamjengea ila baadae sana.6
 
Mke kukuzalia jembe raha sana asikwambie mtu
 
Siku hizi kuna suluhisho mkuu..
Kama wife akitotoa mara ya kwanza na pili mabinti tupu, mara ya tatu usibahatishe. Unaenda kapandikiza (iVF) .
Kwa huu mchakato unachagua jinsia unayotaka, pia na idadi, kama mmoja, mapacha wa2, 3..
 
Siku hizi kuna suluhisho mkuu..
Kama wife akitotoa mara ya kwanza na pili mabinti tupu, mara ya tatu usibahatishe. Unaenda kapandikiza (iVF) .
Kwa huu mchakato unachagua jinsia unayotaka, pia na idadi, kama mmoja, mapacha wa2, 3..
Wengine wetu kodi ya nyumba hatuna leo unasema maswala ya IVF.

Ulaya asiye na anataka kuzaa serikali inagharimia IVF lakini haigharamii ili upate mtoto wa kijke au wa kiume.
 
Wengine wetu kodi ya nyumba hatuna leo unasema maswala ya IVF.

Ulaya asiye na anataka kuzaa serikali inagharimia IVF lakini haigharamii ili upate mtoto wa kijke au wa kiume.
Dah..
Kwa kweli gharama yake yaweza kuwa changamoto
 
Mtoto wa watu umkute amesomeshwa wewe uje kusema unamiliki mtoto na mzazi wake. Huu ni utomvu wa adabu.
Ataelewa kani sister

Kitu nilichokiona mara nyingi, mtu ukitokea kaya maskini ambayo hata kupata mlo mmoja ni mtihani, ukikua na kuweza kumlisha mtu usiehusiana nae bhasi utaona umefanya kitu kikubwa au anafaidi sanaa wakati ni mambo ya kawaida kwa watu wa kipato cha kati.
 
HAPANA, familia nyingi ukiona mtoto wa kiume kasahau kwao bhasi angalia huduma inayopelekewa familia ya mke wake. Usishangae hata hao watoto wa kike wanaosifiwa utakuta wanapush waume zao wapeleke huduma kwao na sio alipozaliwa mwanaume. Ni familia nyingi tu utakuta ndugu wa mke wanajiachia for years ila wa mume akikaa hata wiki mbili tayari anatamani kuondoka ndio maana watu wengi hujihisi comfortable kuishi kwa dada na sio kaka

Kama umezaa watoto wa kiume wengi trust Me, huwezi kukosa yule atakaeijua thamani yako kwa asilimia zote lakini kubwa kuliko waombee wapate wake watakaokuwa wanawapush kukumbuka. Ila ukipata watakaokuita mnoko au mchawi, hasara ni yako
 
Ujinga mtupu mtoto ni mtoto tu
 
Mwanaume ana XY na mwanamke ana XX. XX zinatoa mtoto wa kike. Katika kutafuta mtoto wa kiume wengine huhesabu ovulation days za mke na wanaacha kufanya tendo kama kwa siku 7-10 huku mwanaume akila karanga na mihogo mibichi kwa wingi.
Kuna kitu hujamalizia mkuu, unatakiwa ujipinde siku ya ngapi ili ubahatishe kidume.
 
Wanaume wanakimbiliaga kulaumu wanawake kwenye watoto wa kiume huku wao ndio wazalishaji wa jinsia hiyo.
All in all mtoto ni mtoto. Unaweza ng'ang'ana wa kiume wa kiume anakuja james delicious. Kumtanguliza tu Mungu katika kila jambo.
 
Mimi watoto ni watoto ila wa kiume ndio bora maana watarisi mali na pia wanaliendeleza jina langu

ila wakike unawafaidisha mwanaume mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…