Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

Pumbavu wewe!
 
Ni batili
 
Kwa mpeo wako odero hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi/balozi.
 
Kura zilizopigwa milioni 5 ila NEC wanadai kura milioni 31. Huo sio ubatili?
Jimama halina aibu yaani kabisa linarembua macho na kushika msahafu na kuapa kuwa rais, mwisho wake utakuwa mchungu sana urais wa damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 hauwezi kumuacha salama hata kidogo.
 
Nikweli kwa mfano nakumbuka watu walimwaga mabilioni kwa sisiemu kipindi kile cha uchaguzi aisee ni ufisadi wa kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…