Unafiki nao ni kipaji.Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto...
Lilikuwa ni suala la muda tu...na huu ni mwanzo tu safari baado kabisa.Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto
Ni kweli sana, ila uongozi wa juu wa CCM sio vilaza. Ila Chadema wana elimu sana na ndio maana uongozi wote wa juu wamesoma vya kutosha form six zero unafikiri ni elimu ya kubezwa. Chadema oyeeeeeCCM imejaa vilaza
Hiyo nayo hoja... Kweli akili sikuhizi mnazitumia kukalia.Nimeandika hoja.
Umejibu kiroja.
Hoja inajibiwa kwa hoja.
Kwakweli ninajuta sana mkuu, Magufuli popote ulipo wewe ulikuwa mkombozi wetu na tutakuenzi daimaLilikuwa ni suala la muda tu...na huu ni mwanzo tu safari baado kabisa.
Wapinzani wa bongo ukiwajulia hawakusumbui!Ukweli ni kwamba JPM alichukiwa na wana CCM wenzake na baadhi ya wapinzani kwa sababu walizozijua wao.
Leo,baadae miezi miwili hata wale niliowaamini ni wapinzani wa kweli wamerejea kusifu na kushangilia yale yawayo kwa Samia ili tu wafurahishe nyoyo zao pasi na kukumbuka kwayo ni wazi wanaipalilia CCM kuendelea kubaki madarakani.
Kwa sababu hizo CCM kwa hakika kitaendelea kuitawala Nchi hii kwa muda mrefu sana kwa namna ya aina ya washabiki na wakereketwa wa vyama vya upinzani wasivyojitambua na wao kuendelea kuwa sehemu ya wapiga vigeregere wa CCM.
Kidumu chama cha mapinduzi!
Kabisa.Wapinzani wa bongo ukiwajulia hawakusumbui!
Leo CS wa CCM yupo Morogoro na wahariri jiandae kumsifuNonsense
Kwa maoni yangu, kwa hali ilivyokuwa ni kukosa 'good judgement' kusema kama ulivyosema.Ukweli ni kwamba JPM alichukiwa na wana CCM wenzake na baadhi ya wapinzani kwa sababu walizozijua wao.
Leo,baadae miezi miwili hata wale niliowaamini ni wapinzani wa kweli wamerejea kusifu na kushangilia yale yawayo kwa Samia ili tu wafurahishe nyoyo zao pasi na kukumbuka kwayo ni wazi wanaipalilia CCM kuendelea kubaki madarakani.
Kwa sababu hizo CCM kwa hakika kitaendelea kuitawala Nchi hii kwa muda mrefu sana kwa namna ya aina ya washabiki na wakereketwa wa vyama vya upinzani wasivyojitambua na wao kuendelea kuwa sehemu ya wapiga vigeregere wa CCM.
Kidumu chama cha mapinduzi!
...ajabu hali ikija kuwa tayari CCM atakuwa anaongoza 5 bila 😆Kwa maoni yangu, kwa hali ilivyokuwa ni kukosa 'good judgement' kusema kama ulivyosema.
Mtoto wa Amber Lulu baba yake ni HamorapaUkweli ni kwamba JPM alichukiwa na wana CCM wenzake na baadhi ya wapinzani kwa sababu walizozijua wao.
Leo,baadae miezi miwili hata wale niliowaamini ni wapinzani wa kweli wamerejea kusifu na kushangilia yale yawayo kwa Samia ili tu wafurahishe nyoyo zao pasi na kukumbuka kwayo ni wazi wanaipalilia CCM kuendelea kubaki madarakani.
Kwa sababu hizo CCM kwa hakika kitaendelea kuitawala Nchi hii kwa muda mrefu sana kwa namna ya aina ya washabiki na wakereketwa wa vyama vya upinzani wasivyojitambua na wao kuendelea kuwa sehemu ya wapiga vigeregere wa CCM.
Kidumu chama cha mapinduzi!
We Jamaa!!Sijawah kuona uchapakazi wa John Magufuli,ila alijitahd sana katika propaganda na uongo