Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

Ma genius woote nawahitaji kwenye huu uzii

binti kiziwi ShesRise_1 Me and me dosho12 Tsh

Nyie wengine ephen_ min -me Lamomy najua hamna mtaleta mapovu maana hamnaga jema
Futa hilo neno genius kwanza ili tuendelee.

Ulichoeleza kipo sahihi, ungekuwa una miaka 34 ningesema wewe ni x wangu msukuma lol!

Lakini watu kama wewe mna advantage ya makuzi mnaweza kuwa over achievers, ndio huwa naona kuwa sio kila kitu ni kibaya entirely.
 
Ukiachana na upuuzi wako,ila unapenda kujikagua na kujitambua which is very good,na hii itakufanya uwe a better person

Kwahiyo hata zile nyuzi zako za kuwasema watu hawana magari sijui wanagombania daladala ilikuwa ni tatizo lako binafsi na sio letu

Endelea kujifahamu zaidi
Naunga mkono hoja, internal shame ni psychological driver ya bullying.
 
Futa hilo neno genius kwanza ili tuendelee.
Why, you're one of them great minds in here!

Ulichoeleza kipo sahihi, ungekuwa una miaka 34 ningesema wewe ni x wangu msukuma lol!
Ahaa kumbe ndo maana huwa tuna like hate relationship kwenye hoja zetuu. Kumbe nina reflect deeper things?
Lakini watu kama wewe mna advantage ya makuzi mnaweza kuwa over achievers, ndio huwa naona kuwa sio kila kitu ni kibaya entirely
Hakika it's all about inteegration
 
Nimesoma na nikauelewa.
But nimetamani wataalam wa saikolojia watueleze zaidi na ninaamini wapo humu . (Kama itawapendeza)
Mbona haihitaji Wataalamu hiyo na hata maelezo mengi yamekaa mule mule tuu kisaikolojia zaidi... Nahisi hao ni wa saikolojia hawataki kujulikana tu
 
SIJUI KAMA NITAKUBALIANA NA HII HALI,KUKOSA UPENDO WA WAZAZI NI MTIHANI GUMU SANA NA MAUMIVU YAKE NI MAKALI SANA,UNAKUWA MTU MZIMA UNATEGEMEA UTAPATA MWENZA MWENYE UPENDO WA DHATI AKUFUTE MADONDA ILA NAYE ANAGEUKA KUWA IZRAEL MTOA ROHO,HANA HURUMA HATA KIDOGO.
 
Ma genius woote nawahitaji kwenye huu uzii

binti kiziwi ShesRise_1 Me and me dosho12 Tsh

Nyie wengine ephen_ min -me Lamomy najua hamna mtaleta mapovu maana hamnaga jema
Thanks brother Gunner but umenipa title that I am not belong to.

But wakati nasoma psychopathology na zile childhood developmental disorders nilielewa Jinsi Gani matukio wakati wa ukuaji yanaweza kuathiri child millstones pia behavior yake hata Katika adulthood.

Hili linaonesha Umuhimu Wa kuwapa upendo na kuwalinda watoto Dhidi ya unyanyasaji na traumas wakati wa utoto wao.

Kwenye issue ya perfectionism daah hapa Mimi huwa napata tabu sana nakuwa very irritated mtu akifanya Makosa ya wazi au akiongea vitu havimake sense au akiwa ana_fake Tabia zake.

But nikaja kugundua kuwa perfectionism is just an ideal concept humanity can't reach.
So nikajifunza kuvumilia baadhi ya mambo.

Ila umezungumzia vitu vyengine vipo out of my ability to comprehend and speak for.
 
SIJUI KAMA NITAKUBALIANA NA HII HALI,KUKOSA UPENDO WA WAZAZI NI MTIHANI GUMU SANA NA MAUMIVU YAKE NI MAKALI SANA,UNAKUWA MTU MZIMA UNATEGEMEA UTAPATA MWENZA MWENYE UPENDO WA DHATI AKUFUTE MADONDA ILA NAYE ANAGEUKA KUWA IZRAEL MTOA ROHO,HANA HURUMA HATA KIDOGO.
Pole sana mkuu,
Ukweli ni kuwa ile desperation ya wewe kupata huo upendo ndo kinacho fanya watu wakupuuze na kukuumiza.

Fanya kuanza upya, anza kuyafanya mahusiano yako mwenyewe na jinsi ulivyo yawe bora, anza kula vizuri, fanya mazoezi, fanya vitu uvipendavyo...

Anza kupenda wanyama, watoto na nature huwa havina cost na vinarudisha upendo bila kazi yoyote. With time utaona unaanza kupona
 
But nikaja kugundua kuwa perfectionism is just an ideal concept humanity can't reach.
So nikajifunza kuvumilia baadhi ya mambo.
Nailed it...

Ila umezungumzia vitu vyengine vipo out of my ability to comprehend and speak for.
Basically idea ni hiyo hiyo tuu sema imeenda deep zaidi kwenye psychology. Thanks kamanda
 
Back
Top Bottom