Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

Shenjii wewe
Wenzako wote hawajaja na trauma response kama wewe.

Kichakaramu ndo nini mswahikina wewe?

Kazi yako kutomban* na wanaume wa watu wakiwa hawajitambui na aibu huoni aloo kweli kizazi cha nyoka hiki...

Ona sasa umeshachafua uzii
Kwahiyo umenigeuzia kibao? 😹😹

Bado baba ako naye si mume wa mtu? Mwambie ajiandae na nitahakikisha anamfukuza mama ako na wewe anakupa notice chumba chako nakipangisha..!!
 
Nilimpenda mtu nikawa nampatia zawadi kumbe zile zawadi nazompa na yeye anampa mwanaume mwingine nilipojua niliumia sana ila nikajiuliza bona kabla sijajua sikuumia nikajua tatizo ni mim hata nikitukana natukana kwaajili yang ndipo nikajifunza falsafa ya ustoa nikawa na maisha yenye utulivu
Kujitambua ni mwanzo wa kuishi maisha hongera kwa hatua hiyo
 
Aisee hapa hakuna kichwa kuna bomu la subiri kulipuka tuu
 
Nilimpenda mtu nikawa nampatia zawadi kumbe zile zawadi nazompa na yeye anampa mwanaume mwingine nilipojua niliumia sana ila nikajiuliza bona kabla sijajua sikuumia nikajua tatizo ni mim hata nikitukana natukana kwaajili yang ndipo nikajifunza falsafa ya ustoa nikawa na maisha yenye utulivu
Kujitambua ni mwanzo wa kuishi maisha hongera kwa hatua hiyo
Shukran
Kweli kabisa kuna muda una tambua kuwa maumivu sio kile kilichopo nje bali yanatokea ndani yetu.. Hongera kwa utambuzi huo..
 
Pole sana mkuu,
Ukweli ni kuwa ile desperation ya wewe kupata huo upendo ndo kinacho fanya watu wakupuuze na kukuumiza.

Fanya kuanza upya, anza kuyafanya mahusiano yako mwenyewe na jinsi ulivyo yawe bora, anza kula vizuri, fanya mazoezi, fanya vitu uvipendavyo...

Anza kupenda wanyama, watoto na nature huwa havina cost na vinarudisha upendo bila kazi yoyote. With time utaona unaanza kupona
Nimekuwa mtu wakujitenga sanaaaa,na siamini watu kabisaaaaa
 
Explain please
Kila mtu ana upande wa kiume na kike.

Kibailojia kila mtu ana hormone za kike na kiume. Na mara baada ya kuzaliwa kunakuwa na mvuto au ushawishi mkubwa toka kwa mzazi wa jinsia tofauti hasa miaka Ile ya mwanzo.

Mara baada ya kukaribia ujana anaanza kutengeneza utambulisho wake mwenyewe ambao unaendana na jinsia yake.

Hii haimaanishi kwamba upande wa pili unapotea bali anauzuia na kwa vile huwa dhaifu inakuwa ni jambo rahisi.

Mwisho huyu mtu atakuwa na identity nusu na athari huanza kujitokeza kwenye mahusiano ambapo ile experience ya upande wake wa pili ulijengeka mwanzo wa maisha yake ataihamishia kwa mwenza wake na kumfanya kama ni extension of him/herself
 
I

OK nahisi hii scenario sio ya kijinsia zaidi bali kuna zile shadow tu

Unakuta alizoea kutukanwa na mama yake, so anaanza kuona wanawake wote ni wabaya.. Au ana chukua tabia ya kuwa control wanawake ili ajione ana say kwenye mahusiano husika

Au unakuta mtu a elelewa na mzee mkoloni so na yeye anakuwa so controlling ili kulinda mtu, japo kuwa yule anaye lindwa anaona kama ananyimwa uhuru
 
Back
Top Bottom