Odero Charles Oderos
Member
- Apr 25, 2016
- 19
- 23
CCM itakosa pesaNinatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Sheria hiyo isiache kuangalia utakatishaji wa fedha za kifisadi kama michango kwa ccmNinatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Serikali ipi? Tanganyika kwa sasa hakuna serikali, iliyopo ni batili.Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Unapimaje ubatiliSerikali ipi? Tanganyika kwa sasa hakuna serikali, iliyopo ni batili
Haikuchaguliwa na WananchiUnapimaje ubatili
swali la kufikirika mkuu, unataka kusema hapa bongo rais wa kwanza kua batili ni SSH wa 2025 kwenda 2030 ?Haikuchaguliwa na Wananchi
Usisahau na michango ya harusi, sadaka, wanaouza mafuta na maji ya uzima nk.Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
NDIYO na Dunia inajua.swali la kufikirika mkuu, unataka kusema hapa bongo rais wa kwanza kua batili ni SSH wa 2025 kwenda 2030 ?
Mfano wa kufikirika mkuu kwa kua hakuna uthibitisho kamili,NDIYO na Dunia inajua.
Wewe jaluo itabidi tukuvishe dera na shanga kiunoni kumbe una usenge namna hiiNinatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au kuhamasisha michango kwa vyama vya siasa lakini watu hao wanahusika kwenye uhalifu mitandaoni kwa kutukana ,kuwazushia watu uongo,kudhalilisha watu hasa wale wanaotofautina mawazo na mtizamo
Ninawasilisha
Odero
Mwanachama wa CHADEMA
Aliyegombea Uenyekiti CHADEMA Taifq
Huyo siyo rais bali ni mtawala aliyejitangaza kwa kuua maelfu ya Watanganyika.swali la kufikirika mkuu, unataka kusema hapa bongo rais wa kwanza kua batili ni SSH wa 2025 kwenda 2030 ?
Je 2021-2025 alikua rais?Huyo siyo rais bali ni mtawala aliyejitangaza kwa kuua maelfu ya Watanganyika.
By default.Je 2021-2025 alikua rais?
wabunge wake walikua nao watawala au wawakilishi halali?By default.