Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaaaa Pamba fc siyo Geita gold [emoji28][emoji23][emoji1787]Ameshajua kuna kundi flani lina mind sana! Kumbuka siku ana waapisha wale majaji na wateule wengine,alisema anapotengua watu,sio anawatengua sababu ya kabila lao, anatengua sababu ya kushindwa kwao kazi! Sasa hii kauli ni nzito sana kutolewa na head of the State! Ukute Pamba FC, wame mind sana watu wao kuliwa vichwa!
Unataka nikuambie walipo siyo😂.Hii PSU iko wapi? Na hao wanajeshi ni sehemu ya hiyo psu
Karibu mkuuAsante sana kwa maelezo mazuri
Aisee hizo kazi nimeziogopa, sasa hawa kuna baadhi ni watu wazima na wanavitambi kabisa wanaweza rusha ngumi au wanajifua wapi mazoezi yao maana sijawahi sikia pale oysterbay hata mlio wa risasi au hata mchakachaka wakiimba mazoezi wanafanyia wapi hawa watuYule asikari zilitoka taarifa kua kajiua! Sasa wengine sijui ilikuaje
Nimebisha nini? Mm si ninakusikiliza? Leta story. Jk ikawaje? Gari lilipogoma kuingiza gia?Sasa kama hujui mbona unabisha!
Unadhani mtu anayefahamu taarifa za ulinzi wa kiongozi mkuu wa nchi atachat na wewe hapa sasa hivi achilia mbali kukueleza? We hayo yaache, hizo taarifa hazina wala msaada wowote kwako.Nitonye boss maana hawa viumbe hata mtaani hawaonekani wanaishi wapi? Mazoezi wanafanyia wapi? Ama ndio invisible kabisa
Inaonekana pia kama kuna ka mgomo baridi kwa waliokuwa watu wa JPM kutenguliwa ona polepole amekuwa kama kachanganyikiwa huyu bashiru amekuwa kimya hatujui hata anawaza nini?Ameshajua kuna kundi flani lina mind sana! Kumbuka siku ana waapisha wale majaji na wateule wengine,alisema anapotengua watu,sio anawatengua sababu ya kabila lao, anatengua sababu ya kushindwa kwao kazi! Sasa hii kauli ni nzito sana kutolewa na head of the State! Ukute Pamba FC, wame mind sana watu wao kuliwa vichwa!
Sijataka taarifa za ulinzi mimi nataka kujua wanaishi wapi na kambi yao ipo wapi hapa tanzania?Unadhani mtu anayefahamu taarifa za ulinzi wa kiongozi mkuu wa nchi atachat na wewe hapa sasa hivi achilia mbali kukueleza? We hayo yaache, hizo taarifa hazina wala msaada wowote kwako.
Sawa, halafu? Hiyo information una matumizi nayo? Yapi?Sijataka taarifa za ulinzi mimi nataka kujua wanaishi wapi na kambi yao ipo wapi hapa tanzania?
Hatari kwelikweli mkuuYes kuna shida sehemu! Wateule wa Magu naona kabisa hawana amani!
Kauli za Samia kama head of the state kuna nyingine anapaswa kuziacha tu hewani!
Kama hii yakutengua,na ile kipindi cha kifo cha Magu,kwamba kuna watu wanasema hivi,wengine vile,duh ilileta shida kidogo!
Mkuu fuatilia comments zangu zimeingilia sehemu gani?Soma comment yako ya kwanza kwangu,kama hukuweka tusu! Usipende kujaribu watu,pinga hoja kwa hoja,na sio kuleta matusi,kuna wengine tuna midomo michafu,choo cha stand kinasubiri!
Njema kamanda,tupoMwalimu habari yako? Habari ya mbeya