Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

Kumbuka Mzee kipindi hicho alikua Mtu wa long trip na malori Sasa huo muda wa kukaa na kumpeti Ommy angeupata saa ngapi!? Ommy Kama Ommy yeye alifanya jitahadaa gani za kumtafuta Baba yake!!? Je alisha kwenda kwa Mzee wake anakoishi akafukuzwa!!?
 
Labda na Mama yake Ommy nae alikua ni miongoni mwa hizo pisi kali za Mzee wake Ommy!?
 
Kumbuka Mzee kipindi hicho alikua Mtu wa long trip na malori Sasa huo muda wa kukaa na kumpeti Ommy angeupata saa ngapi!? Ommy Kama Ommy yeye alifanya jitahadaa gani za kumtafuta Baba yake!!? Je alisha kwenda kwa Mzee wake anakoishi akafukuzwa!!?
Mkuu yawezekana hujamsikiliza ommy,

Kasema alishawahi mfuata, na katika story mzee akatamba hawezi mtafuta mtoto, ila mtoto atamtafuta baba, hicho nacho kilimuumiza zaidi kwa sababu na yeye ndo alikuwa amemtafuta.

Mambo ya familia huwa ni magumu sana. Wanaume tunazingua sometimes tukijipa moyo kuwa mkubwa hakosei.
 
Mkuu Mbona unaita wenzio wajinga, kwahiyo wewe ndo mwelevu sana kwa haya unayochangia? Heshimu mawazo ya wenzako hata Kama yanakinzana na kile unachokiamini wewe

Angalia ID yake anajiita nani mwenyewe.
 
That's irrelevant. Matunzo ya mtoto hayaangalii mnapendana au lah! Kama umekojoa ndani ni jukumu lako kulea.

Ni ajabu unaona ni sawa Baba kutelekeza ila lazima yeye alelewe esp lizee kama hili ambalo lilionyesha kabisa kutokujali
Huyo Ommy na usanii wake unadhani hajawahi kumkataa mtoto?
 
Huyo ommy na usanii wake unadhani hajawahi kumkataa mtoto?

Again that's irrelevant and none of my business. Tunaongea objective facts hapa sio nadharia. Mimi sina muda wa kuwaza what Ommy has or hasn't done but I know for sure kizee chake kilimtelekeza.

Mwanaume yeyote anayetelekeza mtoto ni umbwa na deserves nothing from mtoto either ni baba wa Ommy, Dayamondi au mtoto yeyote yule that is my stance.
 
Umeongea point kubwa sana

Mzee akisikia umepata kakibarua sehemu ndo anaanza kukutafuta

Halafu kila siku anatangaza shida[emoji706]
 
Haya mambo ni ya kuwaachia wenyewe wanafamilia...

Huyo Omary anachokijua bila shaka ni kutokana na alivyosimuliwa na pengine sio kutokana na hali halisi...

Waafrika tuna mambo mengi kweli, huenda mama wa mtoto alimueleza huyo mwanaume kwamba mtoto si wake, huenda wazazi wa mama walimkataa huyo mwanaume n.k

Mfano halisi upo kwa mtu kama Nassib Abdul, ambaye baba yake halisi hadi sasa haijulikani ni yupi ingawaje mamaye anataja mtu tofauti na yule ambaye mwanaye miaka yote alikuwa akijua ni baba aliyemtelekeza...
 
Sasa waislamu wanaruhusu kuoa wake wanne... ila baba ommy aliona ommy awe mtotoo haramuu leo anakuja kulia njaaa shenzi sanaa
 
Kumbuka Mzee kipindi hicho alikua Mtu wa long trip na malori Sasa huo muda wa kukaa na kumpeti Ommy angeupata saa ngapi!? Ommy Kama Ommy yeye alifanya jitahadaa gani za kumtafuta Baba yake!!? Je alisha kwenda kwa Mzee wake anakoishi akafukuzwa!!?
Umesikiliza alichoelezea Ommy mkuu nikusaidie kwamba baada ya Mama yake kufariki Ommy alimtafuta baba yake hapa alikuwa anatafuta faraja na upendo kweli alifanikiwa kuonana nae ila majibu aliyokutana nayo katika maongezi na baba yake yalimkata maini na baba yake hakuwahi mtafuta tenaaa baada ya hapo.
 
Wewe bado hayajakukuta.na haujakuwa.kuna mwalimu kauwa mke na watoto wake na yeye kajiuwa.ommy amshukuru baba yake alimuacha mzima mpaka leo amekuwa mkubwa.
Yakikukuta utajua
 
Ommy dimpoz anakwepa mzigo wa kuleq Mzee na ndugu 14.
 
Wewe bado hayajakukuta.na haujakuwa.kuna mwalimu kauwa mke na watoto wake na yeye kajiuwa.ommy amshukuru baba yake alimuacha mzima mpaka leo amekuwa mkubwa.
Yakikukuta utajua

Unaongea ujinga kama jina lako.

Mwalimu aliyeua ni mpumbavu kama Baba Ommy.

Nachelea kusema hata wewe ni mjinga kwa kusapoti mauaji na utekelezaji wa watoto but ushajiita mwenyewe
 
Kumbuka Mzee kipindi hicho alikua Mtu wa long trip na malori Sasa huo muda wa kukaa na kumpeti Ommy angeupata saa ngapi!? Ommy Kama Ommy yeye alifanya jitahadaa gani za kumtafuta Baba yake!!? Je alisha kwenda kwa Mzee wake anakoishi akafukuzwa!!?

Alikuwa anakaa huko miaka yote,

hakuwa na time ya kwenda kuuhani msiba na kama ni mtu wa malori hizo trip alizopiga hakuna hata moja ambayo ilikuwa karibu na alipokuwa ommy

Halafu kwa nini mfanye kwamba jukumu la mtoto kuwa karibu na mzazi ni la mtoto na sio mzazi aliyejitenga. Au na wewe ni moja ya wanaoamini "atanitafuta"

Kama unaona mtoto kuwa karibu yako ni uamuzi wake bhasi endelea kuacha iwe hivyo hivyo hata akifanikiwa, sio utake kula kivulini vitu ambavyo hukutaka kuhangaika navyo juani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…