jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kumbuka Mzee kipindi hicho alikua Mtu wa long trip na malori Sasa huo muda wa kukaa na kumpeti Ommy angeupata saa ngapi!? Ommy Kama Ommy yeye alifanya jitahadaa gani za kumtafuta Baba yake!!? Je alisha kwenda kwa Mzee wake anakoishi akafukuzwa!!?Uzuri wa hii issues hakuna wa kusema mama alimlisha sumu mwanae maana ashatangulia
Nilivyomsikiliza ommy sio kwamba hakuhitaji ukaribu na mzee wake Ila mzee mwenyewe alikuwa mbali naye hasa wakati akimuhitaji zaidi mfano maza ake alipofariki..
It's sad kiukweli