Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Labda unamfananisha na Steve Nyerere wa Bongo Fleva au yule Nyerere aliyechongwa na KIGWANGALA.

Pamoja na unavyojitapa kuwa umekulia kwenye familia ya baba kachero aliyekuwa kwenye Serikali ya Nyerere, nasikitika kusema hukumfahamu Nyerere. Endelea kumtafiti umjue vizuri
... halafu nani anahitaji 'excavator' wakati watu tunapiga paa la mjengo?
Sio kila kizazi kitahitaji personality ya Nyerere kukiongoza! ... TUSIKARIRI!
 
Kama tumefikia mahali pa kumfananisha Polepole na Mwl. Nyerere kweli tuna ombwe la viongozi. Polepole huyu aliyekuwa anashangilia kuharibiwa kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2019,huyu aliyekuwa anatambia watu kuwa yeye anaendeshwa na viieiti yenye kiyoyozi. Huyu aliyekuwa anainjinia kununua wapinzani huyu leo ndo tumfananishe na Nyerere kweli? Paskali utakuwa unatania.
Wapuuzi hawana akili hawa! Ukabila tu unawaendesha
 
Kumfananisha Mwalimu na hiki kipumbavu kinachosukumwa na hasira ya kupigwa chini na chuki zake binafsi tu kwa baadhi ya watu sio sawa hata kidogo.
Huyu labda ungemfananisha na bwana ake aliyekuwa anambeba.
Tukichukulia watu zaidi ya milion 60 watanzania na wewe mtu mmoja ambaye ata elimu yako siielewi tuachilie mbali elimu ata maadili yako si ya watanzania walio wengi ya kutukana watu hovyo. Jitafakali taifa lina watu wengi ambao kila mmoja anataka fursa sawa sio la watu wachache wanaojiona wao ndo wanastahili kula keki ya taifa na wajukuu zao.watanzania tunahitaji maji,umeme,shule nzuri,reli za kisasa kama sgr na vyote hivyo polepole na magufuli ndo yalikuwa malengo yao makuu na leo ndo una mmwita mpumbavu time will tel u

Sent from my SM-T355Y using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali

Sukuma Gang mmevurugwa,

Magufuli mlimfananisha na mungu wa kikabila, Leo sukuma gang mwenzenu mnasema nyerere wa pili!
 
Paskali kabla ya Polepole kuendelea kutupigia kelele aseme kwanza kwanini alitaka watu wanyamaze walipokuwa wakinyoosha nchi na sasa kwa nini yeye hataki kunyamaza wenzake wanapofungua nchi?

Haki ya kuongea anaitoa wapi ilihali wao hawakutaka wengine wapate haki hiyo alipokuwa akizunguka na Vee Eiteh?
Impunity!!
Alikuwa na mjomba wake akimlinda wengine walipokuwa wanadhulumiwa haki zao, wanauwawa kwa sheria katili walizopitisha.
Leo anapimiwa nusu kipimo tu, ulimi nje.
Impunity is a karma
The favour you enjoy in impunity today will disfavour you tommorow when your uncle is gone!!
Tuunde katiba mpya na sheria zisizo hila wala njama, it will protect all!!
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Polepole ni kiongozi mwenye maono. Polepole ni kijana asiye na uoga. Lakini kwa makundi ya urais ndiyo maana anapigwa madongo.
 
Nyerere alisimamia kile alichoamini, azimio la arusha na muungano. Polepole anasimamia tumbo lake, yule wa rasimu ya katiba aliyeamini juu ya katiba mpya na muundo wa serikali tatu na yule aliyepewa cheo akaona katiba mpya na serikali tatu haina umuhimu. Hao watu hawawezi kufanana kamwe
 
binafsi namuelewa Sana,sema wtt wa leo ,hata mwal.huwa hawamwelew hv hv .
 
Back
Top Bottom