Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

... halafu nani anahitaji 'excavator' wakati watu tunapiga paa la mjengo?
Sio kila kizazi kitahitaji personality ya Nyerere kukiongoza! ... TUSIKARIRI!
 
Wapuuzi hawana akili hawa! Ukabila tu unawaendesha
 
Kumfananisha Mwalimu na hiki kipumbavu kinachosukumwa na hasira ya kupigwa chini na chuki zake binafsi tu kwa baadhi ya watu sio sawa hata kidogo.
Huyu labda ungemfananisha na bwana ake aliyekuwa anambeba.
Tukichukulia watu zaidi ya milion 60 watanzania na wewe mtu mmoja ambaye ata elimu yako siielewi tuachilie mbali elimu ata maadili yako si ya watanzania walio wengi ya kutukana watu hovyo. Jitafakali taifa lina watu wengi ambao kila mmoja anataka fursa sawa sio la watu wachache wanaojiona wao ndo wanastahili kula keki ya taifa na wajukuu zao.watanzania tunahitaji maji,umeme,shule nzuri,reli za kisasa kama sgr na vyote hivyo polepole na magufuli ndo yalikuwa malengo yao makuu na leo ndo una mmwita mpumbavu time will tel u

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
Sukuma Gang mmevurugwa,

Magufuli mlimfananisha na mungu wa kikabila, Leo sukuma gang mwenzenu mnasema nyerere wa pili!
 
Impunity!!
Alikuwa na mjomba wake akimlinda wengine walipokuwa wanadhulumiwa haki zao, wanauwawa kwa sheria katili walizopitisha.
Leo anapimiwa nusu kipimo tu, ulimi nje.
Impunity is a karma
The favour you enjoy in impunity today will disfavour you tommorow when your uncle is gone!!
Tuunde katiba mpya na sheria zisizo hila wala njama, it will protect all!!
 
Polepole ni kiongozi mwenye maono. Polepole ni kijana asiye na uoga. Lakini kwa makundi ya urais ndiyo maana anapigwa madongo.
 
Nyerere alisimamia kile alichoamini, azimio la arusha na muungano. Polepole anasimamia tumbo lake, yule wa rasimu ya katiba aliyeamini juu ya katiba mpya na muundo wa serikali tatu na yule aliyepewa cheo akaona katiba mpya na serikali tatu haina umuhimu. Hao watu hawawezi kufanana kamwe
 
binafsi namuelewa Sana,sema wtt wa leo ,hata mwal.huwa hawamwelew hv hv .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…