Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.

tujitahidi
Wanaume tunapenda radha tofauti tofauti leo umepiga bonge kesho unaonja English figure mtondogo unataka mwenye tako kisha unarudi kwa tall slim yaani kukidhi haja tofauti tofauti unakomaa na mwanamke mmoja mama ako mzazi huyo? Mama mzazi ni mmoja tu.
 
yaani wewe uwe 'one woman guy', bora waninyonge walaqhi', sijawahi kukuamini hata ukisema umeokoka..!
 
Inawezekana mkuu, ni swala la kuamua tu, na watu wote wanaweza hii sema tu huwa wanaamua kujiendekeza
 
Inawezekana mkuu, ni swala la kuamua tu, na watu wote wanaweza hii sema tu huwa wanaamua kujiendekeza

Huko kuamua kujiendekeza ndiyo kutowezekana kwenyewe mkuu, ndiyo maana nimesema unaweza kutulia na mtu mmoja kwa muda mrefu, lakini hiyo haina maana kuwa huyo ndiyo mtu wako wa kwanza na mwisho.
Kwa ufupi haiwezekani kuwa na mtu mmoja tangu kuzaliwa mpaka kifo.
Anayebisha aniambie nani amezaliwa mpaka kufa akiwa na mtu mmoja tu bila kuwa na mtu mwingine zaidi.
 
Hoja ilikuwa kuwa na mtu mmoja tu bila kuchepuka, sasa unaposema mpaka kifo, akifa una miaka 40 unamaanisha mtu akae tu hadi atakapokufa?? Hii sio kweli, ambacho kinaongelewa ni kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja
 
Hoja ilikuwa kuwa na mtu na mmoja tu bila kuchepuka, sasa unaposema mpaka kifo, akifa una miaka 40 unamaanisha mtu akae tu hadi atakapokufa?? Hii sio kweli, ambacho kinaongelewa ni kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja

Kuwa na mpenzi mmoja kwa wakati mmoja inawezekana, ila kuwa na mpenzi mmoja maishani haiwezekani.
 

n kujiendekeza tu hakuna kingne, kila kitu kinaanzia kichwani.

Na ndyo maana watu wa hiv hamuoi, maana mnaona mtakosa uhuru wenu wakuhangaika na dunia. Ukishajipenda na kuthamin afya yako huwez kufanya vtu kama hvyo, n kutokana na kujikinai(weng hudhan n urijali)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…