Ila kweli dunia hada
Mfadhili mbuzi utakunywa japo mchuzi

Huyu Ndugai wa mabilioni ya kutibiwa India kwupitia Jpm
Leo hata 40 unashindwa kumstahi

Ndugai unamatatizo makubwa Tubu
 
Tundu Lisu alijaribu kutukana legacy ya Nyerere akakutana na nguvu ya uma.

Hatokaa arudie tena.
Hiyo nguvu ya umma ni ipi hiyo??wale ccm waliokuwa wanatumika?sasa mkuu hiyo legacy , meko ataipataje wakati uongozi wake ulikuwa umegubikwa na usiri /vitisho ili kuaminisha watu kuwa alikuwa mzalendo mwenye uchungu na nchi yake, kumbe alikuwa MZALENDO MPIGAJI NAMBA MOJA?yaani hii ripoti ya CAG, imemuondolea kabisa heshima, hata kwa wale nyumbu, ambao walikuwa wagumu kuamini kuwa ufisadi bado uko pale pale!!wiki mbili tu hata waliokuwa wana muamini wamepungua kwa 45%(kwa utafiti wangu nilioufanya) sasa baada ya mwaka si itakuwa -"eti kwenye utawala wangu pesa haitapotea, afadhari apotee mtu na sio pesa", TUMEDANGANYWA SANA
 
Punguza povu Mataga Sukuma Gang
 
Hivi report imesema fedha zimeliwa na Magufuli? Hata Magufuli akiwa bado hai report zilitoka na hati chafu zilikuwepo. Si Uongozi wa Magufuli tu, Marais wote kuanzia Mkapa. Kumekuwa na report za hati chafu.
Naona nguvu nyingiiii inatumika kumchafua. Hao waliofanya matumizi mabaya si wapo wakamatwe. Mfano Kigwa wa utalii. Kama unakumbuka Magufuli alimuonya Jafo kuhusu usimamizi wa matumizi ya fedha serikali za mitaa. Hakuna jipya.
 
Unaongelea haya ukiwa Katoro Chato Geita
 
Ungejibu hoja za mtaalamu wa mahesabu CAG,kutuletea ushabiki maandazi na propaganda za kitoto haitosaidia!!
Unapora account za watu unakwarua mihela kwanini usijengejenge,unanyima watu mishahara stahiki,unanyima ajira,unakwarua kodi kandamizi,unaondoa ruzuku kwa wakulima,unafuta mamilioni ya jk. Unakopa deni lataifa linazidi,wafanyabiashara kama dewji south wanamtumia wewe unamteka,kina manji,seth unawazima,unafunga watu kisha unawaachia wakitoa hela badala sheria ichkue mkondo kwanini usijengejenge? Bodi ya mikopo elimu yajuu inakata hela kinyume cha makubaliano bila kujali sheria! vyuo vikuu binafsi vimekufa... acha ww watu waliumizwa... Legacy gani unayodai??
Tueleze tajiri/kiwanda gani kimeibuka vizuri kuanzia 2015? zaidi ya vilivyoko kufifia matajiri kuishi kama mashetani!
TIC wawekezaji wakadrop kwakasi!
-mashule yalishajengwa yy kujenga zahanati hamna chaajabu
-reli ilikuwa mpango toka jk
Barabara nyingi jk. alijenga kujenga flyover hamna chaajabu.
-miradi mingi inaukakasi na upotevu mkubwa wapesa kuanzia ndege,reli nk.
Kiufupi hakuna legacy yamaana ila propaganda nyiiingi!!
 
Maybe na wao wanataka kutuonesha kuwa ni wazalendo kuliko Magufuli
 
Ligacy ya kipumbavuuuuuuuu
 
Wasukuma cumer tuuu
 
ukichunguza vizuri hii thread, wanaopondea wana mihemko kuliko facts! huenda muandishi umepiga kwenye mshono!.
 
Totally CRAZY !!! Go and "SUCK IT" !!!!!
 
Vipi Ripoti ya CAG
 
issue sio kumchafua maana hakuna mahali CAG kaandika rais alikula pesa hapana.
issue ninayoiona hapa at one piont rais JPM alijenga sense flan kuna hakuna hata mia ya serikali itapotea, na ufuatiliaji lukuki ikiwemo utumbuaji?

my question is hajuyajua haya? hakujua aliowachagua walikuwa wana muhujum?
 
Legacy huwa haichafuki. it stand as it. ukiona inachafukabujue huo ni upupu hakuna kilichofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…