Huyu mzee kwa alichotufanya miaka mitano it's my pleasure kuina hio 'legacy' yake inachafuliwa tena na watu aliowaamini.

Kama huko aliko anaona i hope anaenjoy
 
Mbio za sakafuni uwa zinaishia ukingoni.
 
Mimi Leo Nasimama Kuhesabiwa, Nasimama Kuonekana ili wakati ukifika basi Iwe kwamba nilisimama. Natambua kabisa kwamba Hayati Magufuli hakuwa Mbegu Bora kabisa ya kiongozi katika nchi ila kinachoendelea sasa hivi sio dhuluma dhidi ya Magufuli bali ni dhuluma dhidi ya Watanzania ambao ni wazalendo wa nchi hii. Nasema tena hii ni dhuluma dhidi ya Watanzania.

Sijajua Dhuluma hii ni kwa sababu ya Uoga au ni unafiki wa Watanzania. Naona kabisa inatumika nguvu kubwa sana kutaka kuuaminisha umma kwamba miradi yote ya Magufuli ni shody na kwamba sasa ni wakati wa kuiacha. Niseme tu ukweli kwamba kunaweza kuwa kuna matatizo katika miradi hii ila kwa kweli sidhani kama ni sawa kinachoendelea sasa hivi.

Je ni kweli kwamba hawa wanaotuaminisha leo kwamba kila kitu hakifai kweli wana nia njema na taifa letu? Au nia yao ni kujijengea mazingira ya kuweka mambo yao sawa na kuanza upigaji upya

NB,Post has minor edits

Kwa kuwa watu wengi wamefocus kwenye ripoti ya CAG naomba niweke links za report tatu za CAG ili kwa wenye Muda wapitie na kulinganisha ili kujua nn kimebadilika in context and content tusijefikiri kuna mabadiliko.Kilichobadilika ni tone ambayo mara nyingi ni propaganda.

Ripoti zote zipo hapa
 
Tumtetee jpm Alie tutukana mbili Mara tatu kutwa?
Tumtetee jpm Alie ua ndugu zetu bila huruma kwa kiwatupa kwenye viroba na kuwatumia watu wasio julikana?

Tumtetee mtu ambae baada ya kutuma washenzi wakamuue lisu walimimina risasi 38, akamnyima fedha za matibabu stahili ya mbunge, akakataza watu wasiemde kumwona hospitali na hata tulipo taka kukusanyika kumwombea Lissu akakataza na hata tulipo vaa tshert za pray for Lissu akatukamata???

Tumwombee mtu Alie nyima maslahi ya wafanyakazi?
Tumwombee Alie bomoa nyumba dar na za Mwanza zilizo kua katika mpango huo akasema waziache kwa kuwa ni wapiga kura wake??

Magufuli alikua ni shetani anae tembea,
Mwizi Alie jifucha katika kichaka Cha uzalendo.

Tunamshukuru Mungu kutuondolea kansa hii Kama taifa.
KWENDA ZAKO MAGUFULI, HATUKUPENDI.
 
Anayemsulubu ni nani?
Au zile taarifa za CAG?
Ulitaka CAG aseme ATCL wanapata faida ya shilingi ngapi?

Asee hii nchi ni ngumu sana.Kwa watu wasiopenda ukweli na uwazi watakuunga mkono.

Ukweli lazima usemwe ili taifa lipone,maana haki huinua taifa.

Jambo pekee ninalotarajia,ni hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wote waliohusika kufanya mambo hayo.Iwapo hatua hazitachukuliwa,basi hata maana ya kuyaweka wazi haya haitakuwepo
 
Hivi mbona legacy ya Nyerer hakuna anayeahangaika hivi kuitetea iendelee kuwepo? WHY huyu?
Kwasababu kuna watu WAPUMBAVU wanataka kuwapumbaza watu ya kwamba JPM hajafanya kitu. Tunataka kuwaambia yeyote anayefikiri hivyo, aitishe Uchaguzi Mkuu haraka halafu apande jukwaani aseme JPM hakufanya kitu, awe CCM au Upinzani aone kama atatoka jukwaani salama!!!
 
Mkuu, Mimi narudia tena!! Kuna mchezo mpya unapikwa. Tusikubali iwe ni RAHISI kwa nchi yetu kuyumbishwa na watu kwa matakwa yao. Natamani Mgome ili tuwekewe mifumo imara. Hii michezo hii tunachezewa sio kabisa.
 


Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza au chatembezwa.

Tumuache Magu auzike mwenyewe kwani kujitembeza hawezi tena na kutembezwa ni mwiko.

Mama tumuache apige SHOW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…