Sheikh wako utopolo kama wewe. Vita vinapiganwa ukanda huo toka enzi za Mussa.
Unganeni waarabu wote muipige Israel muone kinachowatokea. Shubamit!
Israel ni taifa teule hawawezi kupotea kamwe...
Hii vita ilikuwepo tangu wakati ule Musa anawatoa Misri kuja nchi ya ahadi.
Mtoa mada, umewahi kujiuliza hawa watu waliua watu wangapi tangu walipotoka huko Misri mpaka walipofika nchi ya ahadi??
Imagine.. wakifika eneo lako wanakwambia hii ardhi Yahwe ametupa ni yetu, hivyo ondoka hapa...
Ukibisha wanamuomba Mungu wao na Mungu anakaa upande wao...
Unakula Kipigo either Ufe au ukimbie!
Kama kutoweka wangeshatoweka zamani sanaaa
Tatizo hata huelewi palestina anapambana na nani?Kuna sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria.
Huyu sheikh alitabiri miaka ya nyuma waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi. Watu walimbeza angalia yaliyotokea Libya na Syria.
Jana katabiri miaka ishirini ijayo Israel itafutika kabisa na kutoweka na watawaangukia hawahawa wapalestina kuomba msaada.
Ni taifa lililoaniwa na Mungu atawanyoosha.
Muda siyo mrefu mafedhuli mayahudi baby killers wote wataangamia.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Israel haitapigwa kamwe,ila Palestina watapigwa na Gaza itapigwa na baadhi ya nchi zitakapoona wanashindwa suluhisho wataona waligawanye jiji LA Jerusalem kitu ambacho Mungu hataki na ndo balaa litaanzia hapo,Haya unayoyaona ni maandalizi tu!subiri uone!Chief, Israel itakuja kupigwa na kuharibiwa vibaya.. Sema sio leo ama kesho.. Hii ni kwa mujibu wa bible yenyewe.
Shida waislamu wanapambana kukamilisha unabii ambao wakati wake bado.
Wakati wa Yesu (fake) wa waislamu atakapokuja hapo ndo yatatimia haya.
Na Muslims wanamsubiri huyo jamaa kwa hamu sana..
Huyu Yesu fake ndiye atakae shusha moto kutoka mbinguni.
Hakuna wa kuofuta Israel,hawakuanza Leo kutaka kuifuta!Israel will not exist in the next 25 years: Khamenei
5 years ago
Mnasoma biblia gani[emoji16]soneni kwa mafunuo na kuelewa,Israel itakuja kuchapika kipigo cha mbwa koko sio leo wala kesho Lazima unabii utimie kama Bible ilivyosema
Biblia unaisingizia,either hujaelewa au umesimuliwa!Kuna mambo mawili mkuu ni lazima yatokee.
1)Israeli kula kichapo kweli kweli hadi wapoteane.
2)islam kutawala dunia..
Kama masighala vile lakini ili ni lazima litatimia, lisipotimia basi bibilia itakuwa imeanza ugonjwa wa kuongopa.
Icho ndo kile kipindi cha kumkiri Yesu shingo idondoke ama umkane maisha ya endelee.
Huyu anaeongelewa hapa ni mpinga Kristo ambae sshv roho yake ndo inafanya kazi,yeye bado kufunuliwa!Ufunuo 13:13Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
Israel ni kwao walipewa na Mungu! Hawawezi kuondoka!"They Jews left BLACK and returned WHITE" hii nukuu ya rais wa misri Gamal Nasser according to the Bible....
Wale ni wavamizi ndio maana wapalestina hawawezi kukubali kuondoka kwenye nchi ile
Mnaota nyieKuna sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria.
Huyu sheikh alitabiri miaka ya nyuma waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi. Watu walimbeza angalia yaliyotokea Libya na Syria.
Jana katabiri miaka ishirini ijayo Israel itafutika kabisa na kutoweka na watawaangukia hawahawa wapalestina kuomba msaada.
Ni taifa lililoaniwa na Mungu atawanyoosha.
Muda siyo mrefu mafedhuli mayahudi baby killers wote wataangamia.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Waichokoze Russia tuone kama huyo Mungu wao atawasaidiaAcha hizo lamri mkuu, taifa la Mungu hilo hakuna wa kulifuta mpaka mwisho wa dunia.
duuh,this is Really propaganda,Mungu huyu ninaemjua hawezi kukaa upande wa madhalimu haiwezekani mtu akupore ardhi yako halafu Mungu awe upande wake,vitu vingine tutumie logic tusikubali kulishwa propaganda,siye Mungu huyu ninaemjua anayeweza kuwa hivyo ulivyopropagandishwaIsrael ni taifa teule hawawezi kupotea kamwe...
Hii vita ilikuwepo tangu wakati ule Musa anawatoa Misri kuja nchi ya ahadi.
Mtoa mada, umewahi kujiuliza hawa watu waliua watu wangapi tangu walipotoka huko Misri mpaka walipofika nchi ya ahadi??
Imagine.. wakifika eneo lako wanakwambia hii ardhi Yahwe ametupa ni yetu, hivyo ondoka hapa...
Ukibisha wanamuomba Mungu wao na Mungu anakaa upande wao...
Unakula Kipigo either Ufe au ukimbie!
Kama kutoweka wangeshatoweka zamani sanaaa
hakuna ajuae ya sirini zaidi ya Mungu pekee,huo utabaki kuwa utabiri kama utabiri mwingine kikubwa hao jamaa mbona inafahamika ni wavamizi wa ardhi ya watu,dunia na jumuia za kimataifa zitende haki...na kikubwa zaidi hakika mwisho wa udhalimu ni maangamivuNi kweli hii ilishatabiriwa na ayatollah wa iran kwamba Israel haitokuwepo miaka 25 ijayo hayo aliyasema mwaka 2015 leo ni 2021 ishapita miaka 5 sheikh wa maka naye katabiri kwamba miaka 20 ijayo hii inaenda kutokea kweli
Nataka utoe conclusion je ukristo ni sawa na uyahudi despite the whole similaritieswayahud sio wakristo Dini yao ni Judaism ni mchanganyiko wa mafundisho ya Agano la kale na taratibu za kiasili za wayahudi...
kama ilivyo kwa Islamic religion ina mchanganyiko wa Taratibu za kidini na tamaduni za kiarabu
judaism ni moja kati ya dini kubwa tatu. ulimwengunk wayahud sio wakristo... hawaamini kuwa Yesu ndie mwokozi na alietabiriwa na yohana mbatizaji.. wao wanasubir mwokoz wao..
tofauti ya Mkristo na Myahud ni kuwa Myahud hana Agano jipya kwenye Biblia yake (Hebrew bible) anatumia Agano la kale tu kwa maana hiyo yeye anafata mafundisho ya agano la kale .. kumbuka Agano jipya ni kumhusu yesu na maisha yake na wao wanaomuona yesu ni mwanaharakati tu na inspirational leader sio Holy figure (Masihi)
ila Ukristo umetoka kwenye judaism ( sexond temple of judaism) ndo maana kuna wayahud wakristo kwa maana ya wanaomwamini Yesu Kristo
Biblia ya Wayahud na ya wakristo ziko sawa tofauti ni ya wakristo imeongezeka Agano jipya ambalo wayahud hawalitambui .. Mkristo maana yake ni anatemfata kristi ambaye ndio Yesu
So kwa ufupi ukiwa ww mkristo ukaingia kwenye kanisa (sinagogi) la wayahud kama unaelewa kiebrania hautapata shida kusali... shida yako itakuwa ni zile taratibu zao za kusali za kiasili (hawakai kwenye viti hawaingii na viatu na wanasujudu) kama unavyoona waislam...
chimbuko la kusujudu au kutokuingia na viatu kwenye masinagogi yao.. wayahud wamepata kutoka kwenye agano la kale pale Musa alipoongea na Mungu kupitia kichaka kilichokuwa kinawaka.. akaambiwa via viatu hapa ni mahali patakatifu.
tukihitimisha ni kuwa Wakristo wanafata mafundisho ya Yesu ambaye kwake yeye life style na material things (kama mavaz na aina ya vyakula ) sio issue kwake , issue ni kuwa msafi wa kiroho na imani. wakat wayahud wanaamin mafundisho ya Musa (agano la kale) ambalo linatoa muongozo wa jinsi ya kuishi na aina ya vyakula.
Nataka utoe conclusion je ukristo ni sawa na uyahudi despite the whole similarities