Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kaka Iran ilikuwepo hata kabla ya Yesu pamoja wakina North Korea!Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Haya wewe kiinchi chako cha hovyo kina fanana na nchi gani ya ulaya ?Kila dhana ina upande kinzani. Ukidai Kuna mwanaume kwa upande mwingine Kuna mwanamke.
Kijiji vs mji. Mwerevu vs mpumbavu. Hata huko Ulaya Kuna masikini vs matajiri. Mfano Ureno ni nchi masikini na inategemea misaada fulani toka EU.
Kipimo halisi cha werevu ni kiwango cha ujinga
Kipimo cha utajiri ni kiwango cha umasikini.
Wengine tunaona Ulaya ni werevu na matajiri kwa sababu Afrika Kuna umasikini mwingi na wajinga wengi
Haya sema na Singapore ilikuwepo kabla ya dunia maana unahamisha magoli kutetea upuuziKaka Iran ilikuwepo hata kabla ya Yesu pamoja wakina North Korea!
Kuna rais wa Tanzania alijaribu kidogo, ila kuna watu hawakumuelewa.
Kwani jirani yako mkigombana akakwambia usikanyage kwake hicho ni kikwazo. Kikwazo mtu anakiweka kwenye ubongo wake. Angalia Haiti imepata uhuru miaka 300 iliyopita kutoka kwa ufaransa na mpaka Leo inateswa na kipindupindu na Haina kikwazo chochoteUkitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Mfanane na North Korea? Ni muumini wa Mwamposa pekee anayewwza kuongea na kuamini hili.North Korea ma Tanzania maisha yanafanana labda ungesema iran
Huyo alikua ameshaiharibu nchi yenu. Wengi hamtalielewa hilo kwa vile Mungu ni fundi
So, unakubaliana na uzi ?Kwani jirani yako mkigombana akakwambia usikanyage kwake hicho ni kikwazo. Kikwazo mtu anakiweka kwenye ubongo wake. Angalia Haiti imepata uhuru miaka 300 iliyopita kutoka kwa ufaransa na mpaka Leo inateswa na kipindupindu na Haina kikwazo chochote
Kuna baadhi ya Weupe wanadai kuwa Wareno walikuwa ni Super power enzi za zamani na ndio walikuwa wa kwanza kujizolea makoloni Afrika na kuchukua Watumwa wengi.Mfano Ureno ni nchi masikini na inategemea misaada
Hii mpya sanaKuna baadhi ya Weupe wanadai kuwa Wareno walikuwa ni Super power enzi za zamani na ndio walikuwa wa kwanza kujizolea makoloni Afrika na kuchukua Watumwa wengi.
Wanadai kuwa Wareno walizaana sana na Watumwa weusi kutoka Mozambique Angola Cape Verde nk ndio maana wamekuwa maskini na hohe hahe na viwango hafifu vya IQ vya kuvukia barabara.
Source: stormfront
Unauliza "wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho?"Tuachane na Iran na NK.
Haya wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho ?
Watu wanapambana kulinda himaya zao dhidi ya mafedhuli anaona n waangamizi.Tuachane na Iran na NK.
Haya wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho ?
Fact n nyingi mojawapo n decide and rule,mnagombanishwa walioshindwa wanauzwa au wengine wanatekwa kwa kua hawana himaya za kuwalinda tena.Mimi huwa najiuliza ilikuwaje sisi Wabantu tukasombwa na kwenda kuuzwa kama mifugo na hawa Wamanga pori?
Mbona Maasai waliogopwa kama ukoma?
Asia pia waligombanishwa lakini haikufikia kuuzana utumwani.Fact n nyingi mojawapo n decide and rule,mnagombanishwa
We unaekunywa maji safi na hewa safi umemzidi nini ambae hana ivyo.Unauliza "wewe mwafrika unataka ujipende kwa kitu gani cha maana ulicho nacho?"
Orodha ni ndefu, watakupatia Waafrika wengine hapa jf; ila kwa sasa hapa nilipo najivunia hewa safi sina haja ya kuvaa barakoa na maji safi hayana sumu za takataka za nyuklia.
Wamasai ni wakali sana na Mmasai hawezi kumuuza Masai mwenzie hata kama kamteka kwenye vita.Maasai waliogopwaje?