Kazikwe nae basi usitusumbue hapa.mbona husemi kina lisu,ben sanane,azory,aquiline,makonda,sabaya etc etc etc
 
Wahi Chato pembeni yake umuwahi mama Janet...
 
6. Wakati wa Magufuli wwatu walitekwa , kuteswa na kuuwawa!
 
Hata Panya Road tutaambiwa jibu moja kati ya hili 1) Tunafungua nchi 2)Vita ya Ukraine ndio sababu
 
Hayo yote yalikuwepo, tena kuzidi hayo, kawaulize Mwananchi na wenzao watakuambia, huyo dikteta wako hayupo na hatorudi, tunasonga mbele! And kwa taarifa yako ndani ya miaka 10 ijayo bungeni itakuwa ni 50/50 upinzani na ccm, jiandaeni na ushamba wenu
 
Hata Panya Road tutaambiwa jibu moja kati ya hili 1) Tunafungua nchi 2)Vita ya Ukraine ndio sababu
Magu kafa na harudi tena, utawala mpya, take it like a man, mambo ya udikteta na uhuni yeshapita, UCHUMI wa kishamba haupo tena, kuna formula za kurun uchumi, siyo kuvamia maghala ya watu kuwaambia wameficha sukari, ujinga mtupu
 
6. Wakati wa Magufuli wwatu walitekwa , kuteswa na kuuwawa!
Advocate Madeleka aliyetekwa juzi ametekwa na JPM? Kuna shekh huko babati kama sikosei hajulikani alipo miezi sasa! Wale madogo wa Kariakoo nao zaidi ya wanne wako wapi? Hivi Mbowe pia alibabikwa kesi na JPM?

Kabla ya JPM yalikuwepo hayo na yataendelea hadi mumjue adui yenu halisi muachane na chuki kwa mtu isiyobadili chochote.
 
Magu kafa na harudi tena, utawala mpya, take it like a man, mambo ya udikteta na uhuni yeshapita, UCHUMI wa kishamba haupo tena, kuna formula za kurun uchumi, siyo kuvamia maghala ya watu kuwaambia wameficha sukari, ujinga mtupu
Formula inayowapa nafuu wananchi ndio Formula bora.
 
SUKUMA GANG wapo kazini.
 
wape maneno yao wanaompinga jpm wengi ni chadema domo tusi
 
Nenda Chato kamfufue
 
Naunga mkono hoja.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…