KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
We usimkatishe mwenzako tamaa, unasema dunia nzima, kwani ulishafika huko kote? INAWEZEKANA HATA PASPOTI YA KUSAFIRIA HAUNA!We shupaza tu shingo.hio pesa haikai inaisha kama upepo dunia nzima ni hivyo
Miaka 29 ndio dogoKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Wewe ni mnufaika wa biashara ya kamari, utafurahia mawazo tu ya kushawishi. Hiyo 58m kachangiwa na wengi walio liwa na wanaendelea kucheza wakiwa na matumaini ya siku yao inakuja. Wahurumie wacheza kamari.Haupo sawa kichwani
Shida nini kwani mbona hasira ?Wewe ni mnufaika wa biashara ya kamari, utafurahia mawazo tu ya kushawishi. Hiyo 58m kachangiwa na wengi walio liwa na wanaendelea kucheza wakiwa na matumaini ya siku yao inakuja. Wahurumie wacheza kamari.
Akanunue Bond.Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
Duuuh aisee 🤣🤣🤣📌AENDE POSTA OHIO STREET AULIZIE JENGO LA SUKARI HOUSE.
📍GROUND FLOOR- UTT HQ
AJISAJILI AFUNGUE ACCOUNT YA UKWASI FUND.
FAIDA ZA UKWASI FUND ACCOUNT-KUKUZA MTAJI.
1.Haina garama za kujiunga.
2.Ukitaka pesa zako unazipata ndani ya siku 3 za kazi.
3.Inakiwango kidogo cha hasara.
4.Interest rate inachezea 11% -16%
5.Huku pesa inazaa na haikatwi benki pesa inakatwa, atachagua mwenyewe asuke au anyoe.
🚩Ajitahidi aweke hata million 20 hapo alafu aipotezee hata miaka 15-20 hatojutia uamuzi wake.
📌Aende maeneo ya Kibaha kwanzia Picha ya ndege na kuendelea anunue kiwanja.Million 5-7
📌Aende njia ya Bagamoyo,pia huko anunue kiwanja.Million 5-7
📌📌📌📌Kama yupo Dar. anunue bajaji ya umeme ni million 10+usajili million 1=Jumla million 11.Aanze kupiga kazi.Bajaji ya umeme kuchaji 3,000/=( unachaji mara mbili kwa siku jumla 6,000/= hii unazungusha unakunja mpaka 70K per day mungu akupe nini tena).
📌Millioni moja ajibrand( kuvaa na kuupa moyo pole).
📌Million mbili aweke getto vizuri na apange angalau chumba sebule ya 150K.
📌Laki 5 akalewe na kula totozzzz.
#KUPANGA NI KUCHAGUA!!!
Acha shobo ndio ushauri wanguKuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29
Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa.
Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani
Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana imekuja ghafla sana?
unashikiwaje hela wewe kiande,,,yaani karne ya leo bado unajishupaza shingo unamshauri mtu akashikiwe hela.Hio hela haikai wewe chukua 55 kampe mtu akushikie kwanza hata Mama yako kisha tuliza wenge subiri jini lipite la sivyo hela zote utazirudisha ulipozitoa
Sijaelewa, eneo limechangamka? Au watu wa eneo ndio wamechangamka 🤣.atafute eneo lililochangamka ajenge frem za kupangisha au nyumba
Au sio?We usimkatishe mwenzako tamaa, unasema dunia nzima, kwani ulishafika huko kote? INAWEZEKANA HATA PASPOTI YA KUSAFIRIA HAUNA!