Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Ni sahihi. Yeye ni mwanasiasa na kiongozi, hawezi jipangia ulinzi wake mwenyewe uweje. Kuna wataalam. Ni sawa na kusema daktari ajifanyie operation, haiwezekani.
Asante sana kwa maelezo mazuri
 
Ahahahaaaaa Pamba fc siyo Geita gold [emoji28][emoji23][emoji1787]
 
Yule asikari zilitoka taarifa kua kajiua! Sasa wengine sijui ilikuaje
Aisee hizo kazi nimeziogopa, sasa hawa kuna baadhi ni watu wazima na wanavitambi kabisa wanaweza rusha ngumi au wanajifua wapi mazoezi yao maana sijawahi sikia pale oysterbay hata mlio wa risasi au hata mchakachaka wakiimba mazoezi wanafanyia wapi hawa watu
 
Unataka nikuambie walipo siyo😂.

Wapo nchini ni watu tu wanaohusika na ulinzi wa raisi.
Nitonye boss maana hawa viumbe hata mtaani hawaonekani wanaishi wapi? Mazoezi wanafanyia wapi? Ama ndio invisible kabisa
 
Nitonye boss maana hawa viumbe hata mtaani hawaonekani wanaishi wapi? Mazoezi wanafanyia wapi? Ama ndio invisible kabisa
Unadhani mtu anayefahamu taarifa za ulinzi wa kiongozi mkuu wa nchi atachat na wewe hapa sasa hivi achilia mbali kukueleza? We hayo yaache, hizo taarifa hazina wala msaada wowote kwako.
 
Inaonekana pia
Inaonekana pia kama kuna ka mgomo baridi kwa waliokuwa watu wa JPM kutenguliwa ona polepole amekuwa kama kachanganyikiwa huyu bashiru amekuwa kimya hatujui hata anawaza nini?
 
Unadhani mtu anayefahamu taarifa za ulinzi wa kiongozi mkuu wa nchi atachat na wewe hapa sasa hivi achilia mbali kukueleza? We hayo yaache, hizo taarifa hazina wala msaada wowote kwako.
Sijataka taarifa za ulinzi mimi nataka kujua wanaishi wapi na kambi yao ipo wapi hapa tanzania?
 
Sawa, halafu? Hiyo information una matumizi nayo? Yapi?
Mbona kambi za jeshi zinajulikana zilipo, kuna kitu gani cha ziada kwenye hiki kikosi cha ulinzi wa raisi?
 
Hatari kwelikweli mkuu
 
Soma comment yako ya kwanza kwangu,kama hukuweka tusu! Usipende kujaribu watu,pinga hoja kwa hoja,na sio kuleta matusi,kuna wengine tuna midomo michafu,choo cha stand kinasubiri!
Mkuu fuatilia comments zangu zimeingilia sehemu gani?

Ni pale ulipomtusi aliyekutusi, huyo aliyekutusi niliingilia nikamrai naye kukomenti kistaarabu pia.

Kwa hiyo mimi ni mtu wa kati kutenganisha mafahari mawili yanayotimua vumbi na kuumiza nyasi ama watoto wa mjini wanavyosema 'nimenunua kesi'.

Sina stori za kughadhabishana na watu humu Jf mie.
Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…