Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

Pole sana mkuu,
Ukweli ni kuwa ile desperation ya wewe kupata huo upendo ndo kinacho fanya watu wakupuuze na kukuumiza.

Fanya kuanza upya, anza kuyafanya mahusiano yako mwenyewe na jinsi ulivyo yawe bora, anza kula vizuri, fanya mazoezi, fanya vitu uvipendavyo...

Anza kupenda wanyama, watoto na nature huwa havina cost na vinarudisha upendo bila kazi yoyote. With time utaona unaanza kupona
Kukosa upendo ndo chanzo cha vitu vingi kuanzia, uraibu, meinendo na tabia za wengi.
 
Ukiachana na ule upuuzi wako mwingine wa majigambo na kupandisha ego kila saa plus kujitutumua

Hili ni bandiko zuri sana

Umeongea ukweli sehemu nyingi tabia tulizonazo leo kwa asilimia kubwa ni matokea ya makuzi yetu kama mtoto hakupewa upendo kwenye makuzi yake huyu mtu ni ngumu sana kua kuonesha upendo kwa wengine

Lakini hata kama tulikosa upendo tunaweza kujifunza sisi wenyewe Maana

Msingi mzuri wa maisha hujengwa tangu mtu akiwa mtoto

Lakini hata kama ulizaliwa na kukulia katika mazingira ambayo hukupata msingi mzuri wa maisha kama vile upendo, malezi, mwongozo, na mambo mengine muhimu yanayomsaidia mtu kukua vizuri bado unaweza kujijenga upya
Huna budi kuanza kujitengeneza mwenyewe kwa kujifunza, kuangalia mifano mizuri kutoka kwa wengine na kuchagua kuwa mtu bora kuliko mazingira uliyotoka
Cc: Elevenn
 
Ukiachana na ule upuuzi wako mwingine wa majigambo na kupandisha ego kila saa plus kujitutumua
Hapa pia hii kauli ni ego talking, umeongea as if hukunielewa nilivyo andika ya kuwa nimetambua makosa.... Anyways fine maana maumivu hujibu maumivu.. 😂

Hili ni bandiko zuri sana
Ndo mara ya kwanza napata pongezi kutoka kwako maajabu haya!
Umeongea ukweli sehemu nyingi tabia tulizonazo leo kwa asilimia kubwa ni matokea ya makuzi yetu kama mtoto hakupewa upendo kwenye makuzi yake huyu mtu ni ngumu sana kua kuonesha upendo kwa wengine

Lakini hata kama tulikosa upendo tunaweza kujifunza sisi wenyewe Maana

Msingi mzuri wa maisha hujengwa tangu mtu akiwa mtoto

Lakini hata kama ulizaliwa na kukulia katika mazingira ambayo hukupata msingi mzuri wa maisha kama vile upendo, malezi, mwongozo, na mambo mengine muhimu yanayomsaidia mtu kukua vizuri bado unaweza kujijenga upya
Huna budi kuanza kujitengeneza mwenyewe kwa kujifunza, kuangalia mifano mizuri kutoka kwa wengine na kuchagua kuwa mtu bora kuliko mazingira uliyotoka
Ofcourse, my g... Your past don't define you.. You can redefine yourself every moment by choosing the best version at any point and time
 
Hapa pia hii kauli ni ego talking, umeongea as if hukunielewa nilivyo andika ya kuwa nimetambua makosa.... Anyways fine maana maumivu hujibu maumivu.. 😂

Mara ya mwisho ulinzingua halafu sikupata muda wa kukuzodoa so nimefanya hivyo leo
Ndo mara ya kwanza napata pongezi kutoka kwako maajabu haya!
Kweli sijawahi kukupa pongezi ?
Ofcourse, my g... Your past don't define you.. You can redefine yourself every moment by choosing the best version at any point and time
📌
 
Mara ya mwisho ulinzingua halafu sikupata muda wa kukuzodoa so nimefanya hivyo leo
Yaani basi tuu Laiti Ungejua mwenzio nilisha badilika zamani hata usinge likuwa unaniwazi hivyoo... I was just being funny my friend.
Kweli sijawahi kukupa pongezi ?
Baada ya mizinguano kipind kile yes, umekuwa ukiniona kama trash na at first ila baadae nikasema it's human nature

So we are back to whom we were before?
 
Yaani basi tuu Laiti Ungejua mwenzio nilisha badilika zamani hata usinge likuwa unaniwazi hivyoo... I was just being funny my friend.

Baada ya mizinguano kipind kile yes, umekuwa ukiniona kama trash na at first ila baadae nikasema it's human nature
Ooh okay ni vizuri sana mabadiliko yanatokea muda wowote
Hongera sana
So we are back to whom we were before?
Kuna haja gani kurudi huko nyuma tuwe wapya tu
 
Ooh okay ni vizuri sana mabadiliko yanatokea muda wowote
Hongera sana
Thank you
Kuna haja gani kurudi huko nyuma tuwe wapya tu
I will never mess up my g I promise. We were never inseparable,
not by any kind of storm
Not by any harsh words
Not by ego, not by hate

We were all along connected,
Our true nature, our core vibratory frequency
Where souls intertwined

Si unaona mpaka masharti ya nakuja yenyewe tuu.. Hahaha
 
Aiseee🤣🤣🤣 acha basi kunichekesha
 
Aiseee🤣🤣🤣 acha basi kunichekesha
Your laughter is my nightmare
A poison my heart ony knows
ShesRise_1 make me rise higher with yah

I tame my insticts
To sound arrogant
Just because I was scared to say
That my first sight on you
Was an awakening
my soul longed for in the past life.
 
Your laughter is my nightmare
A poison my heart ony knows
ShesRise_1 make me rise higher with yah

I tame my insticts
To sound arrogant
Just because I was scared to say
That my first sight on you
Was an awakening
my soul longed for in the past life.
Basi inatosha 🤣🤣🤣
 
Basi inatosha 🤣🤣🤣
In your presence
Time fades, feelings enhance
I feel the weight of my mess
To how I fumbled you, my g

I was insecure of not matching your energy
I was only running away from myself
For I and you are one..
Not physically, but on our hearts

Never will this desire fade
And I and universe thank
For the meeting that was divinely planned.

Haya inatosha sasa

Ila kumbe mm ni artist na sijui?
 
In your presence
Time fades, feelings enhance
I feel the weight of my mess
To how I fumbled you, my g

It was insecure of not matching your energy
I was only running away from myself
For I and you are one..
Not physically, but on our hearts

Never will this desire fade
And I and universe thank
For the meeting that was divinely planned.

Haya inatosha sasa

Ila kumbe mm ni artist na sijui?
Unajifunza kutongoza
 
Unajifunza kutongoza
Aawaapi!? Mimi mbobezi wa kutongoza ila kwako hapana..

Seduction is but a game
A loosing and leads to shame
Love isn't perfomance
But a connection to crave

You're not a price tag to chase
But a queen to be embraced
Loving you is a fragerance
So sweet than milk and honey.

So sitongozi bali naongea ya moyoni
 
Haya poa
 
Ma genius woote nawahitaji kwenye huu uzii

binti kiziwi ShesRise_1 Me and me dosho12 Tsh

Nyie wengine ephen_ min -me Lamomy najua hamna mtaleta mapovu maana hamnaga jema
😹😹😹 Expectations ndio zinakuponza kijana..!!

Unatakiwa ku balance shobo kwenye mapenzi. Kuna muda hata kama una nyege unapiga nyeto usimtafute atakuona huna pa kuchomokea..!!

Hao wazazi nao ungewapotezea usiwape attention hujawaomba wakulete..! 😹😹

Huku jukwaani sisi tunakuvumilia tunaishi na wewe kichakaramu..!! Hata uwe na id 100 hatujali ukijileta tunakupiga spana..!! 😹
 
Shenjii wewe
Wenzako wote hawajaja na trauma response kama wewe.

Kichakaramu ndo nini mswahikina wewe?

Kazi yako kutomban* na wanaume wa watu wakiwa hawajitambui na aibu huoni aloo kweli kizazi cha nyoka hiki...

Ona sasa umeshachafua uzii
 
Back
Top Bottom