Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
-
- #81
Huyo ffu hawezi kukuelewa kwasababu anaamini katika nguvu na sio uwezo mzuri kichwani! Kwenye video wenzake hawajui ngeli wameishia kujichekesha tu kmmkMzee dunia ya sasa Kiingereza muhimu wewe baki na Kiswahili chako
Yes, sisi tupo nusu nusu koteNa kuna mawaziri wa elimu me na ke wasomi wote waliboronga kwenye kuongea hiyo lugha, so tukubali matokeo, tukaze buti na kiswahili chetu
Kwahyo muda wote afande umeenda ku-google uonekane unajua kiingereza? Tabularasa
Kujua kiingereza kimekusaidiaje kuondoa huo ujinga uliyokujaa kichwani aise!?Huyo ffu hawezi kukuelewa kwasababu anaamini katika nguvu na sio uwezo mzuri kichwani! Kwenye video wenzake hawajui ngeli wameishia kujichekesha tu kmmk
Afande edit hiko kiingereza chako cha kuunga!! kmmk hujui kitu fala weweHow does english help you put food on the table son? acha ushamba ww!
Kiingereza kimenisaida kujua wewe ni empty set kichwani.Kujua kiingereza kimekusaidiaje kuondoa huo ujinga uliyokujaa kichwani aise!?
Hahaha,Mimi sio mshamba kuwaona waengine wasiojua kiingereza kwamba ni washamba na wasio na elimu. Namheshimu kila Mmoja,maana kiingereza sio kipini Cha elimu. Ila ww t0hutswahi kuwa na akiliKiingereza kimenisaida kujua wewe ni empty set kichwani.
Kudhihirisha hilo nasubiria matusi yako
ongea kwa takwimu mi nimekuwekea Takwimu hapo we unapayukaWewe ni tabularasa
Kiingereza sio lugha mama hata kama sikijui hamna shida.Afande edit hiko kiingereza chako cha kuunga!! kmmk hujui kitu fala wewe
Siyo kipau mbele,,,, na wala kingereza hakina uhusiano na maendeleo ndo maana kuna nchi nilizokutajia hapo mambo yao yote ni kwa lugha yao!!…Toka primary somo la ngeli tunalo mkuu, secondary ndo wote tunapiga ngeli tupu mpaka maadvance na chuo huko, ngeli tumefeli🤣 na mkoloni kapita hapa
Hahaha hatari sana wanajichekesha baada ya kushindwa kutema yaiHuyo ffu hawezi kukuelewa kwasababu anaamini katika nguvu na sio uwezo mzuri kichwani! Kwenye video wenzake hawajui ngeli wameishia kujichekesha tu kmmk
Kingereza cha profesa Ndalichako uliwahi kukisikia?Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.
Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
DUUH! UTUMWA MBAYA SANA...... KUTO KUJUUA KINGELEZA NI AIBU?Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.
Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.
Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
namshukuru baba kwa mvua.DUUH! UTUMWA MBAYA SANA...... KUTO KUJUUA KINGELEZA NI AIBU?
"KWELI NIMEAMINI, ELIMU YA MJINGA NI MAJUNGU"