Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Elia ni kijana ambaye hana madhara yoyote kwa chama na nchi hii. Nashangazwa jiwe alivyokuwa mwoga na kuwawinda vijana kama huyu na Nondo. Binafsi niseme hata wangekuwa wananichallenge kama mwenyekiti wa kijiji ningewaignore kabisa kwa kuwa hawana madhara yoyote na ni overrated . Chama kimpokee na kimuone kama wanachama wengine. Roho yake ni ya kiupinzani kabisa. Alivyowindwa kwa muda mrefu na kudakwa asingeweza kuhimili ukizingatia umri na kipato chake. Kijana pekee ambaye angekomaa ni Mdude.
 
Hakuna Mkuu wa Wilaya anataka kuacha kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuwahudumia Watanzania ili aje kwenye Chama ambacho kazi yake ni kugomea kila kitu
 
Hakuna Mkuu wa Wilaya anataka kuacha kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na kuwahudumia Watanzania ili aje kwenye Chama ambacho kazi yake ni kugomea kila kitu
Endelea kubaki hapa hapa jf
 
Hawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani.

Ninatambua msululu wa wasaliti wanaoomba kurejea CHADEMA, wakiwemo Wakuu wa Wilaya wawili ambao wako tayari kuachia vyeo na kurudi walikotoka (Haifamiki walichokisahau), Bali naitahadharisha sana Chadema kuwa makini inapowapokea watu hawa , ni kweli kwamba mtaji wa chama cha siasa ni watu, Lakini ni lazima WATU HAO WAWE BINADAMU.

View attachment 2176348
Mimi ni miongoni mwa watu makini niliyefatilia kisa cha Elia Fanuel Kuhamia CCM.

wakati w simba wa Yuda ilikupasa kuchagua uhai au kifo.

Lissu akichagua uhai baada ya uchaguzi

Lema alichagua uhai baada ya uchaguzi.

Ngurumo alichagua uhaia.

Neywa Mitego alichagua Uhai.

Elia Michael alichagua uhai pia.

Tusimbeze wana kakonko mnamjua vizuri huyu kijana zaidi yetu wa mbali.

Kijana akiwa na maisha ya kawaida kabisa aliisumbua sana CCM huko Buyungu. Kiasi cha kushambuliwa Massively.

Ni kweli kuwa Elia hakuna na option nyingine.
 
Mnajinasibu kuwa ninyi ni chama kikuu cha upinzani na kuwa mnainfluence kubwa sasa inakuwaje mnashangilia mtu aliyekimbilia kupoza njaa kwa utendaji wa kijiji?

Sasa hivi mtakuwa mnaiita press Conference kila magalasa yanaporudi Chadema.

Maana Chadema yenu ilishapoteza mvuto na ushawishi kwa jamii.

Nilitegemea Dk Mollel arudi Chadema ili mtikise watu kisiasa.
 
Hao wanasiasa dhaifu wamerudi chadema??
Ukikosa akili unaongea lolote linalokutoka mdomoni🤣🤣
 
Back
Top Bottom