Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazikwe nae basi usitusumbue hapa.mbona husemi kina lisu,ben sanane,azory,aquiline,makonda,sabaya etc etc etc1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.
2. Wakati wa JPM bei za vitu hazikuwa zikipanda ovyo ovyo, sasa ni balaa tupu.
3. Wakati wa JPM, hakukuwa na kata kata ya umeme, sasa ni balaa tupu.
4. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji, lakini sasa ni balaa tupu.
5. Wakati wa JPM hakukuwa na vibaka wala PANYAROADS lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, Mwana Afrika na mzalendo wa kweli.
Wahi Chato pembeni yake umuwahi mama Janet...1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.
2. Wakati wa JPM bei za vitu hazikuwa zikipanda ovyo ovyo, sasa ni balaa tupu.
3. Wakati wa JPM, hakukuwa na kata kata ya umeme, sasa ni balaa tupu.
4. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji, lakini sasa ni balaa tupu.
5. Wakati wa JPM hakukuwa na vibaka wala PANYAROADS lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, Mwana Afrika na mzalendo wa kweli.
6. Wakati wa Magufuli wwatu walitekwa , kuteswa na kuuwawa!1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.
2. Wakati wa JPM bei za vitu hazikuwa zikipanda ovyo ovyo, sasa ni balaa tupu.
3. Wakati wa JPM, hakukuwa na kata kata ya umeme, sasa ni balaa tupu.
4. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji, lakini sasa ni balaa tupu.
5. Wakati wa JPM hakukuwa na vibaka wala PANYAROADS lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, Mwana Afrika na mzalendo wa kweli.
Magu kafa na harudi tena, utawala mpya, take it like a man, mambo ya udikteta na uhuni yeshapita, UCHUMI wa kishamba haupo tena, kuna formula za kurun uchumi, siyo kuvamia maghala ya watu kuwaambia wameficha sukari, ujinga mtupuHata Panya Road tutaambiwa jibu moja kati ya hili 1) Tunafungua nchi 2)Vita ya Ukraine ndio sababu
Advocate Madeleka aliyetekwa juzi ametekwa na JPM? Kuna shekh huko babati kama sikosei hajulikani alipo miezi sasa! Wale madogo wa Kariakoo nao zaidi ya wanne wako wapi? Hivi Mbowe pia alibabikwa kesi na JPM?6. Wakati wa Magufuli wwatu walitekwa , kuteswa na kuuwawa!
Formula inayowapa nafuu wananchi ndio Formula bora.Magu kafa na harudi tena, utawala mpya, take it like a man, mambo ya udikteta na uhuni yeshapita, UCHUMI wa kishamba haupo tena, kuna formula za kurun uchumi, siyo kuvamia maghala ya watu kuwaambia wameficha sukari, ujinga mtupu
Ni kweli kabisa hakuna wa kupingaHakika JPM ni Rais bora kabisa wa kizazi chetu. Apumzike kwa amani mbinguni.
SUKUMA GANG wapo kazini.1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.
2. Wakati wa JPM bei za vitu hazikuwa zikipanda ovyo ovyo, sasa ni balaa tupu.
3. Wakati wa JPM, hakukuwa na kata kata ya umeme, sasa ni balaa tupu.
4. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji, lakini sasa ni balaa tupu.
5. Wakati wa JPM hakukuwa na vibaka wala PANYAROADS lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, Mwana Afrika na mzalendo wa kweli.
Nenda Chato kamfufue1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.
2. Wakati wa JPM bei za vitu hazikuwa zikipanda ovyo ovyo, sasa ni balaa tupu.
3. Wakati wa JPM, hakukuwa na kata kata ya umeme, sasa ni balaa tupu.
4. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji, lakini sasa ni balaa tupu.
5. Wakati wa JPM hakukuwa na vibaka wala PANYAROADS lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, Mwana Afrika na mzalendo wa kweli.
Naunga mkono hoja.1.Wakati wa JPM, hakukuwa na ubabaishaji katika taasisi za Serikali, sasa ni balaa tupu.