Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kaka Iran ilikuwepo hata kabla ya Yesu pamoja wakina North Korea!Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.