Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa kuua watu sio?Siyo hivyo mkuu. Unajua Mwl Nyerere aliwahi sema katiba yetu ikipata rais mzalendo ni nzuri sana (Dkt Magufuli aliitendea haki).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuua watu sio?Siyo hivyo mkuu. Unajua Mwl Nyerere aliwahi sema katiba yetu ikipata rais mzalendo ni nzuri sana (Dkt Magufuli aliitendea haki).
Level gani aliyonayo polepole? Uchumia tumbo??Ukisoma comments nchi bado ina wahuni ? Pole Pole ni level tofauti sana na watanzania wengi ndo maana hawamuelewi maskini .
... halafu nani anahitaji 'excavator' wakati watu tunapiga paa la mjengo?Labda unamfananisha na Steve Nyerere wa Bongo Fleva au yule Nyerere aliyechongwa na KIGWANGALA.
Pamoja na unavyojitapa kuwa umekulia kwenye familia ya baba kachero aliyekuwa kwenye Serikali ya Nyerere, nasikitika kusema hukumfahamu Nyerere. Endelea kumtafiti umjue vizuri
Wapuuzi hawana akili hawa! Ukabila tu unawaendeshaKama tumefikia mahali pa kumfananisha Polepole na Mwl. Nyerere kweli tuna ombwe la viongozi. Polepole huyu aliyekuwa anashangilia kuharibiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019,huyu aliyekuwa anatambia watu kuwa yeye anaendeshwa na viieiti yenye kiyoyozi. Huyu aliyekuwa anainjinia kununua wapinzani huyu leo ndo tumfananishe na Nyerere kweli? Paskali utakuwa unatania.
Tukichukulia watu zaidi ya milion 60 watanzania na wewe mtu mmoja ambaye ata elimu yako siielewi tuachilie mbali elimu ata maadili yako si ya watanzania walio wengi ya kutukana watu hovyo. Jitafakali taifa lina watu wengi ambao kila mmoja anataka fursa sawa sio la watu wachache wanaojiona wao ndo wanastahili kula keki ya taifa na wajukuu zao.watanzania tunahitaji maji,umeme,shule nzuri,reli za kisasa kama sgr na vyote hivyo polepole na magufuli ndo yalikuwa malengo yao makuu na leo ndo una mmwita mpumbavu time will tel uKumfananisha Mwalimu na hiki kipumbavu kinachosukumwa na hasira ya kupigwa chini na chuki zake binafsi tu kwa baadhi ya watu sio sawa hata kidogo.
Huyu labda ungemfananisha na bwana ake aliyekuwa anambeba.
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...
Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Ona hili zuzu!Pascal Mayalla bora umeongea na wewe. Nazani sasa watu wataanza kuelewa vizuri.
Kuna watu wanahisi Polepole anakwamisha mambo..lakini ukweli ndio huo ulioandika.
Safi Sana.
Exactly... halafu nani anahitaji 'excavator' wakati watu tunapiga paa la mjengo?
Sio kila kizazi kitahitaji personality ya Nyerere kukiongoza! ... TUSIKARIRI!
Hakuwahi kusema hivyoSiyo hivyo mkuu. Unajua Mwl Nyerere aliwahi sema katiba yetu ikipata rais mzalendo ni nzuri sana (Dkt Magufuli aliitendea haki).
Huna kumbukumbuHakuwahi kusema hivyo
ni kweli
Umenena vema. Ni mafisadi tu na wapigaji ndio hawamuelewi.
Impunity!!Paskali kabla ya Polepole kuendelea kutupigia kelele aseme kwanza kwanini alitaka watu wanyamaze walipokuwa wakinyoosha nchi na sasa kwa nini yeye hataki kunyamaza wenzake wanapofungua nchi?
Haki ya kuongea anaitoa wapi ilihali wao hawakutaka wengine wapate haki hiyo alipokuwa akizunguka na Vee Eiteh?
Polepole ni kiongozi mwenye maono. Polepole ni kijana asiye na uoga. Lakini kwa makundi ya urais ndiyo maana anapigwa madongo.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...
Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Kama walikuwa wanamtega afanyeje naye ni mwanaume,angewaacha wangemsema sio lijali...Mwl Nyerere alikua anatembea hovyo na warembo wa UVCCM?
utawaona tu vijana wetu hawa ambao hawaijui nchi ,inahitaji nn na inamalengo yapi!Usirudie tena kumuhusisha Mwalimu Nyerere na vitu vya kipuuzi.
GodFather wenu is no more kaeni kwa kutilia nyie push gang.
Duh! Huku ni kumdhalilisha sana Mwalimu Nyerere. Akutakanaye hakuchagulii tusi.Kiukweli Polepole ni Nyerere wa nyakati hizi.
Mungu wa mbinguni ambariki sana!