Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Ili swali la Yesu kuingia kanisani niliwai kumjibu muislamu mwenzako hapa hapa JF akakimbia uzi na swali lake ...akuja tena kuuliza...tena yule muislamu aliuliza ilo swali kwa kina kuliko wewe ....aliuliza hivi ...JE.... YESU ALIWAHI KUINGIA KWENYE NYUMBA YA IBADA INAYO ITWA KANISA? nilimjibu hakurudia tena kuuliza ilo swali...
 
Mwamba anawaambieni pombe ni haramu kisha anakuambia ahela kuna mito ya pombe ni mwendo wa kuchota na kugida.

Swali jepesi limewashinda kwamba ikiwa Quran alishushiwa Mudi boy je hao wengine waliotangulia waliongozwa na na nini ?
 
Weka basi hilo jibu Ili na Mimi nikimbie

Na ikiwezekana wataje na mapadri waliyoongoza Misa hiyo siku Yesu alipokuwa kanisani
 
Weka basi hilo jibu Ili na Mimi nikimbie

Na ikiwezekana wataje na mapadri waliyoongoza Misa hiyo siku Yesu alipokuwa kanisani
JIBU ...YESU ALIINGIA KANISANI ILA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA ...NDIYO MAANA KANISA KWA MAANA YA JENGO, WATU UINGIA NA VIATU NA HATA KUKETI VITINI...KANISA KWA MAANA YA JENGO NI JENGO LOLOTE AMBALO WATU WALIKUSANYIKA KUJIFUNZA AU KUFUNDISHANA INJILI ....tukumbuke kuwa wayahudi walimkataa Yesu na Injili waliikataa hivyo yesu alikuwa anafundisha injili kwenye masingagogi na hekaluni na kwenye makanisa yaani majengo yasiyo hekalu wala sinagogi ...hivyo hapa utajua kwa nini hata kipindi cha Yesu kanisani watu waliingia na viatu au kuketi vitini kwa sababu kanisa kwa maana ya Jengo siyo nyumba ya ibada ni kama wewe unavyo weza kutumia nyumba yako binafsi kuabudi ila hiyo nyumba yako siyo msikiti ....
Kosa lilitokea baada ya yesu kuondoka duniani na Injili kukataliwa kwenye masinagogi na hekaluni ...watu wa injili waliendelea kukutanika kwenye majengo wakifundishana injili na kuhubiri injili hivyo ilikuwa siyo kosa ni haki kuingia na viatu na kuketi vitini makanisani .....kosa lilikuja baadae ...WAKRISTO WALIO FUATIA KIZAZI WAKAYAGEUZA MAKANISA KUWA NI NYUMBA ZA "MUNGU ZA IBADA" KUTOKA KUWA MADARASA YA INJILI TU, NA WALIPO YA GEUZA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA KUABUDIA MUNGU, ZILE TARATIBU ZA KUINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI ZA MADARASA WAKAENDELEA NAZO ...ILO NDIYO KOSA ...HIVYO YESU ALIINGIA KANISANI KAMA DARASA LA INJILI SIYO NYUMBA YA IBADA.
KUMBUKA KUWA UKRISTO YAANI INJILI ILIKATALIWA NA WAYAHUDI WA TORATI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA WAYAHUDI WALIMKATAA YESU NA INJILI YAKE ... HIVYO BAADA YA YESU KUONDOKA DUNIANI INJILI NA UKRISTO VILIKUWA HAVINA NYUMBA ZA IBADA ISIPOKUWA MADARASA YAANI MAJENGO YANAYO TUMIKA KUFUNDISHA INJILI =KANISA....WAKRISTO WALIYAGEUZA MADARASA YA INJILI KUWA NYUMBA ZA IBADA BILA YA KUONDOA TARATIBU ZA DARASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA AMBAZO NI KUTAWAZA KUABUDU CHINI BILA YA VITI NK.. adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina Al-mukheef Wazolee Shytown
 
Umeandika maelezo mengi na asilimia tisini uliyoandika ndio hayo hayo tunavyokuambieni Kila siku

Umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada ni kweli kabisa
Kwanini wewe unaenda kufanya Ibada kanisani?

Kama kipindi cha Yesu kulikuwa hakuna Nyumba ya Ibada inayoitwa kanisa
Yesu na wanafunzi wake Ibada zao walikuwa wanafanya katika Nyumba gani ya Ibada?

Umesema mnapoingia kuabudu mnatakiwa mtawaze na ndani kusiwe na viti Kwa nini nyinyi wakristo hamfanyi hivyo?
 
Mimi naijua injili ya kweli ndiyo maana waislamu wananikimbia baada ya kunijaribu na kugundua nipo tofauti .. wewe uliuliza kama yesu aliingia kanisani nimekujibu aliingia ...tena ukisoma niliyo andika utagundua nimesisitiza sana neno JENGO kwa sababu kwenye injili ya yesu kuna makanisa mawili na lililo la msingi zaidi siyo ilo la JENGO aina mbili za makanisa ni hizi
1)KANISA JENGO
Ili ni kanisa lililo fanyika kwa kazi ya mikono.
2)KANISA LA NAFSINI
Ili alikufanyika kwa mikono ....

ILI KANISA LA PILI NDIYO KANISA HALISI LA KRISTO NA INJILI. adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina Al-mukheef Wazolee Shytown
 
Kuhusu kufanya ibada ksnisani nadhani wewe unashida ya kufahamu hata uislamu mbona hata waislamu wanafanya ibada popote ? Soma tena niliyo andika japo ni maneno mengi itakusaidia, Ibada ni popote hata jela hata nyumbani kwako unaweza kunafanya ibadq, hiyo haifanyi jela au nyumba kwako kuwa nyumba ya ibada ....hoja ipo hivi kanisa kuitwa nyumba ya ibada wakati hakufuatwi taratibu za nyumba ya ibada .....wewe usiku unaweza kuswali ndani ya nyumba yako ya kuishi ila ile nyumba yako siyo msikiti hivyo nyumba yako japo unaswalia siyo nyumba ya ibada. adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina Al-mukheef Wazolee Shytown
 
Wewe hata uislamu unakupiga chenga haya maswali mbona yanajibika hata kwa kujua uislamu tu je kabla ya waislamu kuwa na nguvu walifanya ibada wapi ..je waislamu walio kimbilia ethiopia walifanya ibada wapi ...muhammad kabla ya kukubalika na kujengwa kwa misikiti walifanya ibada wapi .....msingi wa ibada siyo majengo pole sana kwa kushindwa kujua jambo dogo namna hii ... siyo lazima ibada ifanyikie misikitini au hekaluni au kwenye sinagogi ..mitume na manabii wengi awakuwa mitume kwa kufanyia ibada kwenye misikiti au masinagogi au makanisa hata muhammad alikuwa mapangoni ndiyo alikuwa anafanya ibada na kupokea utume pangoni siyo msikitini. adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina Al-mukheef Wazolee Shytown
 
Umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada ni kweli kabisa
Kwanini wewe unaenda kufanya Ibada kanisani?

Kama kipindi cha Yesu kulikuwa hakuna Nyumba ya Ibada inayoitwa kanisa
Yesu na wanafunzi wake Ibada zao walikuwa wanafanya katika Nyumba gani ya Ibada?

Umesema mnapoingia kuabudu mnatakiwa mtawaze na ndani kusiwe na viti Kwa nini nyinyi wakristo hamfanyi hivyo?

Haya maswali haujayajibu ulichokileta hapa ni mahubiri
Jibu haya maswali
 
Soma yote niliyo andika upya .... wewe inaekekea una tatizo la uanithi wa akili hivyo soma hatua kwa hatua rudia mara 20 kusoma huku unatafakari

Kuna tofauti ya kufanya ibada na Nyumba ya ibada...kama ilivyo tofauti ya kula chakula na meza ya kulia chakula.. siyo lazima ili ule chakula kuwe na meza ya chakula hata unaweza kulia chini au juu ya ndoo au kitandani na ibada ni hivyo hivyo hivyo ..hivyo hata yesu zipo ibada alifanyia kanisani zingine alifanyia sinagogini nyingine hekaluni nyingine chumbani au nyingine milimani hata msalabani Yesu alifanya ibada ...ibada ni popote hata kwa waislamu ni hivyo hivyo ...kosa ni wakristo kuita kanisa ni nyumba ya ibada bila ya kuiwekea vigezo stahiki...
 
Huyo mtume mwenyewe alikuepo lini??? ni uongo mwanzo mwisho.
 

Mbona umeanza kupaniki na wakati wewe ulijinasobu ni bingwa. wa maswali yanayohusu kanisa

Kwanini unaogopa kujibu haya maswali?

Kama kweli wewe unauhakika na Imani yako jibu haya maswali

Umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Kwanini wewe unaenda kufanya Ibada kanisani?

Kama kipindi cha Yesu kulikuwa hakuna Nyumba ya Ibada inayoitwa kanisa
Yesu na wanafunzi wake Ibada zao walikuwa wanafanya katika Nyumba gani ya Ibada?

Umesema mnapoingia kuabudu mnatakiwa mtawaze na ndani kusiwe na viti Kwa nini nyinyi wakristo hamfanyi hivyo?
 
Sasa kama mnayakubali yote aliyoyasema Yesu Masihi, kwanini mnakataa kuwa hakufa na kufufuka? Kwanini mnamkataa kuwa ni Mungu? Kwanini mnamkataa kama ndie njia pekee ya kuingia mbinguni?
 
Mmesha vimbiwa makande
 
Kwa kuwa nimekutana na swali ninaloweza kulijibu, ngoja nikupe majibu hata kama hukuwa umeniuliza mimi.

Swali: Umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Kwanini wewe unaenda kufanya Ibada kanisani?

Jibu: Kanisa sio Nyumba ya Ibada bali ni kusanyiko la Wakakatifu wa eneo fulani kwa lengo la kuabudu, kujifunza maandiko matakatifu au kusali. Kusanyiko hili linaweza kuwa mahali popote sio lazima iwe kwenye jengo. (Matendo 20:28).

Tunaenda kufanya ibada kanisani (kusanyikoni) kwa sababu ni agizo la Mungu kukusanyika (Waebrania 10:25).

Swali: Yesu na wanafunzi wake Ibada zao walikuwa wanafanya katika Nyumba gani ya Ibada?

Jibu: Walikuwa wanafanya ibada katika makusanyiko: kwenye mahekalu, masinagogi, majumbani, na kwenye mikutano.

Swali: Umesema mnapoingia kuabudu mnatakiwa mtawaze na ndani kusiwe na viti Kwa nini nyinyi wakristo hamfanyi hivyo?

Jibu: Hakuna andiko lolote katika maandiko matakatifu linaloagiza hivi.
 
Sio kweli kuwa Quran ndio kitabu pekee chenye jibu la hilo swali lako. Mdau katika post # 59 amekujibu vyema kabisa kwenye hili swali lako.
 

Bro ukristo huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda

Na ndio maana unajichanganya

Post yako no 144 umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Huku tena unasema kanisa ni Nyumba ya Ibada

Post 144 umesema Nyumba ya Ibada ukiingia unatikiwa utawadhe na kusiwe na viti huku unasema sio lazima

Post yako 144 hi yapa

JIBU ...YESU ALIINGIA KANISANI ILA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA ...NDIYO MAANA KANISA KWA MAANA YA JENGO, WATU UINGIA NA VIATU NA HATA KUKETI VITINI...KANISA KWA MAANA YA JENGO NI JENGO LOLOTE AMBALO WATU WALIKUSANYIKA KUJIFUNZA AU KUFUNDISHANA INJILI ....tukumbuke kuwa wayahudi walimkataa Yesu na Injili waliikataa hivyo yesu alikuwa anafundisha injili kwenye masingagogi na hekaluni na kwenye makanisa yaani majengo yasiyo hekalu wala sinagogi ...hivyo hapa utajua kwa nini hata kipindi cha Yesu kanisani watu waliingia na viatu au kuketi vitini kwa sababu kanisa kwa maana ya Jengo siyo nyumba ya ibada ni kama wewe unavyo weza kutumia nyumba yako binafsi kuabudi ila hiyo nyumba yako siyo msikiti ....
Kosa lilitokea baada ya yesu kuondoka duniani na Injili kukataliwa kwenye masinagogi na hekaluni ...watu wa injili waliendelea kukutanika kwenye majengo wakifundishana injili na kuhubiri injili hivyo ilikuwa siyo kosa ni haki kuingia na viatu na kuketi vitini makanisani .....kosa lilikuja baadae ...WAKRISTO WALIO FUATIA KIZAZI WAKAYAGEUZA MAKANISA KUWA NI NYUMBA ZA "MUNGU ZA IBADA" KUTOKA KUWA MADARASA YA INJILI TU, NA WALIPO YA GEUZA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA KUABUDIA MUNGU, ZILE TARATIBU ZA KUINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI ZA MADARASA WAKAENDELEA NAZO ...ILO NDIYO KOSA ...HIVYO YESU ALIINGIA KANISANI KAMA DARASA LA INJILI SIYO NYUMBA YA IBADA.
KUMBUKA KUWA UKRISTO YAANI INJILI ILIKATALIWA NA WAYAHUDI WA TORATI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA WAYAHUDI WALIMKATAA YESU NA INJILI YAKE ... HIVYO BAADA YA YESU KUONDOKA DUNIANI INJILI NA UKRISTO VILIKUWA HAVINA NYUMBA ZA IBADA ISIPOKUWA MADARASA YAANI MAJENGO YANAYO TUMIKA KUFUNDISHA INJILI =KANISA....WAKRISTO WALIYAGEUZA MADARASA YA INJILI KUWA NYUMBA ZA IBADA BILA YA KUONDOA TARATIBU ZA DARASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA AMBAZO NI KUTAWAZA KUABUDU CHINI BILA YA VITI

We nenda tu kanisani ukaimbe, ulie na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…