Kumbe kuoa ni kwa ajili ya wanaume wadhaifu tu!

Ukiwa huna akili usioe, imeandikwa ishini nao kwa akili.
Ndiyo ukweli wenyewe, yaani unamtizama mwanaume unajiuliza hivi naishi na mtu au dubwasha gani! Hana msimamo anapelekeshwa na ndugu unajiuliza wewe shule ulienda tafuta nini wakati hawa wadogo zako wakike wanakufanyia haya? Unatamani uchome vyeti vyake ili ijulikane naye ni mbulula!
 
Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Oa mkuu, kama hukupata mtu sahihi mwanzo, usidhani wanawake wote wapo hivo.
 
Kwa hiyo unainjoi kilicho mkuta mama yako.
Kubebeshwa mimba alafu mhuni akapita hivi...
 
Inawezekan unakaa kwa ding ako ndy maan mawazo yak ni mgando
 
Huyo mzungu apo ndio baba yako ambae hajaoa??
Kama ndie basi una baba wa hovyo, kwenye movie yake hiyo kalila punga.
 
Mans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…