Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

Unaishiwaje pawa na pawa mabula niko hapa!🀭
Kwani siku hizi umebatizwa jina hilo mjukuu?

Kama you have that pawa, Mimi nani nikatae kujisogeza

Na hivi Wazee tulivyo wavivu, ni mwendo wa ikisimama panda πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nyuzi batili hii, hauja specify uko wapi? Hakuna picha.
 
Kwani siku hizi umebatizwa jina hilo mjukuu?

Kama you have that pawa, Mimi nani nikatae kujisogeza

Na hivi Wazee tulivyo wavivu, ni mwendo wa ikisimama panda πŸƒπŸƒπŸƒ
Nishabatizwa mengi ila hili ndio my fav 🀣

Ndio ningeshangaa we tena!

Hahaha wajukuu wanao ufahamu mziki wake wanachekea zao chooniπŸ˜€
 
Nishabatizwa mengi ila hili ndio my fav 🀣
Hahaha.......nilikuwa sijui, lakini majina ni mengi kwanini kukubali hilo la pawa mabula
Ndio ningeshangaa we tena!
Kuwa na huruma na Wazee 🀭
Hahaha wajukuu wanao ufahamu mziki wake wanachekea zao chooniπŸ˜€
Hahaha.........ila umekuwa mkorofi sana wewe, kwamba jambo la ikisimama upande limekuwa gumu Mjukuu πŸ€ͺ
 
Ukitaka kujua kuwa money is everything we mwenyewe unabeba box mambele( unaosha vizee) jokes mkuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Hahaha.......nilikuwa sijui, lakini majina ni mengi kwanini kukubali hilo la pawa mabula

Kuwa na huruma na Wazee 🀭

Hahaha.........ila umekuwa mkorofi sana wewe, kwamba jambo la ikisimama upande limekuwa gumu Mjukuu πŸ€ͺ
Unawapa watu kile wanapenda kusikia!

hahaha hurum gani mzee peleka wajukuu hata hapo jirani zenji tu

mkorofije tena nisiseme ukweli!πŸ˜†
 
kama hujaenda zanzibar hio sio vacation
Mmmh watu mna hobby...zenji hii ya urojo?🀦🀦😏😏

Sipapendi Zanzibar jamani, nikiona mtu eti yuko vacation kule huwa namtafakari SanaπŸ€”πŸ€”
 
Hiyo namba moja, hivi una hela mapenzi yakutese? Hataki kuolewa tupa kule chukua chombo kipya!...money talk bana!
 
Teh teh teh teeeeeeeeeeh!
 
Unawapa watu kile wanapenda kusikia!
Hahaha.......ukionesha makasiriko utawapa watu faida kwamba wameshinda
hahaha huruma gani mzee peleka wajukuu hata hapo jirani zenji tu
Tutaendaje wakati hawataki kuniletea Kiko babu yao πŸ€—
mkorofije tena nisiseme ukweli!πŸ˜†
Nia yako nikose kigori wa kunihudumia katika Uzee nilionao wewe 🀭
 
Hahaha mkuu kwa kuchamba hujamboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wala sio kuchamba mkuu,ila huo ndio ukweli wenyewe,

Ni sawa na zamani,watoto wa uswahilini siku wakila wali,basi watataka kutangaza kwa watoto wenzao mtaa mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…