Kukosa upendo ndo chanzo cha vitu vingi kuanzia, uraibu, meinendo na tabia za wengi.Pole sana mkuu,
Ukweli ni kuwa ile desperation ya wewe kupata huo upendo ndo kinacho fanya watu wakupuuze na kukuumiza.
Fanya kuanza upya, anza kuyafanya mahusiano yako mwenyewe na jinsi ulivyo yawe bora, anza kula vizuri, fanya mazoezi, fanya vitu uvipendavyo...
Anza kupenda wanyama, watoto na nature huwa havina cost na vinarudisha upendo bila kazi yoyote. With time utaona unaanza kupona
Walugaluga nawapokea kama mnavyokujaMtag na Makebo huwa ana michango isiyoenda shule.
TrueHakika mada kama hizi inabidi uache ego on the locker room
Hapa pia hii kauli ni ego talking, umeongea as if hukunielewa nilivyo andika ya kuwa nimetambua makosa.... Anyways fine maana maumivu hujibu maumivu.. ๐Ukiachana na ule upuuzi wako mwingine wa majigambo na kupandisha ego kila saa plus kujitutumua
Ndo mara ya kwanza napata pongezi kutoka kwako maajabu haya!Hili ni bandiko zuri sana
Ofcourse, my g... Your past don't define you.. You can redefine yourself every moment by choosing the best version at any point and timeUmeongea ukweli sehemu nyingi tabia tulizonazo leo kwa asilimia kubwa ni matokea ya makuzi yetu kama mtoto hakupewa upendo kwenye makuzi yake huyu mtu ni ngumu sana kua kuonesha upendo kwa wengine
Lakini hata kama tulikosa upendo tunaweza kujifunza sisi wenyewe Maana
Msingi mzuri wa maisha hujengwa tangu mtu akiwa mtoto
Lakini hata kama ulizaliwa na kukulia katika mazingira ambayo hukupata msingi mzuri wa maisha kama vile upendo, malezi, mwongozo, na mambo mengine muhimu yanayomsaidia mtu kukua vizuri bado unaweza kujijenga upya
Huna budi kuanza kujitengeneza mwenyewe kwa kujifunza, kuangalia mifano mizuri kutoka kwa wengine na kuchagua kuwa mtu bora kuliko mazingira uliyotoka
Hapa pia hii kauli ni ego talking, umeongea as if hukunielewa nilivyo andika ya kuwa nimetambua makosa.... Anyways fine maana maumivu hujibu maumivu.. ๐
Kweli sijawahi kukupa pongezi ?Ndo mara ya kwanza napata pongezi kutoka kwako maajabu haya!
๐Ofcourse, my g... Your past don't define you.. You can redefine yourself every moment by choosing the best version at any point and time
Yaani basi tuu Laiti Ungejua mwenzio nilisha badilika zamani hata usinge likuwa unaniwazi hivyoo... I was just being funny my friend.Mara ya mwisho ulinzingua halafu sikupata muda wa kukuzodoa so nimefanya hivyo leo
Baada ya mizinguano kipind kile yes, umekuwa ukiniona kama trash na at first ila baadae nikasema it's human natureKweli sijawahi kukupa pongezi ?
Ooh okay ni vizuri sana mabadiliko yanatokea muda wowoteYaani basi tuu Laiti Ungejua mwenzio nilisha badilika zamani hata usinge likuwa unaniwazi hivyoo... I was just being funny my friend.
Baada ya mizinguano kipind kile yes, umekuwa ukiniona kama trash na at first ila baadae nikasema it's human nature
Kuna haja gani kurudi huko nyuma tuwe wapya tuSo we are back to whom we were before?
Thank youOoh okay ni vizuri sana mabadiliko yanatokea muda wowote
Hongera sana
I will never mess up my g I promise. We were never inseparable,Kuna haja gani kurudi huko nyuma tuwe wapya tu
Aiseee๐คฃ๐คฃ๐คฃ acha basi kunichekeshaThank you
I will never mess up my g I promise. We were never inseparable,
not by any kind of storm
Not by any harsh words
Not by ego, not by hate
We were all along connected,
Our true nature, our core vibratory frequency
Where souls intertwined
Si unaona mpaka masharti ya nakuja yenyewe tuu.. Hahaha
Your laughter is my nightmareAiseee๐คฃ๐คฃ๐คฃ acha basi kunichekesha
Basi inatosha ๐คฃ๐คฃ๐คฃYour laughter is my nightmare
A poison my heart ony knows
ShesRise_1 make me rise higher with yah
I tame my insticts
To sound arrogant
Just because I was scared to say
That my first sight on you
Was an awakening
my soul longed for in the past life.
In your presenceBasi inatosha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Unajifunza kutongozaIn your presence
Time fades, feelings enhance
I feel the weight of my mess
To how I fumbled you, my g
It was insecure of not matching your energy
I was only running away from myself
For I and you are one..
Not physically, but on our hearts
Never will this desire fade
And I and universe thank
For the meeting that was divinely planned.
Haya inatosha sasa
Ila kumbe mm ni artist na sijui?
Aawaapi!? Mimi mbobezi wa kutongoza ila kwako hapana..Unajifunza kutongoza
Haya poaAawaapi!? Mimi mbobezi wa kutongoza ila kwako hapana..
Seduction is but a game
A loosing and leads to shame
Love isn't perfomance
But a connection to crave
You're not a price tag to chase
But a queen to be embraced
Loving you is a fragerance
So sweet than milk and honey.
So sitongozi bali naongea ya moyoni
๐น๐น๐น Expectations ndio zinakuponza kijana..!!Ma genius woote nawahitaji kwenye huu uzii
binti kiziwi ShesRise_1 Me and me dosho12 Tsh
Nyie wengine ephen_ min -me Lamomy najua hamna mtaleta mapovu maana hamnaga jema
Shenjii wewe๐น๐น๐น Expectations ndio zinakuponza kijana..!!
Unatakiwa ku balance shobo kwenye mapenzi. Kuna muda hata kama una nyege unapiga nyeto usimtafute atakuona huna pa kuchomokea..!!
Hao wazazi nao ungewapotezea usiwape attention hujawaomba wakulete..! ๐น๐น
Huku jukwaani sisi tunakuvumilia tunaishi na wewe kichakaramu..!! Hata uwe na id 100 hatujali ukijileta tunakupiga spana..!! ๐น