Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ukweli Ndio Huo Mtoto Wa Kiume Kurudirudi Nyumbani Hicho Kitu Huwa Hamna.Ujumbe wako umenitoa machozi ila Bado nataka wa kike,, hata ningepata dume moja majike 4 fresh tu
Mtazungumza Na Shida Zote Atakutatulia Kama Ulivyomueleza Tena Anaweza Zidisha.
Mara Nyingi Wamama Huona Kama Ni Kumsumbua Mwanae Na Sometimes Huficha Baadhi Ya Mambo Anayoyahitaji.
Ila Jambo Rahisi Kwa Mtoto Wa Kiume/Kike Ni Kumhudumia Mama Yake Kwa Namna Yeyote Ile Kasoro Tu Kuwepo Mazingira Hayo Yaani Ile Yeye Ndio Kuwa Karibu Zaidi Hapana Si Hivyo.
Mtoto Wa Kike Tunawapa Pongezi Kwa Kuwa Karibu Zaidi Ya Wazazi Wao I mean Kwenye Upande Wa Namna Hii, Huwa Ni Ngumu Sana Kwao Kumaliza Mwaka Bila Kurudi Nyumbani Kusalimia Wazazi.
Au Hicho Ndicho Kipimo Cha Upendo Kutoka Kwa Mtoto?